CWT kulikoni mbona kimya kuhusu mgomo walimu?

Chezea vyeti feki wewe. Wenye vyeti vya ukweli wameishia mabwe pande na sasa tiba kama kawa sembuse vyeti feki. Hao hawawezi na dhaifu anawasubiri kwa ham sana wakithubutu tu 75% hawana ajira

Domo Jumba la Maneno....
 
Wewe mtu mzima hatishiwi nyau.

madame b, leo mbona umekuwa na hasira sana? Unajua mimi na waheshimu sana walimu kwani wamenitoa mbali na wamenifikisha hapa ni lipo! Shukrani ziwaendee walimu wote ndio wanatufanya tunajua kuandika!

Ila bwana kwenye ukweli lazima tuseme kuwa walimu wetu kwenye kudai haki wako nyuma.

Haya mataitizo yao walisha yasema sikunyingi lakini hayasikilizwi. Naamini kama wata hamua kudai haki yao kwa umoja watashinda.

Walimu ni muhimu sana na hili wasikilizwe lazima wawe na umoja!
 
Hamuweze kugoma kwani Hamna Akiba Mtakufa Njaa

mkigoma mimi najitoa madarakani

Wewe kama nani katika Serikali hii?
Au unaishi kwa kutegemea kutegesha Masaburi yako njiani ili mwenye nazo akupitie upate chochote?

Kategeshe getini Magogoni.

Kwa hyo wewe na Hamnazo wenzio mnaona tukifukuzwa kazi tutakufa na njaa??
Shame on You.!!!

Kama hujui pa-kuupeleka Utumbo wako,ni heri ukanunue Ndizi Mshale sokoni,uchanganye na huo utumbo,mpike,Ule na Hamnazo wenzako.

I rept: Shame on You.!!
 
Hamuweze kugoma kwani Hamna Akiba Mtakufa Njaa

mkigoma mimi najitoa madarakani
ni kweli hatuna akiba ya pesa ka nyie mafisadi, na mgomo tulishauanza siku Nyingi ila Sasa tunafanya physical mgomo ili wapumbavu Kama wewe nao wauone ila wenye akili walishauona siku Nyingi..... Walimu tuna Hali ngumi Sawa hatukatai ila hatuna Hali ngumu Kama Hao ndugu zako WATZ ambao hupeleka watoto wao Shule za kata, ni maskini hata Ada ya 20000 kwa mwaka ni mbinde uniform mzozo na bado wanapata zero na wamepoteza miaka minne shuleni.. Hebu fanya utafiti ktk Shule za kata wengi wao wanaopass ni watoto wa walimu wakwenu na wamaskini wenzako wa akili na kipato ndo hivyo.... Sometime mnaudhi nyie wenyeyewe mmeichagua hii serikali wenye we afu mnalalamikia walimu wanachelewesha ukombozi wakati 2010 tuliwaona hata nguo hamna, hamjui hata kusoma mnang'an'gania jembe na nyundo na bado watoto wenu watafeli mpaka mkome sio mbaya sisi tutaendelea na vimishahara VYETU vya laki laki...
bora walimu ni maskini wa kipato matajiri wa maarifa ndo maana tuna survive na vimishahara VYETU kuliko nyie matajiri wa kipato maskini wa maarifa shenzy kabisa
 
Kweli kabisa MCHONGANISHI,
Ni Washenzi kabisa hao wanaodhani walimu hawana Haki ya Kudai Chao.

ILA WAKUBALI,WAKATAE UKWELI UTABAKI KWAMBA WALIMU NDIO KUNDI LINALOONGOZA KWA KUINUA MSINGI,
from NONE TO TEN.
NA NDIO TUNAOFANYA HAO WANAOJIITA WASOMI KUONEKANA WATU MBELE YA JAMII
 
Last edited by a moderator:
from the beginning nilisema hizi na sarakasi za Mkoba na wahuni wenzake wa CWT kujipatia ulaji toka serikalini... Wao wanajilipa posho na mishahara minono toka kwenye 2% ya mishahara yetu wanayotukata kwa lazima, Sasa wakati umefika walimu tudeal na hawa mabazazi wa CWT Kabla ya serikali tudai auditing huru na hawa jamaa wachukuliwe hatua then ndo tuanze na serikali bila hivyo ni mark time tu tunapiga, tusafishe ndani kwanza ndo tuende nje...hawa CWT wamevimbiwa na hela zetu
Hapa bongo wanaoweza kugoma ni MADAKTARI na wauguzi wa kule MARA tu! Wengine walikuwa wanataka kukumbukwa na JK kwani zile allowance ziliisha!!!
 
Waalimu wa Tanzania ni wanyonge na wanatia huruma,mimi sijui ni kwa nini au kwa vile nyerere aliilaani hii kazi.
 
Mgomo baridi unaendelea.Afadhali wagome! Wasipogoma jua huo ni mgomo baridi ambao ni hatari sana.Mfano matokeo ya mitihani ya kitaifa,wanafunzi wa sekondari wasiojua kusoma n.K.
 
Sifundishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (Dip in Ed)


Kila cku ni kusaini na kuwahi Biashara Mjini ( B.Com)

Siachi kazi hiiiii

@PJN at Mtwara Gas City
 
Walimu dhaifu
Sio wote, dhaifu ni wengi ni primary ambao hata vyeti nadhani waliforge na ndio viongozi.. Wapo majembe sema hatupati nafasi. Na nawaeleza kina mkoba mara hii wakishindwa waachie ngazi, tukae sie kina Ulimboka.
 
chadema walitaka kuuteka ilivojulikana viongozi wanaogopa... wasubiri wakati mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom