Chama cha wafanyakazi kisichopendwa dunia nzima ni CWT

Cheology

JF-Expert Member
Jun 25, 2022
323
502
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania.

Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya invisible wameamua kukaa kimya

Unaez ukatafuta mchawi wao walimu hapa utapata jibu moja tu. Ni SERIKALI.... kivipi maafisa utumishi wana majibu ya suala hili kwa.kuwa ndio wanaweka ngumu walimu wanapoomba kukihama chama hicho. Kwa kuwa viongozi wa cwt ambao ni walimu wananufaika na migawo na posho za michango ya walimu wao wanabaki kama rubber stamp na kuacha mambo yaendelee.

Katika mambo ambayo kisera yamekaa vibaya ni sheria ya vyama vya wafanyakazi...kwamba lazima uwe mwanachama. Ma HR kwenye halmashauri wameenda mbali zaidi kwa kuwazuia wanaotaka.kutoka chamani aidha ni kwa maelekezo mim na wewe hatujui ill huwez kumlazimisha mtu akatwe sehemu ya mshahara wake miaka na miaka bila sababu za msingi. Serikali Inapaswa kuingilia kati kuachana na dhambi hii ya waziwazi.

Mwalimu anayelipwa Tsh 2.320.000/-
Ni sawa na 2% ya 2.3 M inakwenda cwt 46.000/- kila mwezi


SAMIA MH WETU KAMA UNAUBAVU VURUGA HIKI KIDUDU KIANZE UPYA. ALLAH ATAKUPA HERI NYINGI. AMEEN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom