Cv ya saed kubenea..

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Wakuu nani anayo au anaijua cv ya mwanahabari nguli hapa Tanzania Bwana Saed Kubenea???

Naomba kama kuna mwenzetu mmoja humu ndani anayo ama anaweza kuipataatuwekee ili tumfahamu shujaa wetu huyu ni wa namna gani.

Nawasilisha.
 
kama hadi leo hujamjua mpiganaji na mwanamageuzi wa kweli kubenea kupitia vitendo vyake basi maelezo yake hayatakusaidia kitu..
 
kama hadi leo hujamjua mpiganaji na mwanamageuzi wa kweli kubenea kupitia vitendo vyake basi maelezo yake hayatakusaidia kitu..
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza tu
 
Wakuu nani anayo au anaijua cv ya mwanahabari nguli hapa Tanzania Bwana Saed Kubenea???

Naomba kama kuna mwenzetu mmoja humu ndani anayo ama anaweza kuipataatuwekee ili tumfahamu shujaa wetu huyu ni wa namna gani.

Nawasilisha.

Acha uzushi wewe. Saed Kubenea shujaa wa KIM KARDASH wapi na wapi.
 
Acha uzushi wewe. Saed Kubenea shujaa wa KIM KARDASH wapi na wapi.

sijaelewa ulitaka kusema nini,kuna yeyote aliyemuelewa huyu bwana alichotaka kusema anisaidie pengine,maana naona kaweka kiswahili ile ya kibororonyi
 
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza tu

Ernesto che guevara alikuwa profesa nini kk..? Au kamanda lema ni prof nini..?chukua mifano hiyo..ingawa kwa sasa kubenea yupo chuo netherlands..
 
Tatizo letu tumewekeza sana kwenye makaratasi badala ya performance....ndio maana tutazidi kupigwa bao kwenye soko la ajira za kimataifa.....CV yake ni kazi anayofanya na kama unamkubali ni shujaa hiyo ndiyo CV yake kwani wapo wanaoweza kuwa na elimu kubwa kuliko yeye lakini wakashindwa kufanya ayafanyayo....
 
Cv ya kubenea na habari anazoandika vina uhusiano gani?ukishaipata hiyo CV yake itakuwa na Tija gani kwa wananchi wa mpitimbi ruvuma ambao ni wasomaji wazuri wa Mwanahalisi.
 
Ernesto che guevara alikuwa profesa nini kk..? Au kamanda lema ni prof nini..?chukua mifano hiyo..ingawa kwa sasa kubenea yupo chuo netherlands..

Unachanganya mambo,Sijakataa lolote wa la sijasema mpambanaji hawezi kuwa kilaza kwa ni hata bila kwend mbali kwa kina che guevara,tunae mzee karume hapo unguja enzi zake,alikua kilaza lakini aliwaongoza wenzie pamoja na kilaza mwenzake okelo na wakaikomboa zanzibar
 
Tatizo letu tumewekeza sana kwenye makaratasi badala ya performance....ndio maana tutazidi kupigwa bao kwenye soko la ajira za kimataifa.....CV yake ni kazi anayofanya na kama unamkubali ni shujaa hiyo ndiyo CV yake kwani wapo wanaoweza kuwa na elimu kubwa kuliko yeye lakini wakashindwa kufanya ayafanyayo....

Kwanini mnafanya jitihada za makusudi namna hii kujaribu kuficha cv yake?kuna kitu gani hamtaki kijulikane?mbona ya ephraim kibonde tuliililia mpaka mwiso wake zikapatikana results zake za mtihani wa form four,why not kubenea,yeye ana nini mpaka aachwe?
 
Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.
 
Nongwa ya nini jamani si muweke tu hiyo kitu,mnataka kuficha kitu gani kumhusu ustadh Saed au mimi ndio mtu wa kwanza humu ndani kuhoji cv ya mtu?
Kim K, nimeomba ya kwko kwani ni wa kwanza kukuomba yako mbona nikuwa hivyo...
 
Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.[/QUOTE]
Riz Mbona hajaenda Ede Islamic University? kumbe unajua kuwa DR. 2015 anachukua Nchi eh, sasa mbona huwa unajifanya dhaifu?
 
Kwanini mnafanya jitihada za makusudi namna hii kujaribu kuficha cv yake?kuna kitu gani hamtaki kijulikane?mbona ya ephraim kibonde tuliililia mpaka mwiso wake zikapatikana results zake za mtihani wa form four,why not kubenea,yeye ana nini mpaka aachwe?

Haya ni mawazo yangu kama mtu huru nisiyefungamana na chochote kuwa CV to me it is not a big deal bali ni performance....wakati mwingine tumeona A na First Class za ajabu kwenye ulimwengu wa ajira lakini lilipokuja swala la performance watu wakaumbuka....so to me hata kama anayo CV ya kawaida au nzuri kiasi gani it will remain to be immaterial kwakuwa nilishamkubali kwa kazi zake...thats all....
 
Haya ni mawazo yangu kama mtu huru nisiyefungamana na chochote kuwa CV to me it is not a big dill bali ni performance....wakati mwingine tumeona A na First Class za ajabu kwenye ulimwengu wa ajira lakini lilipokuja swala la performance watu wakaumbuka....so to me hata kama anayo CV ya kawaida au nzuri kiasi gani it will remain to be immaterial kwakuwa nilishamkubali kwa kazi zake...thats all....

Alaah kumbe iko hivyo,sasa yale mambo ya kuitana vilaza huwa yanatoka wapi au yanakujaje?maana nape na wngine ndio huitwa vilaza,ni kigezo kipi basi hutumika?au walio nje ya system yenu cdm wotu tu ndio vilaza?
 
Back
Top Bottom