KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #21
Mimi nilichotaka kufahamu ni kwamba alianza darasa la kwanza lini na wapi na akamaliza mwaka gani na wapi,na baada ya hapo kama alifanikiwa kujiunga na sekondari ilikua lini na wapi na akamaliza mwaka gani then high school kama nako alipita pita kabla ya kuingia chuo kikuu ilikua mwaka gani mpka gani na chuo kikuu alisomea kitu gani na kuhitimu mwaka gani kabla ya baadae kwenda huko aliko sasaSaid Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.