CV ya Freeman Mbowe hii hapa

Status
Not open for further replies.
Jk ana elimu cheti tu, usimsifu, unafikiri ukikaa na Obama ndio yeye anakuona una akili sana, akilini mwake anakupambanua na anajua wazi wewe ni stupid, but, hatokuambia
Chadema Mnatia Aibu, Kiongozi Mkuu hata elimu hakuna Form six Dunia ya sasa, Hawezi kaa meza moja na Barak Obama huyu hataweza kusafiri kwenda kuzungumza na Marais wenzake,,, Hawezi kusafiri kama JK Atakuwa hana Confidence,,,
Jakaya yupo juu
 
Hiyo CV haijalamilika na ina mapungufu mengi sana.
Kwa watu wanaojua mambo vizuri wanajua kabisa hiyo CV sio kamili na mahali popote haikubaliki.
Ni sawa na CV ya Catherine Magige iliyowekwa humu JF siku chache zilizopita.

Mleta mada amenakili kutoka kwenye website ya bunge,na ofisi za bunge zilishawahi kukiri kuwa maelezo mengi ya wabunge yanakasoro au hayajakamilika.

Kwa namna ninavyoijua historia ya Mbowe, anaelimu ya kiwango cha Masters inayohusiana na mambo ya Business/Economics na International relationship.

Kifupi elimu na uwezo binafsi wa Mbowe havijawahi kutiliwa mashaka mahali popote ndani na nje ya TZ toka nimemfahamu Mbowe.
He is bright in different ways apart from politics.

Ni ajabu sana kwa mleta mada kuokota maelezo yasiyokamilika na kuyamwaga humu kwa nia ya makusudi ya kupotosha.
 
Nyie mlioweka hii CV, mnaelewa tofauti kati ya CV yenye taarifa sahihi na CV ambayo haijajazwa kiusahihi? Hivi unataka kutuaminisha kweli sis wenye akii zetu kwamba eti mbowe hajafika hata darasa la saba, halafu tukuamini? Kueni na aibu, acheni siasa, semeni ukweli. Look, busara yako inaonekana kutokana na unachokifanya. Nina mashaka na busara ya huyu mtu anayekurupuka na kubandika CV isiyokua na taarifa sahihi bila kufanya ka uchunguzi japo kidogo. Kiislam tunasema, mnafiki ndiye atakayekua kuni katika moto wa kiama. Hata kama humpendi, basi usimsingizie!!
 
Kijana badilika hao wanaokulipa uwatetee hata wakiingia madarakani hawatakusaidia kitu kitu pekee kitakachokusaidia nikuacha kutumika na kusimamia ukweli BWANA AKUBARIKI SANA ILI UWEZE KUJITAMBUA
anae jitambua lazima awe mpambanuzi majitu majanja huwa yanatumia vichwa vya wasio soma, sijaona sababu za kumsifu saana huyo jamaa, au ndohivyo tena biashara matangazo? u hv to hv speculation enough to tell us that the man is good in which aspect b`se he never be a leader b4, how did u examined him?
 
Ktk siasa yetu Tz hiyo CV inakusaidia nn ...ww .............Unajua CV za Madiwani na Wabunge au Viongozi wa CCM....??? wa Darasa la Saba wangapi.....Ni uwezo wa mtu unamata..na hekima this is bushit .............politics.... Wat about urs....fool ?

sawa unasemaje kuhusu profesa maji marefu na mhe lusinde ? maana tatizo mkiwa na mtu wenu mko tayari kumtetea lakini kama si wenu mtamuita kilaza na majina kibao
 
Mimi nina Masters mbili za sheria, lakini hata nikiziweka jamvini zitakusaidia nini, mimi siyo mwanasiasa ila kuweka ya Mkulu wa CDM ni muhimu kwani ni kiongozi wa watanzania wengi tu.

Kwa hiyo kazi yako kujilinganisha na wengine kama wana Masters au la? unajisifia utadhani masters mbili ni kitu adimu? We kila siku wanasema CV za watu zimekosewa sana kwenye website ya Bunge.
Hivi kw akili yako ya Masters mbili unaona na kuamini kuwa MBOWE hajasoma hata kidogon akuwa CV hii aliipeleka jinsi ilivyo?
 
sASA HIYO SIYO cv. Kama hajapaa sana katka CV, Tulazimishe tu kuandika ilimradi iwe ndefu.

KaMA HURIDHIKI NA HII MUULIZE mH Slaa, CV ya mbowe kama hakutoka benz na jibu usilipate.
 
Mbona Mnapoteza Muda. Hamjagundua sio CV ya Mweshimiwa hii, kwani iko Editted, tena aliye -edit ni mjinga kupitiliza. Hakuna hoja hapa
 
For real we dnt need them!What for?

Nadhani taarifa hizi za CV ya Mhe. sio sahihi kwani hata alieibua maada hakutaja ni shule gani ya msingi na ya sekondari aliyosoma Mbowe.This chapter should be closed,kuna vitu vingi vya maana vya kujadili..
 
Chadema hawajaenda shule karibia wote wanachojua maandamano tu.Embu angalia Mwenyekiti aibu tupu,Sugu,Lema,Vincent Nyerere,Katibu wao kasomea Biblia anajiita Dr sijui Pengo ajiite nani
 
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1260.jpg
First Name: Freeman
Middle Name:Aikaeli
Last Name:Mbowe
Member Type:Constituency Member
Constituent:Hai
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Secondary SchoolSecondary Education--HIGH SCHOOL
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Bank of TanzaniaBank Officer-

Source: Parliament of Tanzania


gamba bna, CV si issue kama ya bibie hapa! Katoka certificate mpaka Masters(duhhhh) lakin hamna ki2 bungen
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1591.jpg
First Name: Vick
Middle Name: Paschal
Last Name:Kamata
Member Type:Special Seat
Constituent: No Constituency
Political Party: CCM
Office Location: Box 2939, Dar Es Salaam/ box 30, Geita
Office Phone: +255 783 277733
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: vkamata@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 18 September 1978
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Southampton Solent University, UKMSc.20082008MASTERS DEGREE
Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)Public Relation& Customer Care Course20072007CERTIFICATE
St. Augustine University Certificate in Journalism20012002CERTIFICATE
Nyakohoja Computer Centre, MwanzaDiploma19971999DIPLOMA
Mandaka Teachers' Training CollegeTeaching Course19941996CERTIFICATE
Morogoro Secondary School, MorogoroO-Level Education19901993SECONDARY
Kichangani Primary School, MorogoroPrimary Education19831989PRIMARY
 
er picture[/B]
s.parliament.go.tz/ima[/TR]
TD]Middle Name: [/TD]
[TD]Paschal[/TD]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD="width: 38%"]Special Seat[/TD [/TR [TD]Constituent: [/TD[TD]No Constituency[/TD]
[/TR]
[TR] [TD]Politi [/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location: [/TD]
[TD]Box 2939, Dar Es Salaam/ box 30, Geita[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone: [/TD]
[TD]+255 783 277733[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail: [/TD]
[TD]vkamata@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status: [/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth [/TD]
[TD]18 September 1978 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Southampton Solent University, UKMSc.20082008MASTERS DEGREE
Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)Public Relation& Customer Care Course20072007CERTIFICATE
St. Augustine University Certificate in Journalism20012002CERTIFICATE
Nyakohoja Computer Centre, MwanzaDiploma19971999DIPLOMA
Mandaka Teachers' Training CollegeTeaching Course19941996CERTIFICATE
Morogoro Secondary School, MorogoroO-Level Education19901993SECONDARY
Kichangani Primary School, MorogoroPrimary Education19831989PRIMARY
[/QUOTE]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom