hakuna ubaya wowote kwa CTI kuinunua mitambo ya Dowans kwani hawabanwi na sheria za PPRA. Labda wanaegotiate na TANESCO jinsi ya kulipia miundombinu ya kusafirisha umeme kwa wanachama wao na 'ziada' wawauzie TANESCO. Hapa ndipo kwenye ulaji. TANESCO WAOMBE SHERIA YA UKIRITMBA WA KUSAMBAZA UMEME KWA WATEJA IVUNJWE. Na CTI wauze wenyewe hiyo ziada, si tayari mtakuwa mumewaruhusu kutumia miundombinu yenu mpaka kwa wanachama wao wammalizie mbuzi