CTI Kutumika kukodisha Majenereta ya DOWANS: Fikra Pevu

hakuna ubaya wowote kwa CTI kuinunua mitambo ya Dowans kwani hawabanwi na sheria za PPRA. Labda wanaegotiate na TANESCO jinsi ya kulipia miundombinu ya kusafirisha umeme kwa wanachama wao na 'ziada' wawauzie TANESCO. Hapa ndipo kwenye ulaji. TANESCO WAOMBE SHERIA YA UKIRITMBA WA KUSAMBAZA UMEME KWA WATEJA IVUNJWE. Na CTI wauze wenyewe hiyo ziada, si tayari mtakuwa mumewaruhusu kutumia miundombinu yenu mpaka kwa wanachama wao wammalizie mbuzi
 
MKJJ

majibu yako ni very simple:

Taifa linapoteza BILLIONS kwa kutokuwepo umeme

Sijajua how much many lives kwa sababu ya direct au indirect loss of umeme

Yes najua utauliza swali kuwa JE KUWASHA MITAMBO YA DOWANS ndio ufunguzi wa muda mrefu? Jibu ni NO SIO lakini thats the immediate alternative

Pia kama sheria zikifuatwa then ziwashwe huku taifa linaendelea kutafuta long term solution to our power crisis

Last but not least sijawahi kukuona ukiuliza role ya PPRA, Lawyers na officials waliotufikisha hapa ambao as we speak wako kazini kama kawaida

Unless iitwe public enquiry at later stage kujua tatizo lilikuwa ni nini na nani ali play role gani...tena LIVE on Our own version of C-SPAN (Bunge TV ) perhaps?

The immediate alternative is to kutaifishi hiyo MItambo kwa mujibu wa sheria ya uhujumu uchumi. Mengine yote ni wizi mtupu
 
Tunasahau kuwa Rais Kikwete alikuwa waziri wa nishati na madini kwa karibu miaka sita na sasa amekuwa rais kwa miaka mitano na katika pande zote mbili ameshindwa kuonesha uongozi kwenye suala la nishati. Tatizo siyo umeme, ni uongozi.

this ends all discussion! Alafu cha kushangaza point kama hizi Chadema hawatoi. Sijui nani aliwafundisha siasa! Kuwa Waziri wa Nishati for 6 years uboronge alafu uje kuomba urais? Ivi kwa nini tunakuwa wajinga hivi?
 
Kwanza unaelewa nini kuhusu IPP in Tanzania au Independent Power Producer ? Kisheria NSSF kama IPTL na Songas sheria inawaruhusi ku zalisha umeme ila TANESCO bado wana monopoly ya distribution

inanekana umeamua ku bwa bwaja bila kuleta ushahidi wowote ule waka kufanya utafiti wowote ule

wapi Capian wamesign mkataba na NSSF au Tanesco?

You cant even think!?

Mkuu SLIDINGROOF,

Moelex23 amegusa maslahi yako au ni uzalendo tu ndiyo umekusukuma kuandika hivi?

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu do you really believe kuwa NSSF wanaweza kuendesha mradi ma "KUZALISHA UMEME" on their "OWN"?

Mimi sidhani - CASPIAN anaweza kuingia kupitia "MLANGO wa NYUMA" ... But .. Let me wait and see (that is the best I can do)!
 
Its getting old. Seeing and reading Dowans everydays is taking a toll in me. It seems like we as a country are obsessed with smallness. We should be ashamed of ourselves for discussing Dowans since 2006. What a country! Maybe wabongo tumelaaniwa. If as a country we can't reach a consensus on Dowans, we are doomed.

Siasa, paranoia, propaganda and chuki got into reality and grown people cannot make their minds up on small issues like Dowans or Kiwira. Whatever happened to commonsense? Wabongo tuna matatizo.

Kwani, it makes sense for CTI to want Dowans. They are in business that needs UMEME. And DOWANS generate UMEME. How hard is that to comprehend? Damn!

Even if it (DOWANS, KIWIRA, e.t.c) will be discussed for over a century - Wale waliongia kwenye mikataba ya kihuni (of which you call smallness) they have to be held accountable!

Bado Kuna washitakiwa wa UNAZI mpaka leo - wanaletwa mahakamani kwenye vitanda vya kubebea wagonjwa!
 
this ends all discussion! Alafu cha kushangaza point kama hizi Chadema hawatoi. Sijui nani aliwafundisha siasa! Kuwa Waziri wa Nishati for 6 years uboronge alafu uje kuomba urais? Ivi kwa nini tunakuwa wajinga hivi?

Una hakika na hilo lekundu? Umeshamsikiliza Dr Slaa vizuri ndugu?
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. ...

Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji.

........
Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. .
........
NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako..... Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! .
.....
Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni (1)kuona Kiwira inafufuka, (2)makaa yanachimbwa na (3)umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

Dah! Zitto

Mbona "temper" ipo juu sana? Ungebandika hii post ukiwa kwenye "normal state" probably jamii ingepata uelewa fulani...

Hizo "red spots" ni nyingi sana kwa Mh mbunge kuzitumia - Anywayz haiwezi kuwa proved kama ni wewe ume-post hilo bandiko hapo juu!
 
Mimi nimehudhunika sana na ukali wa maneno ya NAIBU KATIBU MKUU wangu....naamini si yeye
 
..terms za mkataba zitakuwa mpya au ni zilezile zinazoinyonga Tanesco?

..isije ikawa CTI ni geresha tu, lakini wamiliki bado ni walewale Dowans.

..what is so difficult kwa Tanesco kununua mitambo mipya? kuna disadvantage zozote kwa Tanesco kuchukua uamuzi huo?
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili.

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

Mods mnafanya kazi zenu ipasavyo au mnaangalia sura? Kwani zito ndiye mmiliki wa jf au ana hisa humu? mbona anachafua mazingira ya jamvi halafu mnamchekea? FANYENI KAZI ZENU BILA WOGA WALA UPENDELEO.

Mimi nimehudhunika sana na ukali wa maneno ya NAIBU KATIBU MKUU wangu....naamini si yeye

Kiongozi,
Zitto anapoandika habari za kuwafurahisha,mnampongeza bila kuhoji kama ni yeye ama ni mtu mwingine. Lakini anapomwaga utumbo mnageuka kusema hamuamini kama ni yeye, mambo gani haya sasa.

Hata kama ni katibu mkuu wako inabidi uweke mapenzi binafsi pembeni na uwajibike kukosoa bila kuuma uma maneno kama vile unavyopongeza bila kuumauma maneno.

Huyu Zitto siku hizi haaminiki tena, tangu enzi za dowans ndipo alipopotezea mwelekeo na kupoteza uaminifu wake miongoni mwa watanzania. Hivi nchi hii haiwezi kupata umeme wa uhakika bila mitambo ya dowans??

Ukimuona Zitto anamsifia mtu ama shirika ama kampuni unatakiwa kujiuliza mara mbili mbili. Zitto huyu huyu alikuja hapa kumsifia Dr. Rashid kwamba ndiye the best CEO miongoni mwa maCEO waliokuwepo bongo, leo hii tena anageuka kusema tanesco hawafai kupewa kiwira (labda kwa kuwa dr. Rashid hayupo tena) isipokuwa NSSF ndo wanaweza kuiendesha bila kuonyesha mafanikio yoyote waliyopata katika uwekezaji walioufanya katika sekta nyengine walizo na uwezo na utaalamu nazo ili tuamini kwamba wataweza pia kuzalisha umeme. Si ajabu Zitto akaja kutuambia kwamba ana imani NSSF inao uwezo mkubwa wa kuiendesha kiwira kwa kuwa Dr. Dau wa NSSF ndiye the best CEO miongoni mwa maCEO wa mashirika ya umma kwa sasa hivi!!
 
Nimesoma maneno ya Zito na Nimekuwa nafuatilia mara zote mawazo na fikra za Wabunge wetu wengi naona kuna tatizo kubwa katika kada ya Uongozi Tanzania.

Hivi kwanini Bunge linataka kutawala kazi za Serikali na Mashirika ya Umma? Hawa wabunge wetu wenye taama ya pepo dunia watatufisha wapi? kama Serikali haina mipango yake ya maendeleo na pia Maamuzi yake katika utekeleza wowote.

Bunge ni Policy Makers, sasa Zitto anachanganyikiwa nini? hivi kufuatilia nani afanye nini na nini kifanyike ndani ya Serikali inakuwaje kazi ya Bunge?!!, Maajabu kweli kweli! Eti Mbunge anataja nani atapewa nini katika mradi gani? hivi Serikali haina Taratibu za kufuaata katika kupata wawekezaji mpaka inafikia Mbunge anadiriki kusema nitahakikisha NSSF inapata Mradi fulani? Taratibu zitakuwa wapi? Is this not Biasing in the procedures? is there no any Procurement Procedure to be followed? why Zito is saying he will make sure NSSF is succeeding? is that not part of implementation which Bunge couldn't be involved at all?

Hivi tunaelekea wapi jamani na Wabunge wetu vilazi na wakwasi kiasi hiki?, Serikali inataratibu zake za kupata wawekezaji na kuchagua Bidders katika miradi na hii kazi ni nje ya Policy makers, kwanini wabunge wanataka kuingilia kazi ambayo siyo zao?

Kuna tatizo katika mipaka ya kazi kati ya Bunge na Serikali, Bunge linaingilia Serikali hadi chumbani! hii haikubaliki hata kidogo. Nani atawajibisha mwingine ikitokea makosa baadaye? baadaye Taratibu za zabuni na uendeshaji ukiingi sisimizi nani anaiwajibisha serikali katika mradi ambao Bunge ndio wanatafuta mwekezaji? Mhe. Zitto hayo mawazo yako si sahihi hata kidogo na haya kubaliki serikali inataratibu zake za kufuata wabunge msiziingilie, mkisha tunga sheria na kuhusu kupitisha taratibui za uendeshaji msitake kuwa watendaji, hiyo siyo kazi yenu, Mnataka kushiriki katika mambo ya utekeleza wa mipango ya Serikali huo sio utaratibu, hamuwezi kuwa vigeugeu kiasi hicho?!

Hii ni Tamaa ya utajiri, tena nashangaa sijui UWT wapo wapi? maana hawa watu karibia wote sio watanzania ndio wanatuvuruga hapa, Haikubaliki huwezi kufikia hatua ya kuchagulia Serikali nani apewe kazi gani hapo kuna Sheria tena jamani?!
Your have made my day Mkuu!
Unajua ukisoma magazeti unaweza kuamini hii kamati ndio Tanesco na Tanesco ndio hiyo kamati ya bunge...
anyway... ngoja nikamsalimie mama pima kwanza...
 
Your have made my day Mkuu!
Unajua ukisoma magazeti unaweza kuamini hii kamati ndio Tanesco na Tanesco ndio hiyo kamati za bunge...

yes mkuu .... umerudi kwenye point .... kamati za bunge ni kutoa ushauri au tunaweza kusema ni watchdog ... sasa Lyatonga mrema anasema watu wakamatwe .... hivi huu ndio utaratibu na mwenendo wa kazi au...? mimi nakubali sasa kuwa TANESCO inaingiliwa kimaamuzi tena na watu wasio na experience ya sector hiyo just wao ni wanakamati za bunge.... bullshit
 
Hao Tanesco wenye "experience" wamefanya nini kimoja cha maana miaka yote? kazi kuimba ngojera zisizo na mwisho?
 
..terms za mkataba zitakuwa mpya au ni zilezile zinazoinyonga Tanesco?

..isije ikawa CTI ni geresha tu, lakini wamiliki bado ni walewale Dowans.

..what is so difficult kwa Tanesco kununua mitambo mipya? kuna disadvantage zozote kwa Tanesco kuchukua uamuzi huo?

Terms za mkataba hazikuwanyonga Tanesco, umeme bei chini kutoka Dowans kuliko mwingine wowote, waliojinyonga ni wenyewe kukataa kulipia huduma waliokwisha itumia, kuwaambia watu waondoe mitambo halafu mkawazuwia kuondoa mitambo yao, hayo ndiyo yaliyowaumiza Tanesco, manguli wa sheria za biashara ICC wakaona hilo. Tusitafute sababu zisizo kuweko.
 
Kiongozi,
Zitto anapoandika habari za kuwafurahisha,mnampongeza bila kuhoji kama ni yeye ama ni mtu mwingine. Lakini anapomwaga utumbo mnageuka kusema hamuamini kama ni yeye, mambo gani haya sasa.

Hata kama ni katibu mkuu wako inabidi uweke mapenzi binafsi pembeni na uwajibike kukosoa bila kuuma uma maneno kama vile unavyopongeza bila kuumauma maneno.

Huyu Zitto siku hizi haaminiki tena, tangu enzi za dowans ndipo alipopotezea mwelekeo na kupoteza uaminifu wake miongoni mwa watanzania. Hivi nchi hii haiwezi kupata umeme wa uhakika bila mitambo ya dowans??

Ukimuona Zitto anamsifia mtu ama shirika ama kampuni unatakiwa kujiuliza mara mbili mbili. Zitto huyu huyu alikuja hapa kumsifia Dr. Rashid kwamba ndiye the best CEO miongoni mwa maCEO waliokuwepo bongo, leo hii tena anageuka kusema tanesco hawafai kupewa kiwira (labda kwa kuwa dr. Rashid hayupo tena) isipokuwa NSSF ndo wanaweza kuiendesha bila kuonyesha mafanikio yoyote waliyopata katika uwekezaji walioufanya katika sekta nyengine walizo na uwezo na utaalamu nazo ili tuamini kwamba wataweza pia kuzalisha umeme. Si ajabu Zitto akaja kutuambia kwamba ana imani NSSF inao uwezo mkubwa wa kuiendesha kiwira kwa kuwa Dr. Dau wa NSSF ndiye the best CEO miongoni mwa maCEO wa mashirika ya umma kwa sasa hivi!!

Kwani uongo kuhusu Dr. Rashid, he is the best, mlivyokataa kununuwa mitambo ya Dowans alisema mapema, nchi itaingia kizani, mkamuona mjinga, sasa giza totorooo na deni tutalipa tukitaka tusitake, na yeye kuona hakuna cha maana Tanesco, huyo kajiondokea zake tartiiiibu. Leo kawa mbaya? na Zitto leo kawa mbaya? Basi Tanzania nzima wabaya, wazuri ni nyinyi, mbona hatuwaoni kuwania nafasi za uongozi, mko na sisi hapa tulio semi-retired, tunapoteza wakati pamoja JF.
 
Dah! Zitto

Mbona "temper" ipo juu sana? Ungebandika hii post ukiwa kwenye "normal state" probably jamii ingepata uelewa fulani...

Hizo "red spots" ni nyingi sana kwa Mh mbunge kuzitumia - Anywayz haiwezi kuwa proved kama ni wewe ume-post hilo bandiko hapo juu!

Hizo zote zinatokana na fitna za mzeemwanakijiji.
 
Ni kama ule wa KIwira,Nyerere's gorge(stieglers') ulikoishia...ili waendelee kutukamua

I am doing something related to energy issues kama a rescue to climate change mitigation..Sasa katika ujinga wangu nikawa na propose taxing ifanyike kwenye maji kwani upande wa Tanzania watu wengi wanakuwa covered kuliko umeme, ili kuhifadhi vegetation ambayo itasababisha hydro power energy production iendelee badala ya ku embark into fossil fuels. Panelist wenzangu wakanishangaa...mmoja akaniuliza are you serious? Sikumwelewa akasema where in the world umeshasikia taxing inafanywa kwenye maji? Taxing inafanywa kwenye energy maana income itakayokuwa generated ni reasonable hata kuleta double dividend wakati mwingine kupunguza taxing kwenye labour ambayo ina leta sana distortion kwenye economy ya nchi...Akaendelea kusema kuwa kwanza maji ni social service so itasababisha social unrest...Kweli nilijiona mjinga kabisa maana policies za wenzetu duniani zinatofautiana sana ki uhalisia na ya nyumbani kwetu...Wenzetu wanaangalia social welfare zaidi.

Coming to the point now energy being a point where a reasonable income can easly be generated, have come to my senses and I can imagine why Mafisadi hawajishughulishi ku develop hii sector kwanza isaidie economy ya nchi kwani wao objective is to fill in their pockets, maswala ya nchi na welfare ni secondary agenda na siyo priority at least wakati huu ambao democracy na awereness siyo kubwa.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom