CTI Kutumika kukodisha Majenereta ya DOWANS: Fikra Pevu

Well said.
The question is not discussing Dowans for five years rather what leaders have done to bring the issue to rest.
Leaders are dithering to make difficult decision for the benefit of the nation. Why!

The executive branch of the state and parliament are under siege because at certain point they were the participants of the corruption or at the receiving end. As results of this intrusion in the states organs, the society fabric holding us as a nation is in jeopardy. For instance, if custodians of laws are rallying behind these evils, then who can defend us! No leader who can stand for our right, no leader who can talk on our behalf.

The main strategy of these libertine people is to dissect the nation so that they can pave a way for massive looting. They are using our own tax to plot assassination and instigate fights on streets as it is unfolding now. If we will not stand firm for the rule of the law and honor our principles and values, our future is obscured.
The DOWANS case can be summarized as follows;

An IPP inherited a fraudulent contrract from a briefcase company....richmond was not able to deliver,we took them to court,we won.Then fraudulently DOWANS got the contract but they delivered the goods at a decent price too!,somehow politics got in to it and stopped them,refusing to pay for the goods! they went to court and they won!......We still need electricity,so we said lets buy your generators,and we will settle the payment in the high court,they said cool!

Now what th f is wrong with that?We need those generators,we will be using them every year during the dry season or whenever needed.By just staying idle,we pay 1800$ a day!

Somebody please come with a different story(a layman version, of course),so i can understand the crap i am seeing!..Stop politiking for min,theres a lot of smart tanzanians that dont want that sh*t y'all trying to sell!

STOP IT, ENOUGH ALREADY!!
 
The DOWANS case can be summarized as follows;

An IPP inherited a fraudulent contrract from a briefcase company....richmond was not able to deliver,we took them to court,we won.Then fraudulently DOWANS got the contract but they delivered the goods at a decent price too!,somehow politics got in to it and stopped them,refusing to pay for the goods! they went to court and they won!......We still need electricity,so we said lets buy your generators,and we will settle the payment in the high court,they said cool!

Now what th f is wrong with that?We need those generators,we will be using them every year during the dry season or whenever needed.By just staying idle,we pay 1800$ a day!

Somebody please come with a different story(a layman version, of course),so i can understand the crap i am seeing!..Stop politiking for min,theres a lot of smart tanzanians that dont want that sh*t y'all trying to sell!

STOP IT, ENOUGH ALREADY!!

Hukulazimishwa kusoma wala kutazama mada hii. Kitendo cha kuisoma yote na kuijibu ina maana umeipenda/imekugusa.

Na wewe acha kuandika upuuzi kama huu ulioandika. Kuna watanzania wengi tena wengi sana bado wanataka kujua habari zaidi kuhusu Dowans na madhara yake kwa taifa.
 
Hukulazimishwa kusoma wala kutazama mada hii. Kitendo cha kuisoma yote na kuijibu ina maana umeipenda/imekugusa.

Na wewe acha kuandika upuuzi kama huu ulioandika. Kuna watanzania wengi tena wengi sana bado wanataka kujua habari zaidi kuhusu Dowans na madhara yake kwa taifa.
Nilimaanisha another version! ya dowans saga kwa sababu sielewi nini hasa ni tatizo!!
 
Pole Halisi lakini huwezi kutofautisha kujadili hoja na mtoa hoja,Zito ni Mbunge na ndiyo mtu muhimu sana kuhusu hoja hii kwahiyo na yeye anapojadili kwa vijembe,kiburi,dharau na matusi wewe hulioni msitake kuwafumba watu midomo kwa kisingizio cha kujadili hoja.Zito ni mbunge na naibu katibu mkuu wa CDM,chama kinachotaka kwenda ikulu kikiwa na zito kama mwenyekiti au hata rais 2005(kama anavyoota) nasema kama ni hivi kweli CDM bado ndiyo maana wanaitwa watoto bungeni Na kuhusu hili la kiburi cha zito kwa kumsaidia tu siyo sustainable anakaribia mwisho amuulize Mramba au marmot.Zito acha kiburi nafasi uliyonayo si kwa ajili ya kufuraisha nafsi yako ni kutumikia watanzania na CDM mnaitaji viongozi mahiri na makini

Sijazuia wala kukataza mjadala wa yeyote akiwamo Zitto, lakini nilichosema ni kwamba katika hii thread watu walipoteza na kuanza kujadili hoja tofauti, ndio nikasema kama kuna mtu ana hoja afungue thread ingine ama aende mahali mjadala huo upo. Mfano mjadala wa Kiwira/NSSF upo na kuna taarifa ya kamati ya Zitto humu.
 
Nimalizie kwa kuelezea kilichotokea JAPAN: Japan, kulishawahi kutokea TSUNAMI (hili ni neno la Kijapan) yenye urefu wa mita 10. Sasa kwa nini walijenga ukuta wa mita 6? Kampuni binafsi ilikuwa ikisave pesa. Pia kulikuwa na uwezekano wa kujenga mbali na pwani hiyo mitambo yao Nyuklia. Kama wangelifanya hivyo, gharama zingeliongezeka kwa asilimia 4 au 5%. Wakaona kuwa hizo ni kubwa sana na wakaamua kuiacha baharini. Matokeo yake ni kuwa leo hii dunia nzima imekuwa wimawima kuhangaika na madhara yanayoweza kutokea au tayari yameshatokea huko. Haya makampuni binafsi, wao wanajali zaidi biashara na hawajali kabisa next generation na wananchi kwa ujumla. Sasa hivi, wanalipa zaidi ya hizo walizotaka ku-save. Kibaya, ni wananchi tena watalipa mara mbili.
Ningelipata sana faraja kama hawa wazalishaji wengine wa umeme, wangeliwaachia TANESCO pekee wazalishe.

Sikonge

Samahani sana ila nafikiri hujapata facts kuhusu hali ya Japan.
Umeme unazalishwa na mashirika ya umma ambayo yapo moja kwa moja chini ya serikali kama TANESCO ilivyo. Hayo mashirika yamegawika kwa maeneo tu lna hayaingiliani la eneo moja hadi jengine kiutendaji akini yote ni ya serikali. Na kuna monopoly ya uzalishaji na usambazaji umeme nchini Japani kama ilivyo Tanzania (hakuna monopoly ya uuzaji heat/hot water lakini kuna monopoly ya umeme) na mashirika ya kigeni mengi yeshalalamikia hali hiyo lakini serikali ya Japani ikakataa kuwa ni suala la national security lazima liwe chini ya serikali. Kwa hiyo hakuna suala la kampuni private kusave pesa.

Pili sijui una utaalamu wa kiasi gani na ujenzi wa mitambo ya nyuklia na kwa nini wakajenga karibu na bahari. Ingelikuwa hawapo karibu na bahari kunapopatikana maji kirahisi, sasa hivi tungekuwa tunazungumza masuala mengine, manake radiations zingekuwa zishaenea huko Japani kote. Sasa hivi kunatumiwa maji ya bahari kupoza mitambo huko.

Kwa kuongezea tu, Japan ina sheria kali zaidi za kiusalama duniani when it comes to nuclear power stations kama Angela Merkel alivyorejelea alipoamua kufanya review/ kufunga vituo hivyo nchini Ujerumani.

btw: Ilishawahi kupigwa lini na tsunami la mita 10?
 
kaazi kweli kweli, ya kiwira nayo tunaendelea kuyasubiri.

Kiwira ni hivi karibuni imeripotiwa kuwa mgodi ulikuwa chini ya milki ya mwekezaji,hapa napo changa la macho tena kweupeeee.
Source:Kamati ya zitto na management ya kiwira.

haya sasa sema wapi tena bado!!
 
Ni bahati mbaya sana kuwa MPUMBAVU! Lakini kununuliwa utumike kama MPUMBAVU ni mbaya zaidi,nadhani tunaweza kuiita LAANA!
This is PATHETIC!
Kuitwa mtanzania huku na huyu nae anaitwa mtanzania mwenzangu,it's a DISGRACE to me! I disown you officailly,publicly and permanently...and I know you know why. Hata wewe unajua seriousness ya huu mradi uliouanzisha,wa kuuza busara zako ili uwe kitendea kazi cha MAFISADI! Nafsi yako inakuhukumu tayari! Again PATHETIC!
Kama ulikuwa huelewi kuwa mwanakijiji ni fataani sasa ndio utamuelewa. Ushawahi kuona kitu chochote "positive" kutoka kwake? Mimi sijawahi, majungu, fitina, kuponda hayo ndio ayajuwayo yeye. Fikra zake ni kuanzia sasa kurudi nyuma, hana uwezo wa kutazama ya kesho tu licha ya mbele zaidi. Huu ni ugonjwa unaosabishwa na wivu, chuki, roho mbaya za kurithi "genetically". Hauna dawa.

Hasad zimemjaa.

Hiyo ni analysis yangu kwa mwanakijiji kutokana na maandishi yake.
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. WHAT MAKES YOU SAY YOU ARE RESULTS ORIENTED KTK SWALA LILILOMEZANI Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa AGAIN HOW CAN YOU PROVE WAKATI KUNA USHAHIDI WA KIMAZINGIRA UNAOONYESHA HIVYO. AMA WATULETEA MANENO TU HAPA. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili. NAJUA WAMUUNGA MKONO JK, HATA HUKUTOKA BUNGENI, JE NI KWA SABABU UNADHANI YEYE ANAUWEZO WA KUONGOZA TAIFA HILI?

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule NI KWA SABABU UMESHAPEWA SUPPORT NA RA na LE. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. WENYE HAKI NI NSSF TU? Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale SO WHY NSSE, NOT ME OR ONYBODY ELSE. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii ????na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako KIONGOZO ANASIKILIZA SANA NA KUSEMA KDG BWA MDOGO!. Sibabaiki. I do the right thing HOW DO YOU PROVE AMA UNA-ILLUSION ZAKO TU and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!


Mimi ni mfuasi wa itikadi za Mwalimu na napenda kumuenzi; alisema heshima ya mtu ni kazi na si kuchaguliwa kuwa mbunge or whatever! Wtz tunakaliwa vichwani sasa hivi na watu ambao wengine ni darasa la saba, wengine waganga wa kienyigi kwa sababu tumewatukuza sana to the extent wanasahau kwamba sisi ndio waajili wao, wanafikia kututukana kama Bwana mdogo Zitto hapa (angalia kwenye red hapo juu)

Hii si haki kabisa, Bwana mdogo anasahau hapa kuna lika mbalimbali; vijana, lika lake, kaka zake na wazee wake! anatukana tu kwa sababu kazoea kuitwa mbunge!!

Bwana mdogo be careful hizo pumbavu, pumbavu zinatoka wapi? Nimefuatilia maongezi yako last time uliulizwa kwa nini hushiriki kwenye maandamano uilibuka ukitukana! This is a discussion forum, hizo pumbavu ziache nyumbani kwako kama umeoa kamtukane mkeo maana wewe ni mbunge! Aaaalah!

Finally hapo kwenye pink nimepitia maelezo zako na kuuliza maswali hope hutajibu kwa matusi tena!
 
The DOWANS case can be summarized as follows;

An IPP inherited a fraudulent contrract from a briefcase company....richmond was not able to deliver,we took them to court,we won.Then fraudulently DOWANS got the contract but they delivered the goods at a decent price too!,somehow politics got in to it and stopped them,refusing to pay for the goods! they went to court and they won!......We still need electricity,so we said lets buy your generators,and we will settle the payment in the high court,they said cool!

Now what th f is wrong with that?We need those generators,we will be using them every year during the dry season or whenever needed.By just staying idle,we pay 1800$ a day!

Somebody please come with a different story(a layman version, of course),so i can understand the crap i am seeing!..Stop politiking for min,theres a lot of smart tanzanians that dont want that sh*t y'all trying to sell!

STOP IT, ENOUGH ALREADY!!

Kobello,

The smart Tanzanians are opposing Dowans. Erudite, Opposition and majority MPs from ruling party don't want to hear the dowans rubbish at all. Kobello and likes still believe that without Dowans the nation can't have an alternative to power.

Kobello want electricity regardless of the consequence the nation will suffer in future in terms of corruption, sabotage and breach of laws, principles and values which glue us as nation. Promoting depravity is a suicidal act, the likes of Kobello can't see this iota, what they know is electricity nothing more, oh! it is ominous!

Kobello, these nincompoop who are dragging us into this mess, are the same people siphoned money from BoT through dubious companies with impunity.They have stolen your money!!, unfortunate the ability to see this is not extended to myopic you may belong to.

No one is opposing Dowans as a company . The core issue which you're not well informed is that, the whole procedure which honored Dowans the contract is flawed ab initio. In this context it is an illegal business inherited from dirty business and never the outcome will be clean regardless of how cheap is the product.

What some people don't understand is that, giving these monsters a chance to play with our minds endangers the national security.

Kobello, RA is implicated with the plot to assassinate political leaders. This is serious allegation for the MP and an ally to Ikulu .He was also implicated with the killing attempt of famous journalists in the country! He is a master mind behind robbery in BoT etc. Currently, he is using media to propagate religion conflict to garner the support from sect of the public. He wants to kill people so that Dowans and other dubious contract go through unchecked. He has taken our leaders under siege and now wants to silence the public through intimidation and puppets.

People who want light like Kobello don't see this as precarious.The Dowan/Richomnd saga has taken our leader into hostage, right now all top leaders are lip tight because they can't point a finger to king maker . All states organs have been infiltrated and are now operating under the directive from Dowans mafias.

Guess what Kobello, we will relentlessly echoing our voice against Dowans, and we will shout loud and clear for the same, we will make sure we don't become puppets or refugees in our own country.

So, as one said, you're not compelled to read what others write, however once you retort then you must have a gist to talk about not libel, Babel or tantrum.

Nguruvi
 
Its getting old. Seeing and reading Dowans everydays is taking a toll in me. It seems like we as a country are obsessed with smallness. We should be ashamed of ourselves for discussing Dowans since 2006. What a country! Maybe wabongo tumelaaniwa. If as a country we can't reach a consensus on Dowans, we are doomed.

Siasa, paranoia, propaganda and chuki got into reality and grown people cannot make their minds up on small issues like Dowans or Kiwira. Whatever happened to commonsense? Wabongo tuna matatizo.

Kwani, it makes sense for CTI to want Dowans. They are in business that needs UMEME. And DOWANS generate UMEME. How hard is that to comprehend? Damn!

Mkuu una share na wewe huko? Mbona hivo sikuelewi mie sijui wana JF wenzangu, unaonekana una mtazamo wa kibiashara zaidi hata kama ni haramu!
 
Kobello,

No one is opposing Dowans as a company . The core issue which you're not well informed is that, the whole procedure which honored Dowans the contract is flawed ab initio. In this context it is an illegal business inherited from dirty business and never the outcome will be clean regardless of how cheap is the product.

Nguruvi, our friends here (who support Dowans) they do so not because they are "not well informed"; I wish that was the case kwa sababu tungejitahidi kuwafahamisha zaidi na kuwashawishi wakione kile ambacho wengine tunakiona. Wenzetu wako informed pretty well na wanajua vizuri issue nzima ya Dowans.

kwao ni "despite of" ya yote tunayoyajua wao wanasema tufanye tu biashara. Yaani, hawajali kilichofanywa na Dowans kuingia nchini na kupata mkataba wa Richmond; kwao "it doesn't matter". Reasoning yao iko hivi:

a. Richmond iliingia kifisadi
b. Dowans ilichukua mkataba wa Richmond/Tanesco vibaya (kwa makosa)
c. Dowans iliingizwa nchini kwa mgongo wa wanasiasa (Kikwete na Rostam)
d. Mkataba wenyewe ulikuwa mbaya ukiipendelea Dowans (rejea kauli za Surtee na Munayi kwenye kamati ya Mwakyembe)
e. Kampuni ya Dowans ni kampuni ya "on shelf) ambayo ilianzishwa kwa ajili ya kupewa dili na serikali kama sehemu ya kurudisha fadhila ya kumsaidia JK kwenye uchaguzi wa 2005.


They will concede all that:

Lakini wanasema "pamoja na hayo, nchi iko kwenye matatizo ya umeme tuwashe tu ili umeme upatikane na kupunguza (hawasemi kuondoa) tatizo la nishati".

Yaani, pamoja na taifa zima kuchezewa mchezo wa kiini macho na mafisadi na tayari kuingia gharama tayari zaidi ya bilioni 150! bado tunatakiwa kufanya biashara na watu wale wale.. Ni sawasawa na mtu ambaye anasema "nimekuja kukuokoa kutoka baharini unakozama" na wewe unafurahia lakini akishakuokoa ukatoka anakutumbukiza kwenye pipa la mafuta yanayochemka.

mfano mzuri ni movie hii inayokuja ya Paul ambapo yule alien alimuokoa ndege aliyeanguka na kufa na kumrudishia uzima; alipopata uzima akambugia mzima mzima! Marafiki zake wakashangaa na kumuuliza "why did you do that for".. akawaambia "I'm not going to eat a dead animal, would I?"! It makes sense!

Tunafikiri wanataka kuturudishia uzima ili tupeperuke kwa furaha; la hasha wanataka kuturudishia uzima ili watutafune wazima.

Ndio maana hawataki kufikiria wala kujaribu suluhisho jingine lolote la haraka isipokuwa hili la Dowans.

Nimependekeza mara kadhaa kama kweli majenereta ya Dowans ndio suluhisho wakati huu, RAis atangaze hali ya dharura, I suspend PPA, aagize kununuliwa kwa mitambo mipya toka kwa watengenezaji moja kwa moja bila ya tenda - in a transparent manner. Na wakati huo huo kuseize mitambo ya Dowans na kuiwasha bila ya kuingia mkataba na kuwalipa exactly market price ya units za umeme tutakazotumia katika kipindi hicho tu - compensate them at a fair price. Bila ya kufungwa na mkataba. Majenereta yetu yakiingia tunaondoa hali ya hatari, tunawarudishia Dowans majenereta yao na kuwatimua nchini. Na pale Ubungo tunafunga majenereta yetu.

Haya yote yanawezekana kufanywa kwa sheria zetu siyo nje ya sheria. Guess what.. ? Hawawezi kufanya hivyo kwa sababu siyo tatizo la kweli.
 
mimi nasubiri umeme wa NSSF

NSFF hawana jipya, wanatekeleza kila kinachoagizwa na Mafisadi. Dr. Dau hana ubav u kwa Yusuf Manji. Tunajua kwanini. Ushauri wangu kwa Dr. Dau, wenzio hao hawana siri, nyumba yako ya UK wanatamba wamekununulia wao kwa kufanikisha deal ya mradi wa Ubungo. Its a shame.
 
Kiwira ni hivi karibuni imeripotiwa kuwa mgodi ulikuwa chini ya milki ya mwekezaji,hapa napo changa la macho tena kweupeeee.
Source:Kamati ya zitto na management ya kiwira.

haya sasa sema wapi tena bado!!

Kampuni iliyokuwa inaendesha mradi wa Kiwira ilikuwa na hati milki ya migodi ile. Ilitumia hati zile kukopa CRDB, pesa hazikutosha, wakaenda kukopa NSSF na PSPF, kwa kudhaminiwa na CRDB. Mmiliki mpya hawezi kupewa hati zile mpaka deni la CRDB/NSSF na PSPF zilipwe. Serikali ikawaomba wachina waje kuendeleza ule mradi kwa matarajio kuwa wachina wangeweza kufanya vizuri zaidi kwa sababu wao ndio walioanza kuwekeza pale. China wamekuja na mapendekezo tu, ya kuwa wanaweza kuwekeza. NSSF ameona ni bora atangaze ili azibe nafasi ya wawekezaji wengine kuja kuwekeza ili miradi ya umeme na shida tuliyonayo itulazimishe tununue mitambo ya Dowans. Dr. Dau anatumiwa ktk hili, na anajua anachokifanya.

Hakuna MoU kati ya China na NSSF, how come Dr. Dau akimbilie kutangaza kuwa watazalisha umeme wa Kiwira? Hivi daraja la Kigamboni wameshindwa nini kulijenga mpaka leo, au kwa sababu makampuni yaliyoshinda hayakuwa ya marafiki zake MAFISADI?
 
Mkuu una share na wewe huko? Mbona hivo sikuelewi mie sijui wana JF wenzangu, unaonekana una mtazamo wa kibiashara zaidi hata kama ni haramu!

Seleman, shika adabu yako, hapa hautuko kwenye ngoma ya unyago. Suala la Dowans lina udogo gani? CTI wamepata wapi hela za kukodi mitambo ya Dowans wakati wao wenyewe hawana hela za kuendesha ofisi yao? Tusichezewe kama karata hapa. Kuwa mazalendo kwa nchi yako wewe usikubali kutumiwa ujinga, unadharauliwa wewe,ebo!
 
Mimi ni mfuasi wa itikadi za Mwalimu na napenda kumuenzi; alisema heshima ya mtu ni kazi na si kuchaguliwa kuwa mbunge or whatever! Wtz tunakaliwa vichwani sasa hivi na watu ambao wengine ni darasa la saba, wengine waganga wa kienyigi kwa sababu tumewatukuza sana to the extent wanasahau kwamba sisi ndio waajili wao, wanafikia kututukana kama Bwana mdogo Zitto hapa (angalia kwenye red hapo juu)

Hii si haki kabisa, Bwana mdogo anasahau hapa kuna lika mbalimbali; vijana, lika lake, kaka zake na wazee wake! anatukana tu kwa sababu kazoea kuitwa mbunge!!

Bwana mdogo be careful hizo pumbavu, pumbavu zinatoka wapi? Nimefuatilia maongezi yako last time uliulizwa kwa nini hushiriki kwenye maandamano uilibuka ukitukana! This is a discussion forum, hizo pumbavu ziache nyumbani kwako kama umeoa kamtukane mkeo maana wewe ni mbunge! Aaaalah!

Finally hapo kwenye pink nimepitia maelezo zako na kuuliza maswali hope hutajibu kwa matusi tena!

Zitto,

Lugha za matusi ktk forums sio nzuri. Wewe ni kiongozi wa watu, unatakiwa kuwa na busara. Unapojibu namna hiyo unatupa wasiwasi nasisi tunaokuamini na kukupenda. Watu wanalalamika kwa sababu wamechoshwa na ahadi zisizotekelzeka. NSSF bado hawajajisafisha na kashfa yake na Yusuf Manji. Tusipende kuacha acha viporo kwa desturi ya business as usual. Desturi za namna hii zimegharimu usalama wa nchi nyingi sana. Mwanadamu hugeuka mnyama na kufanya lolote pale kiwango chake cha uvumilivu kinapokuwa kidogo sana, ktk hali hiyo, anaweza kufanya lolote bila kujali chochote. Unajua nina maana gani. Jitahidi kujitoa ktk au kukaa mbali na mafisadi, kuna msemo usemao, 'tabia ya mtu hujengwa kwa asilimia angalau 25 toka kwa marafiki au jirani zake. Angalia, usije kujengwa na tabia za hao jamaa. Wenzio wanadai kuwa "wamekununua" na ndio maana hawasikii hata siku moja ukimsema Rostam, Manji au Lowassa hadharani kama unavyofanya kwa wengine, pamoja na kuwa unajua wizi mkubwa wanaoufanya kwa masikini wa nchi hii.
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili.

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

"upuuzi", "stupidity", "upumbavu", "ujinga",.........

Kuna mchizi wangu mmoja aliniambia ana refrain sana kutumia maneno "stupid" and the like.Most of the time watu wanaotumia sana maneno hayo wao wenyewe ndio wanakuwa stupid, basi kwa minajili hiyo muheshimiwa Zitto atatia fora kwa stupidity mbona.

Wapi staha za uwakilishi wa wananchi?

Au ndio mambo ya viongozi vijana ? Watu kama hawa wanaoamini absolutely kwamba wao wana monopoly ya kujua upuuzi ni upi wakipewa uongozi wa nchi si watakuja na some eugenic killing squads kuondoa upuuzi miongoni mwetu.

Have some humility kiongozi.

One other note, really ambitious people don't say "I am ambitious". It is vulgar, tactless and amateurish. Really ambitious people do ambitious things and let the people see their ambition.

For somebody who purpots to value actions over talk, you talk too much.

And what's with this "Go hang yourself" business ? Wewe mbunge au muimba taarab za mipasho? That is some shyt I would expect from some Saida Karoli or somebody who can claim ignorance due to lack of exposure/ schooling. Huu ndio usomi huu wa kukejeli watu en masse ?
 
Wapi staha za uwakilishi wa wananchi?

Nadhani ndugu yetu alipitiwa tu, tumsamehe na sidhani kama alikuwa na nia mbaya. Sote wakati fulani tunajikuta tunasema vitu ambavyo tungekuwa na uwezo tungevifuta katika kumbukumbu ya mtiririko wa muda.
 
Nyerere miaka 24 alifanya nini kwenye hili? Mwinyi 10, Mkapa 10, Kikwete 6. Let's be fair, mikataba tu ya umeme iliyokwisha sainiwa na Kikwete katika kipindi chake, baada ya kutekelezwa (imeshaanza) ni 100x kuliko awamu zote kabla yake ukizichanganya.
Nyerere alijenga mtera(tulijenga),akaanzisha kiwira.10%ya watanzania walikuwa naaccess ya umeme all year long fo cheap!
Sasahivi kinachotuuma ni mkapa kutumia kiwira as a collateral kujipatia fedha za kigeni! na serikali kutudanganya kuwa wamerudisha kiwira!
Sioni kosa la DOWANS,but we need some kind of explanation on what really happened to kiwira!!
 
Juzi nilipita mtera!
Namshukuru mungu kuwa mvua inazidi kuongezeka na mabwawa yetu hasa mtera angalau yajae tuepukane na hii dhahma.
 
Back
Top Bottom