Elections 2010 CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

Bunge la mwaka huu si mchezo ila huyu mzee huwa atabiriki anabadilika kama kinyonga leo wa bluu kesho mwekundu
 
Akina Mrema na akina Kingunge hivi kuna tofauti? Si wote ving'ang'anizi tu?
 
Guys, let us not cross the bridge before coming closer to it...Mrema apewe muda, aiingie bungeni tuone kama kule ku dansi nyimbo za CCM kulikuwa kweli au changa la macho??????
 
Akina Marando walimponda kuwa hana lolote na kumtimua NCCR matokeo yake kila mtu amekuja kujua kuwa kumbe mrema alipokuwa NCCR na kuipatia viti kibao vya ubunge alikuwa na lolote. Acheni kumbeza mkuu wa kirarachi. hao wenye lolote wamefanya nini huk bungeni. Wana vunjo wanamjua mrema kuliko nyie mnaobwatuka huko mliko.
 
kiti chu ubunge vunjo kachukua lyatonga mrema wa tlp,na udiwani kimechukuliwa na chadema kata ya kirua vunjo. . .
 
babu mrema anatisha, mrema hana bif na kikwete ,mrema bifu lake ni na mkapa maana 1995 mkapa alimuibia kura kwa hiyo tujue ye si kibaraka wa ccm bali alikuwa anawadanganya raia kwa kumsifia jakaya ili wampe kura kwa ninavomjua bungeni atawageuka kina kikwete mrema huwa aogopi mtu bwanaaa
 
Jamani naomba kuulza nilikuwa training kidogohivi huyu jamaa ameshinda uchaguzi jamani
 
unacheza na wazee wa vunjo?!!

walimuita na wamempa ubunge
 
kama unamuulizia mrema yule wa tlp kashinda na nasikia sasa anaitaka wizara yake ya ulinzi


yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na mariaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa augustoooooooooooooooooooooooooooooooo jamani na afya yakkeeeeeeeeeeeee ile ama imebadilika
 
Aliomba uwaziri wa mambo ya ndani na si ulinzi. Hapa alikuwa anamkebehi Masha kwa kushindwa kule Nyamagana
 
Kuna jamaa aliniambia alichaguliwa na WANAWAKE kwani alipokuwa waziri wa mambo ya ndani alitoa AMRI kwa waliokuwa SUNGUSUNGU mtu akimpiga mke wake analala ndani siku 14,,there after ndo unapelekwa kwa PILATO,,,,hii kitu iliwafanya wakina mama wafurahi saana na ndio maana mpaka aingie kaburini hawatamsahau
 
Kuna jamaa aliniambia alichaguliwa na WANAWAKE kwani alipokuwa waziri wa mambo ya ndani alitoa AMRI kwa waliokuwa SUNGUSUNGU mtu akimpiga mke wake analala ndani siku 14,,there after ndo unapelekwa kwa PILATO,,,,hii kitu iliwafanya wakina mama wafurahi saana na ndio maana mpaka aingie kaburini hawatamsahau

Huu ndio ukweli! Wanawake wengi walimpigia kura Mrema - na wala si mkono wa CCM hapa. Ikumbukwe Kikwete alikwenda Vunjo kumpigia kampeni mgombea wa CCM Bw Crispin Meela.
 
Jamani naomba kuulza nilikuwa training kidogohivi huyu jamaa ameshinda uchaguzi jamani

kashinda tena rekodi yake ya uraisi imeshindikana kuvunjwa na daktari wa ukweli.

mrema asilimia 28 daktari wa ukweli asailimia 26. mrema juuu juu zaidi

chadema walifikiriaga washangaa helikopta ni wapiga kura
 
Ni kweli amepata jimbo.Lakini kwa ufanisi gani? Mrema nimjuaye mii sasa hivi kachoka hana mvuto hana mtazamo mpya wala hoja zaidi ya nilikuwa waziri, kaimu waziri mkuu na hivi. Tuna hitaji mtu mwenye vision sio mpingaji tu bila hoja.
 
Back
Top Bottom