Elections 2010 CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

Tunasahau!

1. Hivi kuna mtu mahiri wa kufanya kampeni ktk inchi hii kama Mrema?

2. kama ameshachoka..ok..ila mbona wengine tena walianguka wakati wa kampeni je yeye kama ni mgonjwa mliona alianguka?

Watu wa Vunjo wameamua..angalau jimbo lipo upinzani!

2. Hivi niulize jambo moja..inakuwaje Mkoa wa Kilimanjaro na Kigoma, Dar na Mara..kuna mazoea ya kuleta wabunge wapya na kuzoea mabadiliko wakati sehemu zingeni hamna? Angalia mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Tanga na Ntwara ni CCM miaka yote? Nini kinasababisha mikoa mingine kukosa ujariri wa kupenda mabadiliko? Hata ukitulinganisha Tz na Kenya, Zambia, Malawi na Ghana...tayari vyama vile vilivyoleta Uhuru vilishadondoshwa vikaja vingine! Kuna sababu zipi Tz kama jamii tunakosa ujasiri wa kufanya mabadiliko angalau basi kwa miaka 5 tukaangalia? Tuna hofu gani kama jamii?
 
Back
Top Bottom