Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Naipenda JF kulinganisha na mitandao ya kijamii niliyoitaja hapo juu kwasababu zifuatazo:
Sipendi haya yafuatayo:
Ongeza
- hutoa taarifa kwa haraka sana na kwa asilimia kubwa huwa ni za ukweli
- uhuru wa mawazo
- kuwepo kwa wachangiaji mbali mbali wale wenye kujenga hoja za kitafiti, wenye kuchekesha wakati wanafikirisha, n.k.
- kuwa mtandao wa wasomi (nawatambua kwa hoja).
Sipendi haya yafuatayo:
- Kunyimwa haki ya kuchangia kwenye baadhi ya forums
- kuwepo upendeleo na hali ya ubaguzi kwenye kuchangia hoja
- personal attack kwa matusi ya wazi wazi
Ongeza