Compared to Facebook, Twitter and Skype, JF is the best for Tanzanian environment!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Naipenda JF kulinganisha na mitandao ya kijamii niliyoitaja hapo juu kwasababu zifuatazo:
  1. hutoa taarifa kwa haraka sana na kwa asilimia kubwa huwa ni za ukweli
  2. uhuru wa mawazo
  3. kuwepo kwa wachangiaji mbali mbali wale wenye kujenga hoja za kitafiti, wenye kuchekesha wakati wanafikirisha, n.k.
  4. kuwa mtandao wa wasomi (nawatambua kwa hoja).
tuongezee, wewe unapenda nini humu?

Sipendi haya yafuatayo:
  1. Kunyimwa haki ya kuchangia kwenye baadhi ya forums
  2. kuwepo upendeleo na hali ya ubaguzi kwenye kuchangia hoja
  3. personal attack kwa matusi ya wazi wazi

Ongeza
 
Twitter to me is more educative
FB is for flirting
Skype interactive communication, cheap calls
JF is nowhere close to FB, twitter or Skype, I can't anything in JF there no more freedom of expression!! JF is full of childish and abusive languages ! Personal attacks etc etc
 
toka na UZUNGU wako hapa...wazungu wameondoka AFRICA lakini watumwa bado mpo...Jf ni mtandao wetu...itakujenga unapotaka kujengeka...utacheka unapotaka kucheka...ati twiraa,katu hatuji kuwa na maendeleo...watu hatujui kusifia vya kwetu...ww+mvua mmeniharibia siku.
 
Huyu jamaa namshangaa, kama haipendi JF anatafuta nini???
 
toka na UZUNGU wako hapa...wazungu wameondoka AFRICA lakini watumwa bado mpo...Jf ni mtandao wetu...itakujenga unapotaka kujengeka...utacheka unapotaka kucheka...ati twiraa,katu hatuji kuwa na maendeleo...watu hatujui kusifia vya kwetu...ww+mvua mmeniharibia siku.

Karibu twitter ndugu!!
 
Karibu kufacebuku! Changia JF kidogo gharama za uendeshaji usishoboke bure tu

Angalia status yangu....
acha kuongea bila evidence....
Facebook ni utoto hakuna lolote...
Great Thinkers wako huku na waleeee ndo wako FB so chagua mwenyewe
 
Acha mbwe mbwe changia JF iBoreshwe! Achana na bla bla!! FB unategemea sana rafiki zako ni kina nani na security settings Umeweka vipi ! Si Kila mjinga anaweza post kwa wall yangu
 
Najua unatumia JF mobile....
Poa ntachangia zaidi na zaidi ila usilete tena kashfa zako coz hutakiwi kukata tawi ulilokalia
 
Nafurahi umetupa taulo ulingoni na mikono juu! And the winner is blue corner rt rev masa
 
toka na UZUNGU wako hapa...wazungu wameondoka AFRICA lakini watumwa bado mpo...Jf ni mtandao wetu...itakujenga unapotaka kujengeka...utacheka unapotaka kucheka...ati twiraa,katu hatuji kuwa na maendeleo...watu hatujui kusifia vya kwetu...ww+mvua mmeniharibia siku.

Te te te te te te te te te ......! Unajua kuna watu wengine ni mateja. Wako bongo nusu ila ndoto zao wamevuta hisia ulaya na kwingineko.
 
SKYPE,FB NA TWITTER NAZIPENDA,zinarahisisha mawasiliano.

ILA,
JF NAIPENDA KWA AJILI YA UCHAMBUZI MBALIMBALI NA TAARIFA ZA HARAKA,KUNA TAARIFA ZINGINE UNAWEZA KUZIPATA LAKINI HAZIONYESHWI KWENYE MEDIA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom