Coming soon: The tallest building in Tanzania?

Video yake nitakuleteeni soon (kesho). I hope hii itabadili sura ya Dar kwa kiasi flani. Ujenzi umekwishaanza. Wenye info zaidi wanaweza kutupatia.

Linajengwa karibu na mataa ya Royal Palm Hotel (ukiwa unaelekea Mwenge/Masaki) jirani kabisa na kituo cha mafuta cha BP.

Litajulikana kama Uhuru Heights

Video:

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=BAPwAC4LOnw"]YouTube - Uhuru Heights[/ame]

Images:

i287_Uhuru2.jpg

i288_Uhuru3.jpg

i290_Uhuru5.jpg

i291_Uhuru6.jpg

MKuu picha hazionekani kwetu wengine
 
Dar-es-salaam hata wakiacha kujenga majengo posta wakatafuta site zingine bado foleni hazitaisha.Kwa watu wanaofanya kazi kurasini huko lets say New Immigration offices afu mtu anatokea mbezi beach bado anapambana na foleni kali balaa.Hata wafanyakazi wa VODA na TCRA ambazo saivi zipo Mlimani city sidhani kama wanapata unafuu wowote wa foleni labda kwa wanaokaa around tht area.Cha muhim miundo mbinu iboreshwe!!!!.Hopeful Magufuli en Mwakyembe will work on ths
 
NYUMBA ya Sanaa itakuwa another peak endapo serikali itawalinda wavamizi
 
Ninakerwa sana na uendelezaji wa eneo ambapo mimi napaita mji mkongwe wa Dar es Salaam....

Hakuna maeneo mengine wajameni?????

Yep huwa najiuliza wataalamu wetu wa mipango miji na wachumi kama wanawashauri vizuri wawekezaji ama ni kila mtu anakurupuka kwa vile mfuko unaruhusu............hebu jengo kubwa namna hiyo linahudumiwaje katika eneo ambalo tayari kuna mgogoro wa huduma hasa ya usafiri?
 
kuna mkuu mmoja alisema watumishi wengi wa ardhi na halmashauri wanatumia vikwapa kufikiria.... if you want to prove this, mtafute meya akuambie why hilo jengo ni muhimu hapo lilipo, atasema yeye anachojali ni mapato tu!!!
 
Urefu wa jengo ni wingi wa ghorofa au nini? maana jengo la ghorofa 12 linaweza kuwa refu (by design) kuliko jengi la ghorofa 16. Kwangu mimi tupime urefu kwa kuangalia kimo cha jengo kutoka ardhini (Height), then tulinganishe na majengo mengine marefu yalipoyo sasa.
 
@ Ndinda........... i meant hakuna nafasi hapo, kuanzia packing, feeder, breathing etc
 
Video yake nitakuleteeni soon (kesho). I hope hii itabadili sura ya Dar kwa kiasi flani. Ujenzi umekwishaanza. Wenye info zaidi wanaweza kutupatia.

Linajengwa karibu na mataa ya Royal Palm Hotel (ukiwa unaelekea Mwenge/Masaki) jirani kabisa na kituo cha mafuta cha BP.

Litajulikana kama Uhuru Heights

Video:

Images:

i287_Uhuru2.jpg

i288_Uhuru3.jpg

i290_Uhuru5.jpg

i291_Uhuru6.jpg

jengo limeshaisha?3 years already
 
Last edited by a moderator:
how many stories will be? is mafuta house taller than this? i recon mafuta house has 27 stories! am I right? the building looks old fashionned, Exim tower although not that tall but better!
 
NYUMBA ya Sanaa itakuwa another peak endapo serikali itawalinda wavamizi
ishakula nyundo siku kadhaa zilizopita watanyanyua kitu kinaitwa DAR TOWER muda si mrefu, ni kati ya NMB na developer mwingine
 
how many stories will be? is mafuta house taller than this? i recon mafuta house has 27 stories! am I right? the building looks old fashionned, Exim tower although not that tall but better!

i thought mafuta was 22 storeys, the taller towers in dar now though not complete are pspf ,NEAR ppf Tower in ohio streetand and umoja wa vijana 24 storeys, this one( uhuru heights) which is 27 floors and the other 27 floors tower LAPF millenium tower II will replace it soon after finished and it will not last longer too as RITA TOWER 30 FLOORS AND PSPF COMMECIAL TOWERS are under construction

check this
Tanzania|DSM|PSPF Commercial Towers|35+35|U/C
DSC03096.jpg

Photo0168.jpg

Photo0169.jpg

source http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?p=77692831#post77692831

Tanzania|DSM|RITA TOWER|30 Storey|U/C

rita01.jpg

AND WILL BE RIGHT IN THE CBD NEAR CLUB BILCANAS
DSC00214.jpg

SOURCE http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?p=76316533#post76316533
 
majengo haya yata pendezesha miji yetu na pia yata leta ajira mm nipo dubai naona jengo moja lina ajiri watu zaidi ya 50 lakini je miundo mbinu tunayo hasa umeme na maji jengo kama hili lina taka umeme na maji kwa masaa 24 je kwa mchi yetu ita wezekana?
 
Wanakimbilia kujenga tu maghorofa bila ya kuwa na uhakika wa sehem ya parking, kazi tunayo bongo yetu kwa kweli

Back
Top Bottom