Coming soon: The tallest building in Tanzania?

i thought mafuta was 22 storeys, the taller towers in dar now though not complete are pspf ,NEAR ppf Tower in ohio streetand and umoja wa vijana 24 storeys, this one( uhuru heights) which is 27 floors and the other 27 floors tower LAPF millenium tower II will replace it soon after finished and it will not last longer too as RITA TOWER 30 FLOORS AND PSPF COMMECIAL TOWERS are under construction

check this
Tanzania|DSM|PSPF Commercial Towers|35+35|U/C
DSC03096.jpg

Photo0168.jpg

Photo0169.jpg

source http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?p=77692831#post77692831

Tanzania|DSM|RITA TOWER|30 Storey|U/C

rita01.jpg

AND WILL BE RIGHT IN THE CBD NEAR CLUB BILCANAS
DSC00214.jpg

SOURCE Tanzania|DSM|RITA TOWER|30 Storey|U/C - SkyscraperCity

kama vipi wadau msisahau kututembelea pia maeneo haya hapa ambyo utapata uhondo kibao kuhusu bongo na kila kitu kinachoendelea katika miradi mbalimbali ya kiuchumi,Dar es Salaam and Zanzibar | Tanzania | City Gallery - Page 58 - SkyscraperCity
 
jengo lililo pembenimwa uhuru heights ambalo bado halijakamilika linajulikana kwa jina la VIVA TOWER
 
Baada ya lile tetemeko la ardhi hivi karibuni dar, I was asking myself again and again!!! Do we design high rising buildings with some safety factor on tremors??? Japan, Iran and some other countries, prone to frequently tremors, do design against those natural forces!!!
 
I hope yatakapokuwa yamekamilika na umeme wa uhakika utakuwa umepatikana, maana huyo wa ghorofa ya 30 atafikaje huko au pia wakaazi watalazimika kuota mbawa!
 
...vikwangua anga Dar vinaongezeka, na tatizo la parking, congestions na sewarage & drainage systems.
Wangeuwacha huu mji wa Mzizima ubakie wa kihistoria na kuanzisha mji mpya Kilwa Road, au Bagamoyo Road.

Hata huo mji mpya wa Kigamboni utatuletea shida tu. Kivuko tabu, hata wakijenga daraja...yale yale!...foleni zinaanzia
Tegeta, mbagala, kimara etc kuja city centre!....
 
Baada ya lile tetemeko la ardhi hivi karibuni dar, I was asking myself again and again!!! Do we design high rising buildings with some safety factor on tremors??? Japan, Iran and some other countries, prone to frequently tremors, do design against those natural forces!!!

Kuna jamaa yangu anafanya kazi jengo la Amani Place (Ohio road opp.Movenpick) told me... hamna mtu alisikia/hisi tetemeko kabisa na hamna mtu alikimbia nje! walipigiwa simu watoke as precaution lakini wakauliza watoke sab gani?...
 
Kama ni hivi Dar inaanza kuiacha Nairobi kwa mbali sana. Issue kubwa sasa hapa ni kuweka miundo mbinu ya kutosha ie Barabara, Sewage system/drainage. Siyo mvua ikinyesha mtu ashindwe kutoka kwenye hizo towers. real kuna haya ya kuhakikisha hivi vyote vinaenda sambamba. ili tuondokane na imegence issues za kila siku..isije kuaombiwa maji hayatoshi, umeme tunatakiwa kuongeza line ya ziada kutokana na ungezeko la majengo etc. lets plan ahead...
 
Hapo kwenye RED unaota, fanya utafiti kwanza.
 
Maintenance, maintenance, maintanance! Tutaweza? Umeme ukikatika na wale walio orofa ya hamsini na saba watafanyaje?

Na miundo mbinu kama maji machafu/maji taka kumewekwa utaratibu mzuri wa kuhakikisha hatutengenezi ziwa la MAJI TAKA eneo hilo??Kama mvua inanyesha na mitaro inafurika mbele ya Tambaza Sec (less than 1000 mtrs toka baharini) hili jengo litaepukaje kuwa chanzo cha mafuriko ya vinyesi na uchafu mwingineo katika jiji letu la uchafu uliokithiri na miundombinu ya kubabaisha???
 
Shedafa,

Ni kweli kuwa Nairobi itaachwa na Dar in the next 3-4 years pindi miradi hii itakapokamilika..

Ukitaka kuona miradi yote ya ujenzi ya Dar inayoendelea kwa undani zaidi tembelea hapa:

Projects and Construction - SkyscraperCity
Mkuu issue ni kwamba je hii itasaidia au itakuwa wanajenga majengo ambayo yatakuja kuwa ghosts na hakuna watu wa kuyajaza.., hata miji kama Newyork na Dubai its more than buildings ni biashara za kutosha na infrastructure za nguvu..., We might end up na majengo ambayo wapangaji wake ni buibui na vumbi....

Mfano hizo malls za nguvu...?, Je purchasing power ya wananchi inatosha kuafford hizo bidhaa ambazo zitakuwa juu zaidi kutokana na high cost ambayo itachangiwa na high overheads za rent..., au itakuwa na window shopping na fahari ya macho
 
VOR,
Nadhani wajengaji/wamiliki wa hayo majengo wameshaona mbali, miaka ijayo Dar itayahitaji hayo na mengine zaidi... Makampuni ya kigeni kwenye sekta za madini, gesi, mafuta etc yanazidi kuongezeka kila kukicha kama hakuna nyumba na maofisi yenye hadhi then wataweka ofisi zao na kuishi Nairobi na kuja bongo moja kwa moja migodini....
 
Guys out there,
ninayo Business nahitaji msaada au sponsor of what am about to do naye atajitangaza through this Business na nimempata nimepeleka Proposal na sasa wanahitaji a working proposal haraka in two days.
please! nisaidieni kupata expert inputs zote ninazo. Nahitaji kwa bei ya undugu ila haraka sana.
please call: 0658 489 800
tonnyk64@yahoo.com
 
Back
Top Bottom