Coming soon: The tallest building in Tanzania?

Model lobby ya Uhuru Heights imepambwa wazungu!
 
Last edited by a moderator:
Hili jengo should be stopped! Hatujatatua tatizo la infrastructure katikati ya mji na bado tunaongezea matatizo! Hili jengo ni msumari mwingine katika jeneza la mji niliokuwa naupenda!

Amandla.......
 
Maintenance, maintenance, maintanance! Tutaweza? Umeme ukikatika na wale walio orofa ya hamsini na saba watafanyaje?

Mkuuu,maintenance is such a later stage in the project managent life cycle.I don't suppose a proper system analyst would consider Tanesco in the first place for the tower's power provider at the Design stage.
**Probably it will be powered by its own stand-on Generators.
Jasusi usisahau hapa Tz.hatuna msamiati 'TUNZA'/maintenance,bali tuna 'jenga' halafu 'tunakarabati'.
 
Jasusi, sio rahisi kufikiria kuwa na jengo kubwa kiasi kile bila Plan B kuhusiana na mahitaji ya 'energy' katika jengo. Hilo halinipi shida. Ila Mkuu amepata wapi huu uhakika kwamba jengo kubwa tena maeneo anayotaja( Royal Palm Hotel? hii iko wapi au ni ile sasa Mauverpick? au ni lile jengo lililoanza maeneo ya RED CROSS, ambalo linajengwa na Estim?)

Kwa taarifa nilizo nazo kuhusiana na mipango ya ujenzi hili halimo. Kama lipo basi nitaamini JF ni bomba kweli.

Ila kwa wenzangu mlioko nje ni vyema mkajue kuna mipango kabambe (master plan) za kufufua central areas za Dar na kujenga miji mipya kuzunguka jiji. Tayari huko Uluguru/Kibamba mambo yanapamba moto, na tunategemea Kigamboni. Ule mpango wa redevelop Upanga wa miaka ya 50 umerudi kwa namna nyingine na tutegemee kama ni magorofa yatakuwa Upanga
 
Nitafurahi sana hilo jengo likiiisha hata kama kuna watu wengi ambao wanalipinga. liwe la weusi au weupe, wanjano au wekundu, alimradi tulijengwe. kama litaonekana ni la kifisadi si itakuja ijulikane na watakuwa walikuwa wanatujengea? hili si lile jeno linalojengwa opposite na lile jengo lililoandikwa raha.com pale kona unapoenda posta mpay, au ni lile lililoanza mda mrefu kujengwa opposite na royal palm upande mwingine na upande wa pili opposite na citi bank ya marekani? au sio yale jamani. nawapongezeni. jengo ni zuri ajabu. tunataka majengo mengi ya aina ile. hata yakijazana alfu kumi posta si tatizo. kama wewe unafikiri umeme lazima watoe tanesco, kuna siku utakuta hao tanesco wanahaha kutafuta wateja. maji vilevile, yatafika tu. tusiwadiscourage kiasi hicho. period.
 
Ubungo Ubungo,Jengo hili katika picha laonekana ni kubwa kweli kweli lakini eneo linalojengwa ni padogo sana ni pale kati ya lile jengo lenye ofisi za Air India pia zamani palikuwa Noble Pharmacy na UNICEF, Eneo hili kulikuwa na Ofisi za Kibo Breweries na taasisi fulani ya mambo ya UKIMWI.
 
Litakuwa na urefu gani?

Kuna mahali nilisoma mwaka jana kuhusu hilo Uhuru Heights. Kwamba ni jengo refu zaidi kuliko yote nchini.

Walionyesha kama vile litakuwa na ghorofa 25; not that different from BWM Pension Towers ambao wao wana kama ghorofa 22/23.

Hilo jengo(litakalojengwa) liko barabarani tu, kama alivyosema Invisible, pale karibu na mataa ya makutano ya barabara ya Ohio na Ali Hassan Mwinyi
 
Hivi financers wa hizi project hawajui kuna recession?? au wanasafisha hela chafu tuu?? lets see kama watajaza hizo gorofa..bwm tower yenyewe haijajaaaa!! au haya ndo mabaki ya hela za twin towers??
 
This is good but i hope sio scheme ya CCM kuchota fedha za uchaguzi 2010 au 2015 kwa kuinflate bei za ujenzi
 
At 26 to 27 floors it will indeed be the tallest building in Dar and Tanzania. However the supporting infrastructure for such a massive building may not be there. These include parking space for vehicles; electricity; water etc. Imagine a power failure and you have to climb to the 27th floor in the humid, hot Dar weather - hii itakuwa sawa na kutembea kwa miguu toka Dar city Centre to Kibaha!
 
Dhana yangu majengo marefu si Maendeleo. Na hali hiyo ya kuzima MOTO kwa VIVUU mbona tunajiongezea msiba???
 
Back
Top Bottom