Coming soon: The tallest building in Tanzania?

Contractor yupo site tayari!

Wasiliana nao, nadhani ni Estim Construction.

Kwa upande wa juu linaonekana hivi:

THE credibility of a team appointed by the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) to probe a controversial real estate project being developed by the ruling party’s youth wing (VIJANA) in joint venture with a group of local private investors has emerged as a central question following the inclusion of former Cabinet minister Andrew Change in the panel.

Several political commentators have reacted strongly to the appointment of the ex-infrastructure development minister in the probe team, saying he lacks credibility after himself being forced to resign from Cabinet over a corruption scandal.

Chenge, who also chairs the CCM ethics committee, was this week appointed by the ruling party along with two other central committee members -- Dr Abdallah Kigoda and Pindi Chana -- to review the dubious real estate deal between VIJANA and private developers comprising Estim Construction Limited and MMI Steel Mills companies owned by the Patel family business franchise.
 
Vitega uchumi vya wakubwa hivi!!!! Hivi pale kuhusu kuingia na gari itakuwaje?? Au itabidi tuzunguke kule nyuma ya BP? Masuala ya miundombinu nayo imekaa vibaya. Poor planning since 1947!!!!
 
Vitega uchumi vya wakubwa hivi!!!! Hivi pale kuhusu kuingia na gari itakuwaje?? Au itabidi tuzunguke kule nyuma ya BP? Masuala ya miundombinu nayo imekaa vibaya. Poor planning since 1947!!!!
Kujenga majumba/maghorofa ni sawa kwa upande mwingine lakini miundombinu inasahaulika katika mipango miji yetu;hapa na maanisha drainage system,parking za uhakika,barabara za kuingia na kutoka katika mahali husika.Na hii ukitaka kuona madhara yake hasa kwa jiji la Dar...acha mvua inyeshe kidogo tu,yaani maji yanavyojaa mitaani/barabarani/kwenye majengo mpaka inakuwa kero kwa watumiaji/wakazi jiji.
Lakini wapi!Majengo yanasimama kama uyoga bila hata mpangilio huo nilioainisha hapa ndani.
 
..still PPF tower opposite na ATC ni jengo zuri kuliko yote Tanzania...soon nitakuja kujenga langu kali kuliko yote Africa!
 
Hili jengo should be stopped! Hatujatatua tatizo la infrastructure katikati ya mji na bado tunaongezea matatizo! Hili jengo ni msumari mwingine katika jeneza la mji niliokuwa naupenda!

Amandla.......

Ndugu yangu kwa Tanzania ni jenga kwanza maboresho na mambo mengine baadaye.
 
Jengo hilo la Uhuru Towers linalojengwa zilipokuwa ofisi za PSI Tanzania ni mali ya Cosmos Group wapakistani wanaomiliki Nida textiles ltd. Litakuwa na ghorofa 25. Tanzania Ports Authority wanataka kujenga ghorofa 30 pale karibu na Mapato House ilipo sheli ya mafuta, almost opposite makao makuu ya TRA.
 
Wana JF tetesi nazisikia kuwa lile jengo linalojengwa pale ilipokuwa Red Cross ni la YM, hili ni la kweli? Pili hiyo uhuru tower ni ile inayojengwa pembeni ya makao makuu ya polisi yaani ubavuni mwa ofisi za posta mpya?
 
Externally, the building is so 1950s and reminiscent of postwar era. Short of words, it's externally ugly.
 
Wana JF tetesi nazisikia kuwa lile jengo linalojengwa pale ilipokuwa Red Cross ni la YM, hili ni la kweli? Pili hiyo uhuru tower ni ile inayojengwa pembeni ya makao makuu ya polisi yaani ubavuni mwa ofisi za posta mpya?

YM?

namjua mwenye lile jengo na jina lake si YM ..try again
 
At least huyu ame invest Bongo, siyo wale wengine wanaokwapua raslimali zetu halafu wanapeleka nje na kutuachia mashimo.
 
Wana JF tetesi nazisikia kuwa lile jengo linalojengwa pale ilipokuwa Red Cross ni la YM, hili ni la kweli? Pili hiyo uhuru tower ni ile inayojengwa pembeni ya makao makuu ya polisi yaani ubavuni mwa ofisi za posta mpya?

Uhuru liko pale pale BP ya "Sheraton" nadhani, upande wa kushoto litakuwa Uhuru, upande wa kulia jengo jingine.
 
tatizo la Tanzania, watu wana speed ya 120km/hr wakati serekali ndio ina 30km/hr, ukiangalia watu walivyo na kac ya kujenga, lakini serikali hata habari ya kuandaa miundo mbinu hakuna,
tumeona Sinza ilivyoharibika, sasa mbezi beach hakufai,
sasa majego kama hayo , hakuna maji ya uhakika, umeme wa uhakika, sewage ya uhakika hakuna huduma ya zima moto ya uhakika lakini serikali hata habari hawana
ni kaaaazi kwelikweli
 
Whither the outrage, does this beast even attempt a bribe with bling?

Some introvert patron saints of classicist architecture would risk abuse of power and unconstitutional behavior in a round of disgust in deeming behemoths like this as an unsuitable and unsympathetic monstrous carbuncle of modernists experiment.
 
at least huyu ame invest bongo, siyo wale wengine wanaokwapua raslimali zetu halafu wanapeleka nje na kutuachia mashimo.
unakumbuka zile billion zilizo liwa bank ya tanzania kwa ajili insurance ya majengo pacha ??? Billion 6 -- ndio zinajenga hili la viva tower ,,,,, na kiwanja cha nani ??? Red cross na unajua nani kiongozi wa juu wa red cross tanzania ??? Ni kinana??? Na unajua kama kinana ni director wa kampuni ilio tia ndani hizo hela za bima za bot ? Kampuni itajeni wenyewe na tafuteni ma - director wake wengine ni nani....hii case ndio maana takakuru waliifunika
 
tatizo la Tanzania, watu wana speed ya 120km/hr wakati serekali ndio ina 30km/hr, ukiangalia watu walivyo na kac ya kujenga, lakini serikali hata habari ya kuandaa miundo mbinu hakuna,
tumeona Sinza ilivyoharibika, sasa mbezi beach hakufai,
sasa majego kama hayo , hakuna maji ya uhakika, umeme wa uhakika, sewage ya uhakika hakuna huduma ya zima moto ya uhakika lakini serikali hata habari hawana
ni kaaaazi kwelikweli

Dalili kubwa ya RUSHWA na Nchi ISIYOKUSANYA KODI NI HIYO! Hamna tofauti na NIGERIA.
Watu wanankuwa nahela kupita GOVERNMENT na ndio kilichopo NIGERIA na ndicho kinacho endelea BONGO.
 
unakumbuka zile billion zilizo liwa bank ya tanzania kwa ajili insurance ya majengo pacha ??? Billion 6 -- ndio zinajenga hili la viva tower ,,,,, na kiwanja cha nani ??? Red cross na unajua nani kiongozi wa juu wa red cross tanzania ??? Ni kinana??? Na unajua kama kinana ni director wa kampuni ilio tia ndani hizo hela za bima za bot ? Kampuni itajeni wenyewe na tafuteni ma - director wake wengine ni nani....hii case ndio maana takakuru waliifunika
tuaijadili....data zipo.....takukuru walifunika kesi ya alexander forbes......ushahidi upo...anejua aweke
 
Kila jengo kubwa linalojengwa Dar au mikoani lazima utasikia kuna mkono wa viongozi ,tulisikia Arusha ,tumesikia kitega uchumi cha Umoja wa vijana wa CCM,na sasa Jumba la Sanaa ambalo Gadner na Kibonde wameliponda kwa kusema eti kuna sanaa gani pale zaidi ya pub,hawajui sanaa ni pamoja na lile jumba ambalo kwa kweli hutaliona sehemu yeyote hapa Tanzania,na wanaosikika ni timu ileile ya mafisadi
 
Hapa naona hata Invisible katu mix...nijuavyo mimi kuna majengo mawili makubwa yuanaondelea na ujenzi kwa muda huu na yote yanakaribiana....moja lipo pale palipokua PSI zamani( Population service international) waliokua wanajishughulisha na usambazaji wa salama condoms na vidonge vya water guards na vyandarua vya ngao ( pembeni ya Unicef) ambapo nijuavyo mimi ndio jengo la Uhuru heights linajengwa kwa kua hata uzio wake unaonyesha picha za jengo hilo..na hata zile information za ujenzi zinaonesha ivyo..kwa mantiki hiyo basi nitakua natofautiana na Invisible kua hapo mahali ni pako karibu na BP, anapopasema Invinsible ni pale ambapo kwa sasa kuna jengo lingine kubwa lenye ghorofa zaidi ya ishirini na lenyewe kwa jina linaitwa VIVA tower kama sijakosea( nisahihisheni kama sivyo) zamani palikua na ofisi za red cross...hapo ndipo pako karibu/pembeni na BP. So Uhuru heights linajengwa pale PSI- unicef pembeni na hili jingine ni hapo BP Pembeni.....lakini nasikitika kusikia jengo la ghorofa 25 kuitwa ndio jengo refu Tanzania mmhh!!..

nafikiri umesahihisha vizuri hata mimi Invisible alinichanganya kidogo
 
Back
Top Bottom