Coco watu wanafanya mapenzi kama kuku

Kudadadeki...!!! sitakaa kupasahau Ndege Beach kule Mbweni,
Nilichapwa bakora na wanajeshi,eti kisa tunaogelea usiku baharini.
 
Hao wanakua ni wale wauza sukari maana ktk hali ya kawaida huwezi enda na mkeo/mmeo mkafanya ufirauni wa namna hiyo.
 
Muda fulani nilikuwa nikijivinjari kijibaridi hapa Coco huku natembea huku na kule kila baada ya hatua mbili watu wamebebana, wengine wako mchangani yaani ni shaghala baghala
Aisee kuwe na sheria ya kufanya mambo ya faragha public this is too much
hivi kumbeba mpenzio beach ni kosa? and wengine wanaenda beach kuenjoy ule mchanga, by the way asili ya beach kuna mchanga wa kutosha tu so unategemea uende beach usimame juu ya mawe?
 
Muda fulani nilikuwa nikijivinjari kijibaridi hapa Coco huku natembea huku na kule kila baada ya hatua mbili watu wamebebana, wengine wako mchangani yaani ni shaghala baghala
Aisee kuwe na sheria ya kufanya mambo ya faragha public this is too much

Usikimbie majibu lakini. Subiri kidogo.
 
wanapunguza stress za maisha, cheki vizuri utakuat vingi ni videnti
 
mbona mie sijawahi kuwaona??
Na ile mihogo ya baharini na mishkaki ya ulinzi nagonga tu?
 
Muda fulani nilikuwa nikijivinjari kijibaridi hapa Coco huku natembea huku na kule kila baada ya hatua mbili watu wamebebana, wengine wako mchangani yaani ni shaghala baghala
Aisee kuwe na sheria ya kufanya mambo ya faragha public this is too much

siunajua mkisha karibiana na akili zenu wote mkazielekeza kwenye hayo mambo mnasahau mahali mlipo?lakini si support huo ubaradhuli mkuu.
 
Back
Top Bottom