Coco watu wanafanya mapenzi kama kuku

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Muda fulani nilikuwa nikijivinjari kijibaridi hapa Coco huku natembea huku na kule kila baada ya hatua mbili watu wamebebana, wengine wako mchangani yaani ni shaghala baghala
Aisee kuwe na sheria ya kufanya mambo ya faragha public this is too much
 
Waache wajivinjari kwani gesti karibia zote bongo zimejaa kunguni. Kuna mtu aliniambia kufanya mapenzi mchangani kuna utamu wake, sijui lakini huyu ni mtu ambaye ana uzoefu kufanya mapenzi mchangani.
 
We ulifata nini huko?Au bcoz demu wako hakuja huko coco?
 
kwanza coco kumetapakaa vinyesi, hivi hao watu wanajigalagalaza vipi mimi naona watakuwa walevi hao
 
Waache wajivinjari kwani gesti karibia zote bongo zimejaa kunguni. Kuna mtu aliniambia kufanya mapenzi mchangani kuna utamu wake, sijui lakini huyu ni mtu ambaye ana uzoefu kufanya mapenzi mchangani.

Guest mnazoenda hizo njoo hapa giraffe hamna kunguni wala papasi
 
sijawahi kupapenda, kupasifia wala kupapa heshima, coco beach what in hell mwenyewe nimeshashuhudia watu wanapiga mpegv hivi hivi na jua inawaka yani kaa laana au sodoma fulani hiv,,, nashangaa ati bichi inayosimamiwa na serikali blaaa blaa
 
Guest mnazoenda hizo njoo hapa giraffe hamna kunguni wala papasi

giraffe pazuri sna ila wahudumu madalali sana kuna biashara haramu pale ila meneja hajajua coz nilikaapale wk nikagundua kuuliza walinzi wakanipa full data.ila pako poa sana tatzo wahudumu mapokez madalali wa vyumba ukiwa na demu.
 
Back
Top Bottom