The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Sijui kwanini huwa nahisi iko siku they will get back together
She needs to go back to CB as recommended by her parents (recently) , but IMO it is too late.
Sijui kwanini huwa nahisi iko siku they will get back together
She needs to go back to CB as recommended by her parents (recently) , but IMO it is too late.
Yah!! Hawa jamaa wanajitahidi sanakama upo home pia pendelea kusikiliza 102.6 fm
Yah!! Hawa jamaa wanajitahidi sana
club nyingi nazoingia ngoma zinzochezwa sizikubali sana...naona siku hizi mziki umepungua ubora..lemme know
Hizi najua zitawakumbusha mbali kidogo
Horace Brown - Things We Do For Love - YouTube
You Should Be Mine (Don't Waste Your Time) - YouTube
Dah!!! Riwa hii siijui ngoja nifanye mpango nije niitembelee, halafu leo Ijumaa eheeClub Joevic Kawe beach...every friday night!
Nafikiri jamaa alitoa album mbili tu halafu ndio ikawa kwishney ila sasa hivi atakuwa mtu mzima sanaHivi Horace Brown aliishia wapi? Maana baada ya 'Things we do for love' ndio sikumsikia tena..
Hawa ni Clouds............jaribuni hata 105.9 kwa bolingobolingo za kale
102.6 sio clouds hawa, kwa wale wenye ving'amuzi vya startimes na wengineo wanaopata channel ya BET, kila jumamosi kunakuwa na old skul Rap & RnB karibia siku nzima
Dah!!! Riwa hii siijui ngoja nifanye mpango nije niitembelee, halafu leo Ijumaa ehee
Natoka nje ya mada kidogo.
Huu wimbo wa RiRi ni bomba sana, lakini video yake ni Mhhhh! Sijui huyu binti anaelekea wapi. Asipowahiwa na mapema kabla hali haijawa mbaya sana basi anaweza kuharibikiwa kabisa.