Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics
𝐓𝐀𝐅𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐏𝐎
Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza



Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki
ᴍʙᴏɢɪ = ᴋᴜɴᴅɪ, ᴍꜰᴀɴᴏ ᴡᴀɴᴀᴏᴢᴜɴɢᴜᴍᴢɪᴡᴀ ʜᴜᴍᴜ

Wakiona OG amejam, zogo!
ᴡᴀᴍᴇᴀᴏɴᴀ ɴᴀᴡᴀᴘᴀ ᴍᴀᴋᴀᴠᴜ, ᴡᴀᴍᴇᴀɴᴢᴀ ᴋᴇʟᴇʟᴇ

Big rappers na mbona mnaplans ndogo?
Na sitafuti kiki, buda Omollo brand global
ꜱɪᴛᴀᴋɪ ᴋɪᴋɪ, ʙʀᴀɴᴅ ʏᴀɴɢᴜ ᴋᴜʙᴡᴀ

Somebody had to tell this guys that wanaburn photo
ɪᴍᴇʙɪᴅɪ ɴɪᴡᴀᴀᴍꜱʜᴇ ɢᴀᴍᴇ ɪᴍᴇᴘᴏᴛᴇᴢᴀ ʟᴀᴅʜᴀ ʏᴀᴋᴇ

Kusema ukweli Bongo rap imenilea
But mnalegea
Na ndo kwa maana nawa dare
ᴅᴀʀᴇ = ᴋᴜᴍᴊᴀʀɪʙᴜ ᴍᴛᴜ ʜᴀꜱᴀ ᴜʟɪᴇᴍꜱʜɪɴᴅᴡᴀ ʜᴀᴘᴏ ᴢᴀᴍᴀɴɪ

Na sijakosea
But some of your people need a prayer
ᴋɪᴜᴋᴡᴇʟɪ ᴍɴᴀʜɪᴛᴀᴊɪ ᴍᴀᴏᴍʙɪ ᴋᴜᴏᴋᴏᴀ ɢᴀᴍᴇ

Bongo rap aint been the same
ʙᴏɴɢᴏ ʀᴀᴘ ɪᴍᴇᴘᴏᴛᴇᴢᴀ ᴍᴠᴜᴛᴏ, ꜱɪᴏ ᴋᴀᴍᴀ ᴢᴀᴍᴀɴɪ

Ever since mmpoteze Ngwair
And heavy weights hamtoi ngoma ka kitambo
Oh now you know some of you said that Roma alinihumble
ʙᴀᴀᴅʜɪ ʏᴇɴᴜ ᴍʟɪᴡᴀʜɪ ᴋᴜꜱᴇᴍᴀ ʀᴏᴍᴀ ᴀʟɪɴɪᴢɪᴅɪ ᴜᴡᴇᴢᴏ

Na sitabishana coz padre alinifungulia mlango
Then he disappeared siku hizi hatujui zake pango
ɪʟᴀ ɴᴀᴇ ᴋᴀᴘᴏᴛᴇᴀ ᴋᴡᴇɴʏᴇ ɢᴀᴍᴇ

Young Killer, ameingiza missing ever since afunge ndoa
ɴᴀᴇ ʏᴏᴜɴɢ ᴋɪʟʟᴇʀ ᴋᴀᴘᴏᴀ ᴛᴀɴɢᴜ ᴀꜰᴜɴɢᴇ ɴᴅᴏᴀ

Kuna time niliamini Bongo hiphop angeiokoa
Sina ubaya brother, na sikatai unafanya poa
But mi si shabiki wa hizo ngoma mpya unatoa
Taking over TZ aint nothing easier
ᴋᴜɪᴋᴀᴍᴀᴛᴀ ᴛᴢ ꜱɪᴏ ʀᴀʜɪꜱɪ

Wakazi anafaa apewe kazi Wasafi media
Brother ni blogger, kubonga tu kwa mtandao
Marekani hawakutaki na TZ wamekudharau
Hiphop ya TZ sai ni kama kuseti bubu kwaya
Mmekimya wote mnafaa mkongotwe na Dudu Baya
Mnashinda Insta mkipiga picha na luku mbaya
Dream inaburn Nairobi ju najua huku Ulaya
Nakujia kura juu hapa ni raw schemes
Chali mkikunja sura, you rappers are not memes
Mnapiga rumours mashtaka with
Sai labda mniletee nura haraka au Joslin
Nimekuwa kwa simu na Hascana tangu ngware
Kaniomba msamaha nisikujibu but nakuchallenge
Rosa Ree you are my girl but usidhani mi nitakusare
ʀᴏꜱᴀ ʀᴇᴇ ɴᴀᴋᴜᴋᴜʙᴀʟɪ ɪʟᴀ ᴜꜱɪᴅʜᴀɴɪ ɴᴀᴋᴜɢᴡᴀʏᴀ

Talent mnayo but ndo msikike mtafute Babu Tale
Coz you aint have a hit since utokwe na Navy Kenzo
ʜᴜɴᴀ ʜɪᴛ ᴛᴀɴɢᴜ ᴍᴜᴀᴄʜᴀɴᴇ ɴᴀ ɴᴀᴠʏ ᴋᴇɴᴢᴏ

Kakupa verse bure na ni sababu we ni mrembo
But as far as rap goes hauwezi kuwa solo writer
ᴋɪᴜʜᴀʟɪꜱɪᴀ ʜᴜᴡᴇᴢɪ ᴋᴜᴊɪᴀɴᴅɪᴋɪᴀ

Unaeza saidiwa kuandika na my nigga Cholo Brighter
Na nimewafanya favour kuwapatia platform
ɴɪᴍᴇᴋᴜᴘᴀ ᴘʀᴏᴍᴏ ᴋᴜʙᴡᴀ ᴋᴡᴀ ᴋᴜᴋᴜᴛᴀᴊᴀ ᴛᴜ

Coz Billnass of late has been doing the worse songs
ɴᴀᴇ ʙɪʟɴᴀꜱ ᴋᴡᴀ ꜱᴀꜱᴀ ᴀɴᴀꜰᴀɴʏᴀ ɴɢᴏᴍᴀ ᴍʙᴏᴠᴜ

Rudi rap bro, nishakutuma booth
Gnako siku hizi anadunga pamba za Juma Jux
Safari ni mbio, na ni hatari au sio
Omollo akifika nduru kila mahali kilio
We jihadhari mwenzio usipate ajali sindio
Hata mbogi ya Mwanza inajua habari ndio hio
Nikki my G, mbona ma subliminal diss
ɴɪᴋᴋɪ ᴍʙɪꜱʜɪ ʙʀᴏ ᴠɪᴘɪ, ꜱɪᴋᴜʜɪᴢɪ ᴋɪʟᴀ ᴍᴜᴅᴀ ᴋᴜᴅɪꜱꜱ

Toka mwanzo nimekuwa shabiki wa your lyrical gift
ʟʏʀɪᴄᴀʟ ɢɪꜰᴛ = ᴋɪᴘᴀᴊɪ ᴄʜᴀ ᴋᴜᴀɴᴅɪᴋᴀ ᴍᴀꜱᴀʜɪʀɪ

Pay homage kila wakati but kwanini uko pissed
ɴᴀᴋᴜʜᴇꜱʜɪᴍᴜ ɪʟᴀ ᴛᴀᴛɪᴢᴏ ᴜᴍᴇᴋᴜᴡᴀ ᴍᴛᴜ ᴡᴀ ʜᴀꜱɪʀᴀ (ᴋᴜᴅɪꜱꜱ)

I think Ill call him after this song
ɴᴛᴀᴍᴘɪɢɪᴀ ꜱɪᴍᴜ ɴɪᴋɪᴍᴀʟɪᴢᴀ ʜɪɪ ɴɢᴏᴍᴀ

But siko sure ka atapick
ɪʟᴀ ꜱɪᴊᴜɪ ᴋᴀᴍᴀ ᴀᴛᴀᴘᴏᴋᴇᴀ

Your skill level is unmatched but punguza kiburi
ᴜɴᴀ ᴋɪᴘᴀᴊɪ ᴋɪᴋᴜʙᴡᴀ ɪʟᴀ ᴘᴜɴɢᴜᴢᴀ ᴋɪʙᴜʀɪ

You will be a big star ukijua kuzungumza vizuri
ᴜᴛᴀꜰɪᴋᴀ ᴍʙᴀʟɪ ꜱᴀɴᴀ ᴜᴋɪᴊᴜᴀ ᴋᴜᴏɴɢᴇᴀ ᴠɪᴢᴜʀɪ

Na wewe Nay kuja gym nikufunze kuunda misuli
Bongo hiphop nishakatinga tumefunga kufuli
We Wizzy na Conboi ndo generation mnadefend
ᴡɪᴢᴢʏ ɴᴀ ᴄᴏɴʙᴏɪ ɴᴅɪᴏ ᴍʟɪᴏʙᴀᴋɪ ᴋᴜʟɪɴᴅᴀ ᴋɪᴢᴀᴢɪ

Kuna rapper anaitwa Mex
And I know you guys are not friends
ɴᴀᴊᴜᴀ ʜᴀᴍɴᴀ ᴜʀᴀꜰɪᴋɪ

But if you did a song together
ʟᴀᴋɪɴɪ ᴍᴋɪꜰᴀɴʏᴀ ᴋᴀᴢɪ ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ

Mehn that shit is gonna blend
ᴅᴀʜ! ɪᴛᴀᴋᴜᴡᴀ ɴɪ ᴜɴʏᴀᴍᴀ ꜱᴀɴᴀ

Yoh guys are comfortable, rappers too happy
ɪʟᴀ ɴʏɪɴʏɪ ᴍᴍᴇʀɪᴅʜɪᴋᴀ ꜱᴀɴᴀ, ᴍᴀʀᴀᴘᴘᴇʀ ᴍɴᴀꜰᴜʀᴀʜɪᴀ

Mi nina hasira sitaki rafiki na sitaki kuparty
Stamina you are my G, but ambia watu ukweli
ꜱᴛᴀᴍɪɴᴀ ɴᴀᴋᴜᴋᴜʙᴀʟɪ ꜱᴀɴᴀ, ɪʟᴀ ꜱᴇᴍᴀ ᴜᴋᴡᴇʟɪ

Ni wapi ulitoa ile idea ya kaka tuchati ?
Ulinifanya mbaya bro lakini sikuteta
Bet ukuwe ndani inaeza kuwa issue later
And is not, mi nataka tu unipatie props
ᴘʀᴏᴘꜱ = ᴋᴜᴍᴘᴀ ʜᴇꜱʜɪᴍᴀ / ᴄʀᴇᴅɪᴛ ᴍᴍɪʟɪᴋɪ ᴡᴀ ᴋɪᴛᴜ

Hapo kwa credit andika Omollo alitusupport
But haijalishi hata ka props sipati
Hii kitu inaitwa rap si ni toxic aki
Industry imejaa na rot si safi
ɢᴀᴍᴇ ɪᴍᴇᴊᴀᴀ ᴜᴏᴢᴏ ᴋᴜᴢᴜɴɢᴜᴋᴀɴᴀ ᴋᴀᴡᴀɪᴅᴀ

Wish turudi siku Ngwair alidrop mikasi
RIP to Langa, Godzilla the boss
And trust me, wananice kuona OG akicross mitaa
ᴀᴍɪɴɪ ᴡᴀɴᴀɴɪᴘᴀ ʜᴇꜱʜɪᴍᴀ ᴡᴀᴋɪᴏɴᴀ ɴᴀᴋᴀᴛɪᴢᴀ ᴍɪᴛᴀᴀ

Street zinasema salute and they wount desert me
ᴍɪᴛᴀᴀ ɪɴᴀɴɪᴘᴀ ꜱᴀʟᴜᴛɪ ɴᴀ ʜᴀɪᴛᴏɴɪᴋᴀᴄʜᴀ

TZ nauliza mlimpeleka Gosby wapi?
Mlimlenga ju hampendi kimombo kwa mziki
Rap ya kingereza hamtaki ju si Bongo sahihi
Wasanii mnapea hype ni wa uongo na kiki
ᴡᴀꜱᴀɴɪɪ ᴍɴᴀᴏᴡᴀᴘᴇɴᴅᴀ ᴡᴀᴍᴇᴊᴀᴀ ᴋɪᴋɪ ɴᴀ ᴜꜰᴇᴋɪ

Natemea vipi mkinyima mtoto matiti?
Mkiniletea beef ni vizuri muonywe jinsi iliwi
Hakuna country Africa ile mi si shikiliwi
Au ni nchi sifiwi
Last time Bongo rap was popping tulikuwa tunaskiza Binti kiziwi
Madonga mtu kazi anafanya kazi kuwazidi
Nawaingiza maji na nikaa hio maji ni baridi
Mkipanda ngazi mnafikiria ardhi ni hadithi
Usichezee kipaji hii kitu huwa haitaki wasaliti
Hakuna S bila O, L bila O
Mwingine anaeza bang ka Omollo
Shupavu, amekuja kuwapa mchoro
Wacha katambe, wamelala wape godoro
Diamond anafaa awasign ndo mrudi juu tena
Alafu awaweke nyote kwa remix ya Zuena
Atleast iwapatie ka psych tu vile nyi hutema
Ndo muweze kucatch up na vile si hudu Kenya
Fid Q that's my idol rapper siwezi mbrander
ꜰɪᴅ Q ɴɪ ᴋᴀᴍᴀ ᴍᴡᴀʟɪᴍᴜ ᴡᴀɴɢᴜ, ꜱɪᴡᴇᴢɪ ꜱᴇᴍᴀ ᴄʜᴏʜᴏᴛᴇ

And on my top five you can take any number
5 bora ya rappers naowakubali, chukua namba yoyote

heri ningeumbwa nyoka ningevua magamba
Forever nisingekufa, hiphop ingezidi tamba

Ole, ole, ole ole
Ole, oleee..
Ole, ole, ole ole
Ole, oleee..
 
Sisi tumetia aibu Hadi mwaijaku nae majibu...aibu zingine hizi...
Alitakiwa kujibiwa na "Rappers only"
Sio wabana pua
Nchi nzima inamzungumzis yeye, kwa hilo kafaulu sana. Wasanii wetu waamke.

Inashsngaza kwenye ulimwengu huu kwa kidigitali, kuna wasanii bado wanategemea mainstream media zisukume kazi zao.

Khaligraph nyimbo zake wala hazipigwi radio zetu sana, ila YouTube ndio kaweka kazi zake zote
 
ukisikiliza Hiyo Ngoma ya OG, unagundua kuwa ni shabiki wa hip hop ya Bongo, maanake anaifuatili muda mrefu, ni kweli kabisa hapa Kati game ilipoza mno, nayeye kafanya kuwakumbusha tuu, lakini walivyorespond artist wetu duu ni hatari
 
ukisikiliza Hiyo Ngoma ya OG, unagundua kuwa ni shabiki wa hip hop ya Bongo, maanake anaifuatili muda mrefu, ni kweli kabisa hapa Kati game ilipoza mno, nayeye kafanya kuwakumbusha tuu, lakini walivyorespond artist wetu duu ni hatari
Wamepanic marapper wa kibongo,ila jamaa hata mistari inaonyesha anaifuatilia hiphop ya bongo,tena ya miaka ile ya kina Prof Jay,Solo Thang,Byser nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom