Chupi yako unaanika wapi.................?

mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria

Unaishi Tanzania hii! Imajini unachumba kimoja cha kuapanga na unafalia, usiku bed room, mchana sitting room, halafu hiyo nyumba inawapangaji 12, mnashare choo na bafu! Swali hii gumu!!
 
Hivi bado kuna wanaotumia kufuli za kufua na kuanika? mimi natumia disposable. Unavaa ukivuwa, imetoka hiyo.
 
kwa sisi tunaoishi magorofani naona haina haja ya kuwaambia tunaanika wapi,bila shaka mnazionaga mkipita chini!si ndio jamani?
 
kabisa mdau,na walimu wetu wa UPE
wacha kabisa na nyimbo zetu za hii ndio A aa aa a ina mkia mrefu aa a aa
hii ndiyo E ee ee e ee ipo kama ngata ee ee e e
hii ndiyo i i ii ii ina kofia juu ii ii i
hii ndiyo O oo o o o ipo kama yai o o o
hii ndiyo U u uu u u ipo kama kikombe u u u u
natamani kulia nikikumbuka maaraifa niliyonayo mimi kupitia walimu wangu wa UPE nikiangalia wanangu hawana hayo maarifa.ULINDI NA ULIMBOMBO watajulia wapi
watajulia wapi kilimo cha chai burma
au kuhifadhi nyama kwa kuweka chumvi nyingi au aina za mbolea zikiwemo mbuji na samadi!
 
Maisha ya watanzania si mwanaume wala mwanamke uongo uongo tu, hapo wachache sana watasema ukweli.
 
Maisha ya watanzania si mwanaume wala mwanamke uongo uongo tu, hapo wachache sana watasema ukweli.

mi ninavyojua....% kubwa ya watu wanaanika bafuni.....wengine nyuma ya mlango.....wengine chini ya kitanda........na wachache sana tena sana ndio nje.....tusizenguane hapa......
 
mi ninavyojua....% kubwa ya watu wanaanika bafuni.....wengine nyuma ya mlango.....wengine chini ya kitanda........na wachache sana tena sana ndio nje.....tusizenguane hapa......

ningekua kidume ningeomba nikuwowe
 
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria

Bafu hili la paspoti size nyumba ya vyumba kumi na mbili?????
Taa inatumia solar au???
 
na wanaume mnakuwaga na chupi nyingi hivi?kha.hii pata ona bado!

Snowhite! Yote ni mambo ya usafi mtu wangu,hakuna mahali wamesema wanaume kuweni wachafu au wamesema wanaume kuweni na chupi chache hata wanawake wapo wenye chache kila akiingia kuoga anafua!
 
mi kila nikiingia kuoga nafua lakini ninazo ka 40 hivi!so kufua chupi ukimaliza kuoga sio kuwa na chupi chache!weell hongera kwa kuwa na chupi nyingi af mwanaume!
Snowhite! Yote ni mambo ya usafi mtu wangu,hakuna mahali wamesema wanaume kuweni wachafu au wamesema wanaume kuweni na chupi chache hata wanawake wapo wenye chache kila akiingia kuoga anafua!
 
Snowhite, disposable ni zipi tena. Si ni lazima ziwe za mpira? Si utakuwa unanuka kila saa ukipita kwenye jua. Acha tu sisi tuvae hizi za vitambaa, tunaanika humuhumu kwenye kamba za home na dada zetu wananika zao hapohapo, cha ajabu ni nini, si kila mtu anavaa. Wewe endelea tu na hizo VIPI zako.
 
Kuna jirani yangu yeye ni uwa anaanika barazani duh huyo mama ni mbonge hayo machupi yake ni makubwa kama bukuta ya mchezaji ila kuna mtoto wake wa kike yeye uwa vichup vyake ni vya ukwel kisista du! Kila jumamosi wanaweza anika chupi 20.
 
Back
Top Bottom