Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
unajisifu kugoma. Upuuzi mtupu.Sis wa mwaka wa kwanza,watusubirie kugomea bod ya mikopo, mwaka huu kitaeleweka!
unajisifu kugoma. Upuuzi mtupu.Sis wa mwaka wa kwanza,watusubirie kugomea bod ya mikopo, mwaka huu kitaeleweka!
hivi unajua cutt off point zake? na admission capacity? Hawachukui wa2 600 pale kwa course ni 75, point ni 11. BTW waache utoto wasitake kuleta shortcut katika kusoma, fateni utaratibu husika.Tena hao police inabid wayacharaze virungu hadi yakome.maji2 mazima yanagomea ujinga..ndo maana hata yalifeligi hadi yakaenda kusoma huko yaliko.
ebu nenda sua au muhimbili ndo utajua ka unacho ongea ni cha kwel au lah.Hawa jamaa wanataka kufanye eye to eye presentation.
Iye umepta ona wapi?yani kama mgonjwa na Dr.
We watu wa planning wanahaja gan ya kufanya eye to eye presentation?ebu nenda sua au muhimbili ndo utajua ka unacho ongea ni cha kwel au lah.
Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomslizia disertation Zao baada ya kuelezwa kuwa wanafakiwa kupresent kwenye panel. Wanafunzi hao wanakwepa Hilo Kwa Maelezo kuwa utaratibu huo haumo kwenye prospectus ya Chuo Kwa kozi ya degree! Maendeleo mtaendelea kujulishwa
Kiukweli wamefanya mambo ya aibu,mimi napenda sana watu wagome kutetea haki zao pale haki inapopindishwa ila c kwa jambo hili.hawa jamaa waliwapg wenzao waliokubali juzi ku present.na wao wapgwaji hawakua tayari kutoa ushirikiano na police ili waliohusika wakamatwe.
Walichangishana hela 1000 kwa kila mwaka wa 3 ili watafte wakili wafungue kesi, na kama mahakama ingeridhia maombi yao,basi kwa mawazo yao walijua mahakama ingezuia hyo shughuli.
Lakini ilishndkana.

Tena hao police inabid wayacharaze virungu hadi yakome.maji2 mazima yanagomea ujinga..ndo maana hata yalifeligi hadi yakaenda kusoma huko yaliko.

Tena hao police inabid wayacharaze virungu hadi yakome.maji2 mazima yanagomea ujinga..ndo maana hata yalifeligi hadi yakaenda kusoma huko yaliko.

acha kuongea pumba wewe., una huakika kuwa walifeli, vyuo vipo vingi hapa tz, wewe ulitaka wasome wapi.

Tena hao police inabid wayacharaze virungu hadi yakome.maji2 mazima yanagomea ujinga..ndo maana hata yalifeligi hadi yakaenda kusoma huko yaliko.