Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Umri wako bado unaruhusu kutoka chunusi...

Ila angalia na aina ya ngozi yako ...maana kama una mafuta mengi inabidi uwe makini na sabuni za kuogea.
Mara nyingi sabuni nzuri ni za lemon(zilizotengenezwa kwa limao)....

Ila mkuu[MENTION]Mzizi Mkavu[/MENTION] anaweza kukusaidia pia japo kwa ushauri tuu....
 
Nakushauri kitu kimoja. Usiguse uso wako. Usilipuke chunusi. Halafu vumilie mpaka ukue mtu mzima. Ukiwa kuwa mtu mzima, chunusi zitatoweka. Chunusi ni dalili ya ujana.
 
Pole nilkuwa na tatizo kama lako. Sasa muone Prof. Mgonda wa Agha khan Dar, mtaalam wa Tiba ya ngozi. In short utapewa dozi ya vdonge 184 vya cku 28 vnakausha kabisa na mafanikio utayaona bada ya miez 2 ukianza dozi. Kama huna Bima jpange coz n ghali itafka ka' lak2 na 50 hivi!
 
Nyongeza, kama uta2mia iyo dozi jtahd kutolamba lips za mdomo coz ile dawa kali inakausha lips, so ukzlamba utapata vdondo wakat wa doz. Na vlevle jarbu kutumia mafuta ya ubuyu kupaka usoni nayo inasaidia!
 
aksante mkuu,
 
Zinarudi rudi kwa sababu huna girl friend. Tafuta mdada wa kukandamiza ili Upunguze hizo stress

sio kweli kuna kipind nliamin hvy basi nlipractise sana ngono+ kujichua lakin wap tatizo palepale mkuu huo uwa ni nadharia tu fikirifu haina ukwel wowote
 
Nyongeza, kama uta2mia iyo dozi jtahd kutolamba lips za mdomo coz ile dawa kali inakausha lips, so ukzlamba utapata vdondo wakat wa doz. Na vlevle jarbu kutumia mafuta ya ubuyu kupaka usoni nayo inasaidia!

aksante pia kaka...
 
Umri wako bado unaruhusu kutoka chunusi...

Ila angalia na aina ya ngozi yako ...maana kama una mafuta mengi inabidi uwe makini na sabuni za kuogea.
Mara nyingi sabuni nzuri ni za lemon(zilizotengenezwa kwa limao)....

Ila mkuu[MENTION]Mzizi Mkavu[/MENTION] anaweza kukusaidia pia japo kwa ushauri tuu....

poa... mkuu lkn hiyo bad nakua dizain ka siikubal vile mbona nimeshapita kwenye pre mature jamani
 
250k kutibu chunusi? Si bora afanye face lift? Kha!

Katika maisha kila mtu ana kipaumbele/Priority chake, kwangu mie cha kwanza ni afya so ckujal hata ingekuwa milioni kumbuka anaongelea chunusi kubwa ka' jipu yani znapoteza confidenc na kufeel aibu kutazamana na mtu usoni! But khs gharama n' choice kwake!
 
Jamani naomba mnambie tiba ya vipele usoni mana nimepata vipele kuzunguka eneo ya shingo haviwashi wala kuuma.ila vinashamiri siku hadi siku.niliwai onana na doctor nikapewa elycort tube ila haijasaidia zaid ndo vinazid msaada jamani uploadfromtaptalk1361603251924.jpg
 
naomba msaada mimi tatizo langu chunusi zimekwisha ila mabaka meusi hayatoki.. natumia Nivea ya bei juu lakini haisaidii.

Maziwa ya Mgando ni dawa Tosha, paka usoni kila unapokuwa idol...yanasaidia ngozi iliyokufaa kubanduka na ngozi yenye afya itachukua nafasi, bila shaka madoa yatakoma
 
Mkuu, ukishajaribu zoote zikashindikana, kanunue PERSOL. Ipo yenye BP 2.5, 5 na 10. Nunua na sabuni hizi local inaitwa MAKINI ya tangawizi au alo vera! Tafadhali soma maelekezo ya persol kabla hujaanza kuitumia! Hakikisha hupaki chini ya macho na hutembei juwani. Pia nakushauri upake usiku tu. Ndani ya wiki 4 njoo utupe majibu. NB: Halafu kamwe usipake malotion yyt usoni, hakikisha unatumia product kavu(oil free) usoni mwako.
 
hamna zaidi ya propolis cream isiyo na kemikali. zote utakazo tumia zina kemikali ivo zinamaliza lakini ile sumu inabaki usoni ivo zinarudi tena. mtafute uyu kaka atakusaidia 0713297066
 
Na mimi nilikuwa na tatizo la namna hiyohiyo ila nilienda kwenye kampuni ya Oriflame na walinipa sabuni inayokaa kwenye kichupa na kicream kidogo sana. Unanawa uso na hiyo sabuni na kupaka hiyo cream asubuhi na jioni. Sasa mimi ni handsome boy kinoma.
Waliniambia ngozi yangu ni sensitive cream kwa hiyo hubadilikabadilika. Mafuta ya kawaida hayafai, na sabuni za kawaida ni ishu. Wapo benjamini mkapa floor ya kwanza kama uko Dar.
Tatizo langu, nilikuwa si tu chunusi ila lotion inaweza kunipenda kwa siku kadhaa na baadae inanikataa. Ngozi yangu ilikuwa kama ngozi ya nanihili na chunusi kibao. ukiniona sasa walahi kama ni mdada ni lazima ujigonge.
 
Chukua avocado lililoiva vema umenye.Kwangua na kijiko ktk bakuli.Weka mkojo wa mtoto koroga paka usn hadi ikauke.Osha
 
Du bahati nzuri sina lakini hivyo vitu avocado(parachichi)na mkojo wa mtoto,wamewahi watu wa kale kutumia pia au modern?
 
sijajua mkojo wa hasubuhi au wowote ule!! Daahh!! Hyo dawa kwa wale ambao hawana watoto, usije ukachukua mkojo wa mtoto wa mwinzio wakakwambia mchawi bule. Artenative nyingine zaidi ya mkojo
 
Back
Top Bottom