Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 359
- 419
Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k ambazo zinapelekea kuharibu nyuso zetu.
Hivyo basi ili kuweza kuhakikisha nyuso zetu zinabaki kua nzuri za kuvutia tunatakiwa kua na utaratibu wa kuhudumia nyuso zetu wngine wanasema wanafanya facial treatment, wengine wanaenda kwenye masaluni yanayotoa huduma izo but kuna wengine wanafanya nyumbani, so let's share together unafanya nini kutibu uso wako?
Binafsi mimi nafanya facial treatment mara 2 kwa wiki au mara 1 hasa nikiwa busy sana but most time nafanya mara 2 kwa wk.
1.naosha uso wangu na sabuni au face wash( uso wangu ni wa mafuta hasa mashavuni na kwny paj la uso)
2.Najifusha/facial steaming
3.Nafanya scrub,apa mimi mara nying natumia manjano na liwa na mix na asali,au kuna siku natumia mtind badala ya asali, namix nasugulia usoni then nakaa kwa dk 15 nanawa na maji barid ya kwnye fridge sometimes
4.Baada ya apa naendelea na taratibu nyingine ntafanya massage ya uso then ntapak serum after seconds ntapaka lotion yangu imeisha iyo.
So ebu share nasi jinsi unavyotibu uso wako,tushauriane pia tips kulingana na aina za ngozi zetu.