Ukishaujua ukweli watasema umechanganyikiwa ili kila usemacho jamii ione kasema chizi, Christina yuko sawa kabisa, kwa miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini. Kama Mungu alituma hao mitume kwa nini sie waafrika tuwajue kupitia wazungu na waarabu. Sie hatuna mtume au nabii wetu ambae wazungu wanaweza kutoka na kusema huyu alkuwa Muafrika. Wake up guys. Kwa wale wa Technical schools watanielewa, hakuna somo la History maana yake halina umuhimu.
 
Ndugu mbona 'code' rahs hvyo umeshndwa kunielewa??
Kwa issue ya huyo mwanamke cha kwanza ni mwanamuziki mkubwa tu ukanda huu wa EA.

Pili (UONGO) Mungu aliyefanya uwepo wa NDOA na anaipa mamlaka hawezi kukuoa maono ya kuvunja Ndoa kisa umtumikie 'hamna kitu kama hicho'

Huyu ni katumwa na kikundi flani.
 
... miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini ...
Ndugu mtetezi wa haki ya Christuna, hapa hatusemei jamii kulaghaiwa NO.

Wewe utakuwa mkiristu basi bibilia unaifaham vizuri au kidogo, kumbuka ni wapi imeandikwa Mungu akampa maono (fulani) aachane na mume wake ili akamtumikie yeye!.
 
Kwa issue ya huyo mwanamke cha kwanza ni mwanamuziki mkubwa tu ukanda huu wa EA.

Pili (UONGO) Mungu aliyefanya uwepo wa NDOA na anaipa mamlaka hawezi kukuoa maono ya kuvunja Ndoa kisa umtumikie 'hamna kitu kama hicho'

Huyu ni katumwa na kikundi flani.
Huyo anasaka pesa na watoaji wazuri wa sadaka ni akina mama!!
 
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.

"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.

Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Kanisa la Kristo limevamiwa.

Kauli ya Shusho ni kama mwenzetu amesha Left Group?
 
Ukishaujua ukweli watasema umechanganyikiwa ili kila usemacho jamii ione kasema chizi, Christina yuko sawa kabisa, kwa miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini. Kama Mungu alituma hao mitume kwa nini sie waafrika tuwajue kupitia wazungu na waarabu. Sie hatuna mtume au nabii wetu ambae wazungu wanaweza kutoka na kusema huyu alkuwa Muafrika. Wake up guys. Kwa wale wa Technical schools watanielewa, hakuna somo la History maana yake halina umuhimu.
Issue sio dini. Hajalefti Dini bali analefti Ndoa kwa ajili ya Dini.
 
Aisee ukipata mke anakupenda na kukuheshimu kama mume shukuru Mungu, huyu ni mwimbaji wa dini yanamtoka moyoni mwake hayo maneno alafu anaona yupo sawa hii ni hatari. Dunia ya leo Ndoa nikubet tena huko kwenye dini mashetani ndio wengi.
 
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.

"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.

Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"

Shusho sio mwaminifu katika ndoa, analiwa sana kwa siri, kwenye ndoa anaona kabanwa, mhuni au malaya tabia zake hazijifichi, utaelewa tu kwa matendo yake sio ya kawaida, umeona wapi mwanamke anavunja ndoa yake eti amtumikie Mungu? Mungu wa wapi huyo? Hakuna Mungu wa hivyo, hapo hamaanishi Mungu, anamaanisha awe huru kupigwa miti..!
 
Kauli kama hizi siyo za kufumbia macho, hawa wanakuwa wanatumwa na hidden society kuharibu taasisi na jamii, hivyo ni wa kumkemea kwa njia zote.

Hakuna wito wa kuvunja Ndoa pia hakuna Mungu atakayekupa ndoto za kuvunja ndoa yako ili ukamtumikie huyo ni sheitwan bin ibirisi.
Tatizo watu wanapoteza muda sana kuwaamini hao binadamu wenzao, ambao wengi wala hawajatumwa na Mungu. Sioni kosa lake hapo hata kidogo, kaongea ukweli mtupu. Ni wajibu wetu kujua namna bora na sahihi ya kumuabudu Mungu na si kuwategemea hawa waganga njaa na wenye ubinafsi mkubwa.
 
Wanawake hawaruhusiwi kuwa wachungaji
Dini zimepoteza mwelekeo
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.

"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.

Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
1 Timotheo 2:12-13
[12]Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.
[13]Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.
For Adam was first formed, then Eve.

Ndani ya kanisa sasa hivi vikundi vya kisiri kama freemason,illuminati nk vimejikita.
Kuna wenye uelewa na hii mission na wengine ni fuata upepo tu hawajui chochote.
Niwaambie tu ukweli shetani ndiye mmiliki wa kanisa kwa sasa.
Bwana Yesu keshatupwa nje ya kanisa.
 
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.

"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.

Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Huyu dada nilikua nampenda Hadi naumwa...
Sijui kimemkuta Nini...
Nimemchukia mnooooo...
Amekuwa Kama kina Joyce K...inauma sana

Au Diamond kamspoil?!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom