Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 694
- 1,807
Ukishaujua ukweli watasema umechanganyikiwa ili kila usemacho jamii ione kasema chizi, Christina yuko sawa kabisa, kwa miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini. Kama Mungu alituma hao mitume kwa nini sie waafrika tuwajue kupitia wazungu na waarabu. Sie hatuna mtume au nabii wetu ambae wazungu wanaweza kutoka na kusema huyu alkuwa Muafrika. Wake up guys. Kwa wale wa Technical schools watanielewa, hakuna somo la History maana yake halina umuhimu.