Christimas wishes from my x

Ya kwanza ni kum-starve halafu baadaye anawekwa kwenye restricted meal!!

Si unajua tena...shida ya watu kama hawa ni kuwaacha wale wachachue kana kwamba kila siku ni Xmas au Idd!!

Mwisho unamdedisha kabisa eti babu?
 
jamani baada ya my x kunimwaga, na kutokuwa na mawasiliano nae almost 6 months. Aliniumiza sana sana, kifupi alinitenda. Niliwah kuchangia thread moja nikirefer my experience. Nilishaanza kumsahau kabisaa, and maisha yangu yanaendelea kwa furaha bila mahusiano yeyote.
Eti juzi kanemail the xmas card, na jana kanitext akiniwish xmas na mwaka, mpya.
Is he crazy? Does it make sense?
Anadhani naweza kumwelea?
ulivyoandika hapa inaonyesha hata ww bado unampenda!
 
Usnichekeshe babu, mahawara huwa.....................................
Nadhani punishment ya kutokumjibu na kumignore for good inamtosha sana babu. Au?

Amechezea shilingi chooni, imedumbukia.

For how long will you sustain it??

Nimekukumbusha philosophy commercial advert...umeona??
 
Babu unausemea moyo wangu mbona?

No Koku,

Nayasemea yale ninayoyaona kutoka kwenye mahangaiko yako....

Usidhani kwamba nampigia debe mjukuu wa kiume...Kwangu nyote ni wajukuu na hakuna ambaye ni bora kuliko mwenzake...

Ila yale ambayo nimeyasikia toka kwako so far, yanampa kijana big advantages!!

Babu DC
 
Ana lake jambo. Siku zote alikuwa wapi asinisalimie?

Sasa mbona hutaki kukubaliana nasi kwamba jamaa amejipanda vyema kuunza mwaka 2012 kwa matumaini....???


ulivyoandika hapa inaonyesha hata ww bado unampenda!

Hayo tunajaribu kumweleza Koku ila hataki kabisa kusikia,

Ngoja kaka yake Bishanga aje naye amsaidie kusoma maandishi yaliyo ubaoni tena kwa font kubwa ambayo inasomeka hata kwa vikongwe wa miaka 100 bila miwani!!

Babu DC
 
mtu kukutakia heri ina shida gani labda utueleze kuna mengine zaidi ya hayo


Tatizo la huyu mjukuu wangu ni kwamba miezi 6 baada ya kuachana na BF wake bado hajielewi....

Labda kwa hii counselling atarudi kwenye normal na kuusikiliza moyo wake!!
 
FOR GOOD BABU.
Akafie mbali, nimekupata vizuri tu


Nakuelewa Koku,

Kama hayo ungekuwa unayasema baada ya vumbi la kuachana kutua tungekuelewa...

Ngoja kwanza hayo mahasira yaishe ndiyo utaweza kuyasikia mapigo yako ya moyo vizuri.....Ila wenzio tunaona kuwa bado jamaa ana shea ya kutosha!!
 
umeona babu huyu jamaa bado hajisomi kuna heri iliyo heri kama mtu kukutakia heri kipindi hiki moyoni ni kupokea na kuomba yote yawe ya heri na baraka tele.
Tatizo la huyu mjukuu wangu ni kwamba miezi 6 ubaada ya kuachana na BF wake bado hajielewi....

Labda kwa hii counselling atarudi kwenye normal na kuusikiliza moyo wake!!
 
umeona babu huyu jamaa bado hajisomi kuna heri iliyo heri kama mtu kukutakia heri kipindi hiki moyoni ni kupokea na kuomba yote yawe ya heri na baraka tele.

Tatizo la Ex BF wa Koku alituma salamu zenye romantic ingredients za kumwaga, ....kitu ambacho kina echo mbaya katika memory za mlengwa!!

But for us (watazamaji), unamwona jamaa kama vile ana mpango mzuri tu wa kuweka mashambulizi ya uhakika kwa 2012!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....pupwe lina msisimko kwa kondoo mwenye manyoya haba....jamaa kabonyeza restart button,...lol...
'msukule!' wa hisia.


Hebu msaidie huyu mjukuu wangu apate mauzoefu!!

Nimefuatilia sana story ya Koku na sina shaka katika ubongo wangu uliochoka kwamba jamaa yuko mbioni kumrudisha mwandani wake mikononi mwake!!
 
Hebu msaidie huyu mjukuu wangu apate mauzoefu!!

Nimefuatilia sana story ya Koku na sina shaka katika ubongo wangu uliochoka kwamba jamaa yuko mbioni kumrudisha mwandani wake mikononi mwake!!

....mstaafu, ninachokiona mimi hapo jamaa anajaribisha plug ipi bado inachoma....na kwa muonekano wa mjukuu wako, kuna kila dalili gari inaweza pigishwa starter japo gear namba moja tu ndiyo inayofanya kazi!...

haya mambo ya kujiapiza wakati kiroho kinadundia mnh, jamaa akiendelea kuchokonoa plug, hadithi ya 2012 itakuwa nyingine!
 
....mstaafu, ninachokiona mimi hapo jamaa anajaribisha plug ipi bado inachoma....na kwa muonekano wa mjukuu wako, kuna kila dalili gari inaweza pigishwa starter japo gear namba moja tu ndiyo inayofanya kazi!...

haya mambo ya kujiapiza wakati kiroho kinadundia mnh, jamaa akiendelea kuchokonoa plug, hadithi ya 2012 itakuwa nyingine!

Naamini Koku atasoma hii post...La sivyo nitamtumia kwa telegram!!

Ndo maana toka mwanzo tumemshauri kwamba aache kujiapiza, badala yake ajipe muda apone kabisa...Baada ya hapo ndipo atajua kama bado ana nafasi ya kumpa huyo Ex BF wake ambaye alimtenda au la...

Na si ajabu, Koku alichukulia hasira na hakutoa nafasi ya kumsikiliza mtuhumiwa. Labda ndo maana jamaa anaitafuta hiyo nafasi kwa nguvu zote!!

Kwa hawa wadau wetu,....huwa siamini kama wanaweza kushinda persistent pressure, kama vile ambavyo sie hatuna uwezo wa kuhimili nguvu ya machozi yao!!
 
Kwanza sina historia ya kuwa au kupitiwa midume mingi as u said.
Pili ninajiheshimu na ninaheshimika sana.
Tatu alikuwa miongoni mwa wachache walioweza kupata mapenzi yangu ya dhati, then akalichezea, tena akaniacha nikiwa ktk very hard time, nikisema hard time namaanisha hard time in all aspect of life.
Nne nilishamsamehe, ndo maana naendelea na maisha yangu, na sijakurupuka kutafuta mwingine sbb sihitaji. It is also too late for him. No room 4him again.

It happened to me as a man. Nilimdisi mdada mmoja kwa sababu ya ujinga wangu by then, nikamchanganya sana afya yake ikayumba kweli na mpaka ACSEE akaambulia ziro japo ni kichwa kweli, akanichukia sana tena sana sana.Nikaendelea na maisha akaendelea na maisha.Baada ya kujifunga kwa mdada mwingine, those feelings za kwamba ingekuwaje ningekuwa na wa awali daima zinanitesa(KWA HAKIKA MAMBO YANGEKUWA TOFAUTI)! Then one day, after five years bila mawasiliano naye, she called. Kwamba amenisamehe, kwamba she wishes she was married to me,kwamba she is just married as part of life, but it is me she loves! Wandugu, niliumia sana na kufedheheka kweli. Halafu mbaya zaidi, mmewe anafanya kazi nje ya TZ, mke wangu anafanya kazi mkoa mwingine, na mimi na huyu dada tuko mji mmoja! Tumebaki kujiuliza kwa nini, WHY? JE ILIMAANISHWA TUISHI PAMOJA?
Nimalizie kwa kukusihi mpendwa, mapenzi yanaitwa mapenzi kwa sababu.That man is your sadness kwa sasa, lakini huenda ndio furaha yako ya kweli duniani. Usijifiche,usione aibu, wellcome him back kabla hujachelewa.Usijidanganye unaweza kuyaviza mapenzi hivi hivi, utaishia kujiumiza na kujidhulumu. Go back to him my dear, you gave him your all, it seems, he is ready to give you his all! Ubarikiwe.
 
It happened to me as a man. Nilimdisi mdada mmoja kwa sababu ya ujinga wangu by then, nikamchanganya sana afya yake ikayumba na mpaka ACSEE akaambulia ziro japo ni kichwa kweli, akanichukia sana tena sana sana.Nikaendelea na maisha akaendelea na maisha.Baada ya kujifunga kwa mdada mwingine, those feelings za kwamba ingekuwaje ningekuwa na wa awali daima zinanitesa! Then one day, after five years bila mawasiliano naye, she called. Kwamba amenisamehe, kwamba she wishes she was married to me,kwamba she is just married as part of life, but it is me she loves! Wandugu, niliumia sana na kufedheheka kweli. Halafu mbaya zaidi, mmewe anafanya kazi nje ya TZ, mke wangu anafanya kazi mkoa mwingine, na mimi na yeye tuko mkoa mmoja! Tumebaki kujiuliza kwa nini, WHY?
Nimalizie kwa kukusihi mpendwa, mapenzi yanaitwa mapenzi kwa sababu.That man is your sadness kwa sasa, lakini huenda ndio furaha yako ya kweli duniani. Usijifiche,usione aibu, wellcome him back kabla hujachelewa.Usijidanganye unaweza kuyaviza mapenzi hivi hivi, utaishia kujiumiza na kujidhulumu. Go back to him my dear, you gave him your all, it seems, he is ready to give you his all!


Huu ushuhuda ni wa PLATNUM level,

Huyu Koku akae chini atafakari na kuusikiliza moyo wake.....Hayo mambo ya ku-agonise wakati mtu keshachelewa tumekutana nayo sana tena sana!!

Ila hapo na wewe Kande unatakiwa kuwa mwangalifu sana...Punguza mawasiliano na mke wa mtu tena ukizingatia kwamba mnayo nafasi ya kutosha kufanya dhuluma yoyote kadri mtakavyopenda.
 
Back
Top Bottom