Christimas wishes from my x

Huna haja ya kuwaza na kuwazua kama umesha move on. Soma, delete, songa mbele na maisha yako. Unless you tell me you are not yet over him.
 
Pole sana Koku,

Naamini unakumbuka maneno yangu ya siku ile......Mie naamini mchakato ndo unaanza upya.....

Siku ile sikutaka kuwa mtabiri...ila nahofia muda si mrefu unaweza kuniita Shekh Yahya bure!!
 
Pole sana Koku,

Naamini unakumbuka maneno yangu ya siku ile......Mie naamini mchakato ndo unaanza upya.....

Siku ile sikutaka kuwa mtabiri...ila nahofia muda si mrefu unaweza kuniita Shekh Yahya bure!!

Babu ulikuwa wapi babu?
Nilikukumbuka sana na nilikumbuka maneno yako. Lkn sirudi nyuma babu. Ng'ooo. Am happy with the life am in now.
Nilikumiss Babu DC
 
Babu ulikuwa wapi babu?
Nilikukumbuka sana na nilikumbuka maneno yako. Lkn sirudi nyuma babu. Ng'ooo. Am happy with the life am in now.
Nilikumiss Babu DC

Pole Koku,

Nilipigwa Ban ya siku 2 na Bibi DC.....Si unajua tena....alitaka kuhakikisha wajukuu wanamaliza siku kuu salama!!

Sasa Koku, unadhani hii ngoma ni ya kitoto ambayo haikeshi?? Kama una mawazo kama hayo basi umeulamba wa chuya!1

Unajua kwa nini matangazo ya biashara yanarudiwa rudiwa kila siku??

Baada ya hii trailer movie itaanza soon!!

Babu DC!!
 
Aah, bibi yetu mzuri sana.
Inabidi akupe ban tena from 30th hadi 2nd january wajukuu waendelee kufaidi na yeye kufaidi zaidi, eti?

Aaa wapi babu. Milango ilishafungwa na moyo ulishaganda.
Anajipendekeza nini sijui. Hakuna ngoma itakayochezwa tena. Kungwi kashaipasua na ngozi ameichoma.
So no possibility , even -0.0000.
How was the xmas?
 
Jamani baada ya my X kunimwaga, na kutokuwa na mawasiliano nae almost 6 months. Aliniumiza sana sana, kifupi alinitenda. Niliwah kuchangia thread moja nikirefer my experience. Nilishaanza kumsahau kabisaa, and maisha yangu yanaendelea kwa furaha bila mahusiano yeyote.
Eti juzi kanemail the xmas card, na jana kanitext akiniwish xmas na mwaka, mpya.
Is he crazy? Does it make sense?
Anadhani naweza kumwelea?

kwani uko single au una mtu, coz naona ka ulifurahi vile sababu alionyesha bado anakumbuka mazuri yako ndomana akaku wish merrychristmas na maneno mataamu.
 
Huna haja ya kuwaza na kuwazua kama umesha move on. Soma, delete, songa mbele na maisha yako. Unless you tell me you are not yet over him.

mpata kataka mawazo inamana anampenda bado so usidelet sms wala mail soma kila saa mpaka akurudie moyoni alafu mpate muda wa kujipanga upya
 
Wala sikufurahia pilu.
Aliyonitendea wala siwezi kusoma hzo wishes zake as u said. Nilishazidelete. Frankly sina mtu na sitegemei kwa siku za karibuni. What i did is to share this experience as before.
 
hudhan kwakutuma salam zake za sikuku ni kama kesha regret kwa aliyotenda labda anataka nafasi mpya aonyeshe penzi kama lililokuvutia awali adi mkawa pamoja ? Uwe na moyo wakusamehe dada coz utajikuta mwisho wa siku ushakua na midume kibao na dhaman yako ikashuka dia.
 
If he has been able to awake your feelings (nzuri au mbaya) maana yake bado yupo moyoni mwako, ni hasira tu zinakudanganya, unadhani humpendi. Kama kweli huna feeling nae kwa nini card yake ikuumize kichwa?
Just ignore him vile ulikua ukifanya., but also deal with yourself, hisia zako zisije zikakuaibisha siku moja.
 
Kwanza sina historia ya kuwa au kupitiwa midume mingi as u said.
Pili ninajiheshimu na ninaheshimika sana.
Tatu alikuwa miongoni mwa wachache walioweza kupata mapenzi yangu ya dhati, then akalichezea, tena akaniacha nikiwa ktk very hard time, nikisema hard time namaanisha hard time in all aspect of life.
Nne nilishamsamehe, ndo maana naendelea na maisha yangu, na sijakurupuka kutafuta mwingine sbb sihitaji. It is also too late for him. No room 4him again.
 
Dont keep dead dog ,Piga chini ... halafu unipm nikupe 21 na 60 days rule. Na zikipita hutakiwi hata kusave jina lake popote.
 
Aah, bibi yetu mzuri sana.
Inabidi akupe ban tena from 30th hadi 2nd january wajukuu waendelee kufaidi na yeye kufaidi zaidi, eti?

Aaa wapi babu. Milango ilishafungwa na moyo ulishaganda.
Anajipendekeza nini sijui. Hakuna ngoma itakayochezwa tena. Kungwi kashaipasua na ngozi ameichoma.
So no possibility , even -0.0000.
How was the xmas?

Koku....Koku....Kokutona....baadaye atakuita Kokuleta au Kokunula!!!

Hii miaka tuliyoishi kwenye hii dunia haiwezi kuwa bure....Tumesikia na pia tumeona mengi...Labda tungekusimulia, basi ungejua kuwa hayo yako ni kama hakuna kitu kilichotokea!!

Hasira unazoonesha ni kwamba unampenda sana jamaa ila kitu alichokufanyia ni kibaya sana....Naamini wazee wako watakueleza kuwa enzi zao, tukio kama hilo lilitulizwa kwa kukulipa faini ya mbuzi na kishusi (kibuyu kikubwa) cha rubisi (pombe)......Then mzuka unarudi mahali pake na maisha yanaanza kama vile hamna akili nzuri...

Niko tayari ku-bet....the guy is making a very right move and at the most appropriate time....

Utakuja kunisimulia!!!

Xmass ilikuwa nzuri na tumefurahi sana kucheza na wajukuu!!

Vipi wewe??? Au bado una hang over ya Xmas wishes??

Babu DC!!
 
If he has been able to awake your feelings (nzuri au mbaya) maana yake bado yupo moyoni mwako, ni hasira tu zinakudanganya, unadhani humpendi. Kama kweli huna feeling nae kwa nini card yake ikuumize kichwa?
Just ignore him vile ulikua ukifanya., but also deal with yourself, hisia zako zisije zikakuaibisha siku moja.

RR,

Mambo ya mapenzi ni magumu kuliko hata diamond....Koku bado anampenda sana jamaa yake na ndiyo maana kitu chochote kinachomkubusha those old good days kinamuumiza sana...

Maadam jamaa keshajirudisha....ningemshauri ampe bonge la punishment + extended probation ili ajiridhishe kama jamaa karudi kweli halafu wasonge mbele... Otherwise, mzimu wa huyo bwana utamwandama siku zake zote!!

Sitaki kuwa mtabiri ila katika hii issue ya Koku, sitajali kupewa jina hilo!!

Remember,......"Mahawala huwa hawaachani, bali wanatengana tu!!!"......Babu Asprin

Babu DC!!
 
cdhani kama kuna tatizo lolote lile ni sawa na kupokea txt msg ya kawaida kwani siku za xmas na mwaka mpya watu hutakiana heri na si magomvi na sidhani kama kuna tatizo la kuumiza kichwa ,, angekutumia katika hali ya kawaida labda ungewazia tofauti .. ila kumbuka naye ni binadamu ana hisia na anamapungufu inawezekana ndo kapata pa kuanzia wewe usiache hisia za haira zikutawale kama unaona hafai tena kaa kimya huna haja ya kulumbana na kwa vile ilikuwa siku maalumu bado unayo haki ya kujibu au kutokujibu
 
RR,

Mambo ya mapenzi ni magumu kuliko hata diamond....Koku bado anampenda sana jamaa yake na ndiyo maana kitu chochote kinachomkubusha those old good days kinamuumiza sana...

Maadam jamaa keshajirudisha....ningemshauri ampe bonge la punishment + extended probation ili ajiridhishe kama jamaa karudi kweli halafu wasonge mbele... Otherwise, mzimu wa huyo bwana utamwandama siku zake zote!!

Sitaki kuwa mtabiri ila katika hii issue ya Koku, sitajali kupewa jina hilo!!

Remember,......"Mahawala huwa hawaachani, bali wanatengana tu!!!"......Babu Asprin

Babu DC!!

Babu ni adhabu gani inawafaa hawa watu, wanaopenda kuondoka na kurudi tena
 
Back
Top Bottom