Christimas wishes from my x

That is the mistake that i dont want to do babu.
Huko alikoamua kwenda aendelee nako, awaimbie hao.

Koku mdogo wangu,

Kuna mtu alinambia kuwa dhambi ya kuunganisha miili ni kubwa kuliko zote kwani kila ukimwona mtu yule unakuwa kama unatenda dhambi tena!!

Amini usiamini, huyu jamaa atabaki kuwa wako milele hata kama anaweza asiwe namba moja...Hata yeye najua analitambua hilo!!

Nahofia msije kuanza kuchonoana baada ya kuwaingiza watu wengine kwenye loop!

Babu DC!!
 
Nimeussoma ushuhuda wako Kande K kwa makini saana.
Kwa nini mnapenda kuwafanyia wenzenu hiviii. Kwa ujinga wako umemfanya mwenzio aingie ktk ndoa asiyoifurahia. Mbaya sana.
Ushauri wako nimeupokea but, it is not that easy. Miracle is needed here

My regret. Maji yamekwisha mwagika.Nimetoa ushuhuda huu ili na waliokwenye situation hizi watafakari maamuzi yao.
 
Koku mdogo wangu,

Kuna mtu alinambia kuwa dhambi ya kuunganisha miili ni kubwa kuliko zote kwani kila ukimwona mtu yule unakuwa kama unatenda dhambi tena!!

Amini usiamini, huyu jamaa atabaki kuwa wako milele hata kama anaweza asiwe namba moja...Hata yeye najua analitambua hilo!!

Nahofia msije kuanza kuchonoana baada ya kuwaingiza watu wengine kwenye loop!

Babu DC!!

Yeye kashawaingiza mbona? Zaidi ya mmoja babu yangu.
Sijui yalomkuta huko ni nini.
Atajibeba babu
 
Jamani baada ya my X kunimwaga, na kutokuwa na mawasiliano nae almost 6 months. Aliniumiza sana sana, kifupi alinitenda. Niliwah kuchangia thread moja nikirefer my experience. Nilishaanza kumsahau kabisaa, and maisha yangu yanaendelea kwa furaha bila mahusiano yeyote.
Eti juzi kanemail the xmas card, na jana kanitext akiniwish xmas na mwaka, mpya.
Is he crazy? Does it make sense?
Anadhani naweza kumwelea?
Vipi baada ya hapo hadi leo imekwaje?
 
Hope this message was sent by a person who is at ward number 1 at BUGANDO HOSPITAL
 
Jamani baada ya my X kunimwaga, na kutokuwa na mawasiliano nae almost 6 months. Aliniumiza sana sana, kifupi alinitenda. Niliwah kuchangia thread moja nikirefer my experience. Nilishaanza kumsahau kabisaa, and maisha yangu yanaendelea kwa furaha bila mahusiano yeyote.
Eti juzi kanemail the xmas card, na jana kanitext akiniwish xmas na mwaka, mpya.
Is he crazy? Does it make sense?
Anadhani naweza kumwelea?
Kwani wish inashida gani? Pokea tu
 
Back
Top Bottom