Christimas wishes from my x

maskini! mapenzi ni kikohozi hayafichiki n'go. hata hivyo kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa we mwambie tu, miss u too. uone, akiingia kwenye line na wewe mmwage aone utamu wake.
 
KOKU, sipingi watu wasiwasiliane wakti wa Xmas, tatizo lako ni kuwa kuna
kila dalili kuwa pamoja na kuumizwa, bado yuko moyoni mwako.
Ningependa nikosee, lakini nahisi tayari ukmeshamjibu, liwe jibu zuri au baya.

Ikiwa sio hivyo, na kama kweli umesham"delete" moyoni mwako, utafanya
kosa kubwa sana kumjibu. Ukimjibu tu ndio unampa mwanya wa kuendelea
kukuandikia na kuandikiana...hatimaye unarudi tena kwenye mtego kichwakichwa.
 
maskini! mapenzi ni kikohozi hayafichiki n'go. hata hivyo kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa we mwambie tu, miss u too. uone, akiingia kwenye line na wewe mmwage aone utamu wake.[/QUOTE]

Acha kumpotosha mwenzio......Unataka hadi awe na vidonda vingapi ndo utajua amepigana vita??
 
Jamani baada ya my X kunimwaga, na kutokuwa na mawasiliano nae almost 6 months. Aliniumiza sana sana, kifupi alinitenda. Niliwah kuchangia thread moja nikirefer my experience. Nilishaanza kumsahau kabisaa, and maisha yangu yanaendelea kwa furaha bila mahusiano yeyote.
Eti juzi kanemail the xmas card, na jana kanitext akiniwish xmas na mwaka, mpya.
Is he crazy? Does it make sense?
Anadhani naweza kumwelea?

SAsa jamani kwani kuna ubaya gani si salamu tuu???
 
KOKU, sipingi watu wasiwasiliane wakti wa Xmas, tatizo lako ni kuwa kuna
kila dalili kuwa pamoja na kuumizwa, bado yuko moyoni mwako.
Ningependa nikosee, lakini nahisi tayari ukmeshamjibu, liwe jibu zuri au baya.

Ikiwa sio hivyo, na kama kweli umesham"delete" moyoni mwako, utafanya
kosa kubwa sana kumjibu. Ukimjibu tu ndio unampa mwanya wa kuendelea
kukuandikia na kuandikiana...hatimaye unarudi tena kwenye mtego kichwakichwa.

Kwa maelezo ya Koku,

Hajajibu msg na jamaa alisham-delete siku nyingi...

Ila kwa macho yetu ya kizamani, jamaa bado kauteka moyo wa Kokutona...

Soon, tutakuwa na kitu ndani ya box......!!!

Babu DC
 
SAsa jamani kwani kuna ubaya gani si salamu tuu???

Hakuna ubaya ila Koku anajifia rohoni kivyake vyake....How and where can she start??

Mpeni ushauri mwenzenu, ....anaumia sana Koku!!

Babu DC!!
 
maskini! mapenzi ni kikohozi hayafichiki n'go. hata hivyo kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa we mwambie tu, miss u too. uone, akiingia kwenye line na wewe mmwage aone utamu wake.[/QUOTE]

Acha kumpotosha mwenzio......Unataka hadi awe na vidonda vingapi ndo utajua amepigana vita??

ai, kwani alishaumia tayari? sasa akirudi huko si ndo atamalizwa ? ni bora tu amuonjeshe maumivu na yeye.
 
Ungekuwa wewe ungekuwa tayari kuzika wangapi?? Mmoja au wawili?

Tangu lini jino kwa jino ikawa suluhu???

Kama kichaa akikukuta unaoga akakimbia na nguo zako utafanyaje???
 
Kwa maelezo ya Koku,

Hajajibu msg na jamaa alisham-delete siku nyingi...

Ila kwa macho yetu ya kizamani, jamaa bado kauteka moyo wa Kokutona...

Soon, tutakuwa na kitu ndani ya box......!!!

Babu DC
Mimi kubwa ninamuombea Mungu hiyo kitu ndani ya box iwe nzuri, asiumizwe tena.
Moyo si sawa na nguo ya masikini, kila siku inatiwa viraka mpaka kitambaa cha asili hakionekani tena.
 
Koku inamaana hakuna matamu unayokumbuka toka kwake?
Kama yapo rudi kale raha, jamaa kaonyesha kujirudi kiaina.
 
Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply

walalh we koku bado unampenda/mtamani mwenzio wewe!sa si ufunguke tu kwake like in 'baby come back- style!?'.hebu wacha kujiumiza mrembo,usisubiri samahani..........mnapenda sana kubembelezwa na nyinyi aaah!
 
Koku....Koku....Kokutona....baadaye atakuita Kokuleta au Kokunula!!!

Hii miaka tuliyoishi kwenye hii dunia haiwezi kuwa bure....Tumesikia na pia tumeona mengi...Labda tungekusimulia, basi ungejua kuwa hayo yako ni kama hakuna kitu kilichotokea!!

Hasira unazoonesha ni kwamba unampenda sana jamaa ila kitu alichokufanyia ni kibaya sana....Naamini wazee wako watakueleza kuwa enzi zao, tukio kama hilo lilitulizwa kwa kukulipa faini ya mbuzi na kishusi (kibuyu kikubwa) cha rubisi (pombe)......Then mzuka unarudi mahali pake na maisha yanaanza kama vile hamna akili nzuri...

Niko tayari ku-bet....the guy is making a very right move and at the most appropriate time....

Utakuja kunisimulia!!!

Xmass ilikuwa nzuri na tumefurahi sana kucheza na wajukuu!!

Vipi wewe??? Au bado una hang over ya Xmas wishes??

Babu DC!!

Wazee ni hazina babu, ngoja nisikupinge sana kwa unavyomtetea. Ni mwanamume mwenzio, i mean mjukuu wako wa kiume.
All in all i have no intention of going back to him real babu, nimeumwa na nyoka tayari.

Xmas ilikuwa powa babu, wishes hazikunipa hang over, i just vomited them
 
RR,

Mambo ya mapenzi ni magumu kuliko hata diamond....Koku bado anampenda sana jamaa yake na ndiyo maana kitu chochote kinachomkubusha those old good days kinamuumiza sana...

Maadam jamaa keshajirudisha....ningemshauri ampe bonge la punishment + extended probation ili ajiridhishe kama jamaa karudi kweli halafu wasonge mbele... Otherwise, mzimu wa huyo bwana utamwandama siku zake zote!!

Sitaki kuwa mtabiri ila katika hii issue ya Koku, sitajali kupewa jina hilo!!

Remember,......"Mahawala huwa hawaachani, bali wanatengana tu!!!"......Babu Asprin

Babu DC!!

Usnichekeshe babu, mahawara huwa.....................................
Nadhani punishment ya kutokumjibu na kumignore for good inamtosha sana babu. Au?

Amechezea shilingi chooni, imedumbukia.
 
Back
Top Bottom