Chris Lukosi wa CHADEMA VS Suzan Mzee wa CCM...

Bwana Chris Lukosi ambaye siku 2 zilizopita alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa wa CHADEMA London sasa hii ilikuwa jana na GAMBA lake

Ushahidi tosha kuwa CHADEMA kama ilivyo CUF, ni CCM B

553456_494735017223127_355894063_n.jpg
 
Usishangae wa London na hao wa Makao makuu Tanzania ni hivyohivyo
 
Mkuu, kifungu ulichonukuu na kifungu nilichokupa ni tofauti. Hayo ni matawi, soma kifungu kinachohusu matawi 7.2.1.

Kwa hiyo ulimaanisha kwa kuwa Tanzania tunasema MAJI, ukienda Uingereza ukakuta yanaitwa WATER si sawa na haya haya ya kwetu???!
 
mateja ni wengi chadema ndio maana bro chris asingewaweza ,mateja huongozwa na mateja wenzao na wenye uelewa kama sisi LUKOS atatufaa tu.mkitaka wezi na wabakaji LEMA atawafaa.
 
mateja ni wengi chadema ndio maana bro chris asingewaweza ,mateja huongozwa na mateja wenzao na wenye uelewa kama sisi LUKOS atatufaa tu.mkitaka wezi na wabakaji LEMA atawafaa.
Kagi Lugola alisema anawajua mwaziri wanaojihusisha na biashara ya madawa ya Kulevya je mawaziri hao ni wa CDM? na je Idd Azan ni mbunge wa CDM? na yule aliyenusurika kunyongwa kule China ni mjumbe wa NEC ya CDM? huyo Lukosi hana kazi maalum inawezekana kabisa kilichomuondoa CDM ni kutokana na kujihusisha na biashara ya SEMBE ambayo imepewa baraka na CCM na inapigwa vita na CDM hivyo akaona bora arudi kule biashara yake inapokubalika ili aendelee kuiingizia mapato CCM kwa hiyo biashara iliyohalalishwa na CCM.
 
Ndugu zetu wa chadema tunaomba Cv za mwenyekiti wenu wa ulaya naona kama mnapata kigugumizi.Mwenyekiti wa chadema Taifa hana elimu nzuri hana hata Diploma na Mwenyekiti wa Ulaya bwana Lokosi ana elimu gani,Mwenyekiti wa Taifa bwana MBOWE tunaweza kusema kuwa hakuishi Ulaya. huyu chris ana elimu ipi? nataka kujiunga chadema kama nitashawishika na uwezo wa chris Lukosi
Sasa wewe unajiunga kwa ajili ya vyeti basi nenda kwa vyama vyenye viongozi professors
 
Back
Top Bottom