Chris Lukosi wa CHADEMA VS Suzan Mzee wa CCM...

Yanini mkatane vidole bure? Matawi yenyewe hata kwenye katiba ya chama hayatambuliki? Kimsingi hayo siyo matawi ila ni magenge ya washabiki. Huyo Dr. L***** anaweza na yeye kuanzisha genge lake, siyo lazima afuate genge la kina Chris.

Moto tumeshauwasha nivigumu kuuzima , bure mwajisumbua magamba mtakomaaaaaaa!!!!!!
 
wadau jaribuni kuwa na kumbukumbu je nyie Magamba mnajua siku ya uzinduzi wa CCM London ilikuwa wapi/ bahati nzuri mie nilikuwepo harakati zilianzia Bongo Flovor Oxford Road kwa Dickson ndani ya PUB uchwara tena kwa kujificha wajomba wasituone (askari wa UK) then tukazindua rasmi pale 79 club sehemeu ya kuchexea disco na kunywea bia baada ya kuchoka na shift za kubeba BOX. je unakumbukumbu hizo kama huna mtafute mwenyekiti MAINA ONG'ENYA muulize atakuambia chini ya mkakati wa CHACHA RUGE na MORGAN bila kumsahau MAIRA MIGIRE na GADO. Nyani haoni Kundule mmesahau?????
 
Nimefurahi kusikia wanaCHADEMA wa U.K ni watu wa gheto,yani hawana pesa hata za kukodisha ukumbi kwa ajili ya shughuli kama hiyo.CHADEMA ni chama kilicholetwa na MUNGU kwa ajili ya watu kama hao.sio chama cha mafisadi wenye pesa chafu za kufanyia mkutano kwenye kumbi za kifahari.hakuna mshikamano thabiti duniani kama mshikamano wa wanyonge!!
 
kenge kweli wewe we ndiyo uliyekosea mwenzio yuko right looser ndio inavyoandikwa hivyo
Halafu mtu kama huyu ndio anakesha hapa kutaka kujua kiwango cha elimu za watu wengine wakati yeye kuandika ni mgogoro!!!
 
Chaadema jana wameanza tawi lao la kihistoria hapa Uk kwa kufanya shughuli yao Bar chini ya uratibu wa mwenyekiti wao bwana chris Lukosi wa serengeti Freight. ni jambo la aiabu sana kwa Chama ambacho kinasema kinataka kuchukua madaraka na kwenye mji mkubwa kama London waende kufanya shughuli hiyo Pub.achilia mbali malalamiko ya ndugu zetu waislam waliosema kuwa muda wao wa kufuturu ndio ulikuwa muda wa uzinduzi wa tawi la chadema uingereza.

pili eneo la bar kwao lilikuwa ni jambo zito.lakini wapo wakristu na hata wasio na dini ambao hawapendi kwenda Bar.kwa akili ya haraka haraka tunapata picha kuwa chadema uingereza ni kundi la walevi ndio maana wakaamua kuwa na shughuli yao Bar tena ya eneo la uswahilini kama ni Tanzania basi kule Tandale kwa mtogole au Mbagala.wangeweza kwenda hotel katikati ya london ambazo zina kumbi za mikutano na bei yake ni ndogo sana.

naomba wana chadema
mtuambie kuwa chris ana Elimu gani amesoma chuo kikuu gani hapa UK, tunajua hapa Uk ni kisiwa cha elimu.ukitizama picha za watendaji wa chadema UK wengi wao wana sura za kilevi na watu waliokata tamaa za maisha hapa UK,wameshindwa kuingia kwenye main stream society ya uk wanaishi maisha ya kighetto. naamini Chadema waemshafeli kwa kumchukua Chris Lukosi ambaye upeo wake ni mdogo na hana tofauti na Susan mzee wa Ccm lakini pamoja na maskendo yake susan mzee bado yuko juuu kidogo ukimfananisha na mwenyekiti wa Chadema Chris lukosi.
mwenye CV za hawa watu wawili atuletee tuona nani zaidi?
Hili ndio tatizo letu kubwa Watanzania. Hao wenye elimu ya "Chuo kikuu" walio madarakani wameifanyia nini TANZANIA na Watanzania!? Tuna kasumba za ajabu sana. Nani kakuambia kila kiongozi lazima awe na elimu ya Chuo kikuu?
Baadhi ya watu mashuhuri duniani waliofanikiwa kutuletea mafanikio na Maendeleo ni "College drop outs" ie: Bill Gates,Michael Dell and the likes.

Kwa taarifa yako watu wengi walio na elimu ya Chuo Kikuu hawana sifa ya Uongozi. Na mifano mingi tunaiona hapa Tanzania. Tuache kuwa na kasumba za kimasaburi.
 
Kuhusu Chris Lukosi:
Nimepotezana naye miaka mingi sana; nilisoma naye shule ya Msingi na sekondari ni wale wanaitwa ''genius'' alikuwa na uwezo wa ajabu sana darasani. Katika kusoma naye hakuwahi kupata alama chini ya 90 katika masomo yote. Tulikuwa tunamuita jina la nyumbani ''ngwembe'' huyo jamaa ni kichwa acha kabisa....ni sampuli ya akina Mnyika. Sijajua kama aliendelea na elimu ya juu mara ya mwisho nilisikia alikuwa akiishi Botswana kabla ya kuhamia UK. Kwa mafanikio yake nin ayoyasoma hapa na courage aliyo nayo ya kuhost CDM UK naaamini hata kama hana degree lakini ameelimika kuliko watanzani kibao wenye vyeti pasipo maarifa
 
Kelele zinazopigwa kwenye mitandao ya kijamii tangu Chadema izindue tawi lake London ni dalili tosha kwamba limekuwa ni pigo kubwa sana kwa ccm. Kwani wanachama wake walioko london ndio wameongoza haya mashambulizi.

Mimi nawapongeza sana watu walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha ufunguzi wa tawi hilo na ninawaombea kila la kheri katika harakati hizo kwani kwa kupitia kwao natambua kwamba Chadema itanufaika kwa kiasi kikubwa sana.

Sasa wale watoto wa mama wanaoendesha maisha huko london kwa kuunga unga wameamua kumshambulia chris lukosi kwa sababu ya kumuonea wivu wa kijinga kabisa. Chris anafanya shughuli zake kwa umakini na uadilifu hadi kampuni yao imeweza kuwa na mafanikio, na kwakuwa inaonekana watanzania wengi walioko huko london wanaishi kimagumashi na huenda walikuwa wanapitisha siku kwa msaada wa chris, sasa alipoamua kuvaa gwanda wameshikwa na kihoro ndipo sasa wameamua kuanza kumshambulia.

Big up kamanda Lema kwa kuipeleka MC4 jijini london, moto uliouwasha unazidi kuwaunguza magamba kila kona ya dunia.
 
Niseme wazi mimi sio shabiki wa CDM...nina kadi ya CCM na UVCCM

Chris Lukosi huyu ni kijana wa Mbeya sehemu za Isanga................wakati tunasoma shule ya msingi Isanga miaka ya 1980's vijana wa huko tulikuwa tunajiita...Isanga People's Party...............sijashangaa jamaa kujiunga na people's party.....huenda wengi watamfuata kutoka Isanga People's Party!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Msiojua mambo fuatilieni historia za watu kabla hamjaanza kubwabwaja hapa. Miaka hiyo hata ndoto ya vyama vingi Tanzania haikuwepo............; lakimni sisi tulikuwa na '' People's Party" hamuoni huyu jamaa anatimiza ''unabii'' fulani hivi.
 
Pale Thatched Bar kuna ukumbi wa kufanyia harusi? umewahi kufika? ni club ya pombe, wakenya wenyewe wenyewe hawafanyi mikutano yao pale.wanakuwa Dorchester hotel au wanakwenda Cumberland Hotel. pole sana

Soma vizuri post yangu, sijaongelea pub au ukumbi mmoja specifically. Nilichosema ni tradition ya watu kutumia kumbi za pub kwa tafrija mbalimbali including harusi. Naona jibu lako liko confined kwenye specif venues, kumbuka watanzania na watu wa UK hawakai London peke yake. Jaribu kutembea kidogo, na pia jichanganye na locala ndio utajua exactly how 'primitive' madai ya pub vs mkutano yalivyo!.

Na hiyo Dorchester hotel inayoongelea ni ipi, karibu na Park Lane, London? Kama ndivyo vipi watu wanaoishi Glasgow, au Truro?
 
naomba Cv ya mwenyekiti usikimbie swali.

CV Ya nini? inamaana wale ambao hawajaenda shule hawana haki ya kuongoza? mbona unakurupuka CV, CV umeambiwa uenyekiti wa chama ni professional duty? au hata hauelewi ni kazi zipi zinahitaji proper academic and professional qualifications?
 
naomba Cv ya mwenyekiti usikimbie swali.

baba tatizo ni kwamba hujaishi tanzania na hujui mila ya makabila ya huku, kwa kabila la wachaga mtoto akizaliwa tu anapigwa chang'aa aina ya mbege. sasa huwa wanaonekana hivyohivyo waga ni kama walevi na ndiyo maana mwalimu kwa kutumia hoja hiyo hiyo kama ya kwako aliona hawatakaa wakatawala hii nchi na bongo huku 2ko makini sana na maneno ya wahenga. mm ni mtani wao bhana usibebe hilo but the fact is mtawala hashindii bar na walevi wengi husahau hata familia zao sasa vipi kuhusu taifa situtauzwa.
 
1.Hakusoma Uingereza na inawezekana ni moja ya vigezo vya kumchagua
2.Amechaguliwa kwa sababu anakaa gheto.
3.Hivi baa ni sehemu ya aibu? Kwa nini?
4. Hivi TANU haikuanzia baa?
 
Kuhusu Chris Lukosi:
Nimepotezana naye miaka mingi sana; nilisoma naye shule ya Msingi na sekondari ni wale wanaitwa ''genius'' alikuwa na uwezo wa ajabu sana darasani. Katika kusoma naye hakuwahi kupata alama chini ya 90 katika masomo yote. Tulikuwa tunamuita jina la nyumbani ''ngwembe'' huyo jamaa ni kichwa acha kabisa....ni sampuli ya akina Mnyika. Sijajua kama aliendelea na elimu ya juu mara ya mwisho nilisikia alikuwa akiishi Botswana kabla ya kuhamia UK. Kwa mafanikio yake nin ayoyasoma hapa na courage aliyo nayo ya kuhost CDM UK naaamini hata kama hana degree lakini ameelimika kuliko watanzani kibao wenye vyeti pasipo maarifa
Be specific unaposema wenye vyeti pasipo maarifa, unamaanisha akiwamo pia Mheshimiwa DR nani?
 
Ndugu zetu wa chadema tunaomba Cv za mwenyekiti wenu wa ulaya naona kama mnapata kigugumizi.Mwenyekiti wa chadema Taifa hana elimu nzuri hana hata Diploma na Mwenyekiti wa Ulaya bwana Lokosi ana elimu gani,Mwenyekiti wa Taifa bwana MBOWE tunaweza kusema kuwa hakuishi Ulaya. huyu chris ana elimu ipi? nataka kujiunga chadema kama nitashawishika na uwezo wa chris Lukosi


mimi nipo tayari kukupa cv yake ila naomba ukafenye research juu ya elimu ya mbowe kama kweli hana hata hiyo diploma au anayo then uje urekebishe uongo wako hapa,usipende sana kuandika habari kama huna hata uhakika nayo jukwaa la siasa lina heshima yake ndugu yangu
 
kwanza kabisa janga linalosumbua taifa kuliko majanga yote ni ukoloni mambo leo na ndilo suala lililomfanya malecela aliie mpaka leo matatizo ya watanzania yatatatuliwa na watanzaania wenyewe na siyo watanzania wanaolipa ko di nchi za kigeni wala makaburu kwa kuwa chama kimefata wakoloni ulaya waje watunyonye sisi basi washaumia mi nafikiri 2015 kijani mwendo mdundo nyekundu kwanza inatisha waende wakapigane ulaya.
kuhusu Cv viiongozi wa magengeni hawaitaji Cv hivyo hata mwenyekiti wa chama chao mwenyewe haitaji Cv.
kwa kuwa upo nje nakuhabarisha kuwa viongozi wao walifanya mauwaji mwezi uliopita singida na kesi iko mahakamani, na wakishindwa kesi chama kimeanguka. kwani bado una hamu na hicho chama?
 
CHRIS LUKOSI
AMESOMA KULIKO LUKUVI
AMESOMA KULIKO WASSIRA
AMESOMA KULIKO RIDHIWAN
AMESOMA KULIKO NAPE
AMESOMA KULIKO WENGI SANA VIONGOZI WA CCM
NA MWISHO KABISA NI MKURUGENZI MTENDAJI WA SERENGETI FREIGHT NA LUKOSI GLOBAL ZOTE ZA UK NA NI KAMPUNI KUBWA SANA
Chris lukosi success is a self made. jamaa ni kichwa na kila mtanzania aishie UK namjua kwa hilo
 
Nimefurahi kusikia wanaCHADEMA wa U.K ni watu wa gheto,yani hawana pesa hata za kukodisha ukumbi kwa ajili ya shughuli kama hiyo.CHADEMA ni chama kilicholetwa na MUNGU kwa ajili ya watu kama hao.sio chama cha mafisadi wenye pesa chafu za kufanyia mkutano kwenye kumbi za kifahari.hakuna mshikamano thabiti duniani kama mshikamano wa wanyonge!!
Huyo aliyesema Chris Lukosi ni wa gheto aende google agoogle jina la CHRIS LUKOSI atapata full profile jamaa ni kichwa na hilo linajulikana.
 
Back
Top Bottom