Chris Lukosi wa CHADEMA VS Suzan Mzee wa CCM...

Fungua katiba ya CHADEMA sura ya saba 7.2.1, utagundua kuwa hayo yanayofunguliwa nje ya nchi ni magenge ya washabiki siyo matawi ya chama.

Hii inasema hivi:

7.1.2 Ngazi ya Msingi itaundwa kuzingatia masharti yaliyowekwa katika kanuni zilizotungwa
na Baraza Kuu la Chama.

Sasa mkuu unasema kwamba, nakunukuu- "utagundua kuwa hayo yanayofunguliwa nje ya nchi ni magenge ya washabiki siyo matawi ya chama."- mwisho wa kunukuu.

Mheshimiwa Lema amekwenda London akiiwakilisha CHADEMA taifa katika hafla ya uzinduzi wa tawi la chama hicho na masharti yoote yamefuatwa.

Hii ndio ngazi ya msingi kabisa kabla ya kwenda hatua ingine ya kuingia pale Tanzania. Na utaratibu alioufanya ndio huouhuo utaratibu ambao CCM imetumia kwenda London na kufungua matawi kadhaa.

Sasa sifahamu umetafsiri vipi kifungu hiki.
 
Mkuu, kifungu ulichonukuu na kifungu nilichokupa ni tofauti. Hayo ni matawi, soma kifungu kinachohusu matawi 7.2.1.
 
Kuna mantiki gani kwenye hilo la kuwapambanisha hao wawili?mmoja kiongozi wa chadema london na mwingine mshauri wa waziri mkuu mambo ya diaspora, maskani Dar es salam.
 
kama Mnasema chris Lukosi ni mtu makini angejifunza kwa wa NIGERIA au WAKENYA juzi walikuwa mkutano wamefanya Holidays INN ya Holborn,UKumbi wa Thatched Ni bar ya wakenya kwanini wao mkutano wao wameupeleka Zone one? Thatched Bar haina ukumbi ni Bar ya kuuza pombe haina hana vyumba vitatu.
ziko Hotel Nyingi zina facilities za mikutano sio Bar kama hiyo ya Thatched.angeuliza Marriot Hotel au Thistle hotel na kumbi zao ni pound mia hadi mia mbili. kuishi kwake nje hakujamsaidia kitu.hata mimi wa Tandale ningeandaa vizuri.
 
Kuna watu wamesoma lakini hawajaelimika, wapo wengi sana ndani na nje ya vyama vya siasa. Kitu muhimu ni uelewa wa maisha na jinsi ya kuyakabili. Chriss Lukosi pamoja na kwamba sijui elimu yake lakini ni mtu mwenye upeo mkubwa sana kimaisha. Ni mmoja kati ya vijana wachache sana wa kitanzania waliofanikiwa kimaisha London. Ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni (Serengeti Freight Forwarders) aka wazee wa kazi. Kampuni ambayo inasifika kwa kazi ya kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali duniani. Ameweza kutoa ajira kwa vijana wa kitanzania kwenye biashara zake London, na sasa ameamua kutumia uzoefu wake kukijenga na kukiimarisha Chadema London. Wewe unayedai CV ya Chriss Lukosi weka CV yako kwanza ama tuambie umefanya kipi katika maisha yako cha kujisaidia wewe mwenyewe.
Atakuambia yeye Ni mtoto wa kigogo
 
Mkuu, kifungu ulichonukuu na kifungu nilichokupa ni tofauti. Hayo ni matawi, soma kifungu kinachohusu matawi 7.2.1.

Kifungu 7.2.1

7.2 Ngazi ya Tawi
7.2.1 Tawi litaundwa katika kila eneo la kijiji, mtaa au Shehiya ya kiutawala katika mamlaka​
za serikali za Mitaa.

Mbona ni sawa tu mkuu bado haijakupa haki ya kuliiita hili ni genge.
 
Kwa nchi za wenzetu kufanyia shughuli kama hii ya CHADEMA kwenye pub si kitu kigeni kabisa. Sana sana ninachoona hapa ni ushamba lakini pia kuna tatizo la baadhi ya watanzania wanaokaa nje ya nchi lakini hawajichangi na kujifunza toka kwa jamii zingine. Matokeo yake wanaendeleza majungu yasiyo na tija. Watu wanafanyia tafrija nyingi tu including harusi kwenye pub huko nje, sasa kelele za nini kama sio ushamba? Au mtu akitumia ukumbi wa pub akili zinamruka? Kuna pub ambazo zina kumbi-eneo la kutosha kwa tafrija na shughuli mbalimbali. Kama mtu haujui aulize badala ya kuanika ignorance!
Pale Thatched Bar kuna ukumbi wa kufanyia harusi? umewahi kufika? ni club ya pombe, wakenya wenyewe wenyewe hawafanyi mikutano yao pale.wanakuwa Dorchester hotel au wanakwenda Cumberland Hotel. pole sana
 
kama Mnasema chris Lukosi ni mtu makini angejifunza kwa wa NIGERIA au WAKENYA juzi walikuwa mkutano wamefanya Holidays INN ya Holborn,UKumbi wa Thatched Ni bar ya wakenya kwanini wao mkutano wao wameupeleka Zone one? Thatched Bar haina ukumbi ni Bar ya kuuza pombe haina hana vyumba vitatu.
ziko Hotel Nyingi zina facilities za mikutano sio Bar kama hiyo ya Thatched.angeuliza Marriot Hotel au Thistle hotel na kumbi zao ni pound mia hadi mia mbili. kuishi kwake nje hakujamsaidia kitu.hata mimi wa Tandale ningeandaa vizuri.

Mkuu,

Sasa hizi data zote unapataje na wewe upo Tandale?
 
kama Mnasema chris Lukosi ni mtu makini angejifunza kwa wa NIGERIA au WAKENYA juzi walikuwa mkutano wamefanya Holidays INN ya Holborn,UKumbi wa Thatched Ni bar ya wakenya kwanini wao mkutano wao wameupeleka Zone one? Thatched Bar haina ukumbi ni Bar ya kuuza pombe haina hana vyumba vitatu.
ziko Hotel Nyingi zina facilities za mikutano sio Bar kama hiyo ya Thatched.angeuliza Marriot Hotel au Thistle hotel na kumbi zao ni pound mia hadi mia mbili. kuishi kwake nje hakujamsaidia kitu.hata mimi wa Tandale ningeandaa vizuri.

kama unaipenda cdm njoo changia live salio mbele ya tv 2kuone..ama uje ktk maandamano front.usitafute umaarufu kupitia migongo ya wanaume waliopata umaarufu kwa tabu za watawala (Lema) ...huna jipya
 
Nadhani Chris kadandia tu train kwa mbele according to siasa za UK opponents walishajua CDM inampango wa mashambulizi lakini hawakutegema dhaifu na iliyokuwa na mikakati ya hovyo namna hile. Wapo wasomi wa kweli na CDM damu akina Dr. L***n*e, ambao watu walijua wapo na wana nia ya kukileta chama ipasavyo kwa kweli imewashangaza wapinzani wengi jinsi CDM ilivyoji- introduce venue, time not to mention a majority of the audience.

Kuhusu CCM the word is Suzan Mzee keshaula (kwa mujibu wa CCM members) sasa hivi ni mshauri masaidizi wa waziri mkuu kuhusu mambo ya Diaspora na makazi yapo dar-es-salaam, utata sasa ni kumn'goa mwenyekiti kwa madai anakiua chama kwa maslahi binafsi.

By the way tatizo letu watu tunaoishi afrika tunadhani kule ni kama huku watanzania ugenini hawana luxury ya kujiona kwamisingi ya dini ingawa kila mtu anaijua ya kwake kwa sababu wapo ugenini na ukimsikia mtu wa nyumbani ina kuweka at ease. Kwa hiyo kuna kueshimiana na kuelewana kwa hiyo it was common sense mkutano bar wakati wengine wapo kwenye saumu was bound not to attract many especially sehemu yenyewe imejaa waislamu, huyo Chris mwenyewe genge lake la karibu mostly ni waisalmu he should have known better.

Zinja hivi ni nani alishauri Lukosi kabla kuhusu ukumbi akakataliwa...tusiuchukulie Uislam kama kichaka..ndo tuseme Waislam huko Uk hawana uvumilivu hata kidogo..wacheni kuchezea dini..
 
Pale Thatched Bar kuna ukumbi wa kufanyia harusi? umewahi kufika? ni club ya pombe, wakenya wenyewe wenyewe hawafanyi mikutano yao pale.wanakuwa Dorchester hotel au wanakwenda Cumberland Hotel. pole sana

Wewe unataka tu tujue umefika/uko london..je umeikagua hiyo hotel kama haina haram nyingine...na unasemaje kama mngehudumiwa na mtu wa ndoa ya jinsia moja hapo hotel..
 
Zinja hivi ni nani alishauri Lukosi kabla kuhusu ukumbi akakataliwa...tusiuchukulie Uislam kama kichaka..ndo tuseme Waislam huko Uk hawana uvumilivu hata kidogo..wacheni kuchezea dini..
Kwa kweli sijui kama alishirikiana na watu wowote kwenye maamuzi yake na mimi wala sihusiki na habari za siasa na nipo africa for good.

Pengine kapendekeza hapo kwakuwa ni kichaka chao baada ya kazi na kwa kawaida watanzania wengi wa mitaa hiyo hupita tangia 'Abuu' afunge ya kwake (muislamu mwingine aliyekuwa na pub imemshinda) hapo thatched watanzania wa dini zote hupitia.

Unaweza sema labda yeye kwa kuwa sio muumini wa ki-islam (as far as i'm concerned) na maisha yao kule hata mfungo unaweza usiujue kama sio muislam na ukizingitia miaka aliyokaa yeye huko labda hakujua athari na jinsi wengine watakavyo translate kuweka mkutano thatched house, that is my take it doesn't mean sh*t; i am just trying to make sense of the situation kwa sababu 'Chris Lukosi' is better than that not the other one yule mmpambe tu.
 
Kaazi kweli kweli.
Kama huu mkutano ungefanyika kwenye bar ya ABOU QUISER MADEVU ambayo ni mita chache tu kutoka thatch wangekaa kimya. mbona wakati bar ya abou inafanya kazi tulikuwa tunaona kanzu nyingi tu Bar.
Na huo msikiti mnaosema wapemba wamenunua mbona ni Bar hata maandishi ya beer garde bado hayajafutwa? Tusiwe wadini jamani hata kama CHRIS alikosea inabidi mumkosoe kwa kumuelimisha sio kupandikiza chuki
 
Chris Lukosi anajua kila kitu kwa sababu bosi wake ni Mpemba muislam ndiye mwenye Serengeti Freight, yeye Chris ni Kimbelembele tu, matajiri wa kipemba huwa hawapendi mambo ya publicity kama alivyo Said Bakhressa au hata Abromovich wa Chelsea hawapendi show off nyingi.Chris anajua kuwa ni Mwezi wa Ramadhani. lakini kama kweli nyinyi mnaipenda chadema kwani hamuwezi kufanya Vetting kuwa mna deal na mtu wa namna gani? CHRIS Lukosi ana mdomo mchafu anajulikana na wana Uk wengi, ni mtu limbukeni sana ingawa Wazanzibar wamemsaidia sana kimaisha hawezi kupinga hilo.
 
Wako watu wengi wameamua kuwadhihaki watanzania wenzi wao toka kisiwani na kumtukuza Chris lukosi mwenyekiti wa chadema aliyepewa uenyekiti dakika chache na kuwa mwenyekiti bila kujua katiba ya chama anachokiongoza.
Chris Lukosi anaripoti kwa kijana makini wa kizanzibar ndiye mwenye serengeti Freight, yeye ni kibarua tu, mnaowachukia wazanzibar mlijue hilo na yeye aje abishe nimpe ushahidi.
 
Kaazi kweli kweli.
Kama huu mkutano ungefanyika kwenye bar ya ABOU QUISER MADEVU ambayo ni mita chache tu kutoka thatch wangekaa kimya. mbona wakati bar ya abou inafanya kazi tulikuwa tunaona kanzu nyingi tu Bar.
Na huo msikiti mnaosema wapemba wamenunua mbona ni Bar hata maandishi ya beer garde bado hayajafutwa? Tusiwe wadini jamani hata kama CHRIS alikosea inabidi mumkosoe kwa kumuelimisha sio kupandikiza chuki
sasa wakati unaona hizo kazi 'PIT STOP' ulikuwa mwezi wa ramadan au? bwana we jamaa kakosea kama alipitiwa au alinuia kufanya hivyo ni yeye mwenyewe ndio ajuae as far as I am concerned its no longer an issue that has anything to do with my daily struggles. Endeleeni wenyewe kujibizana if it matters for me its a dead end.
 
Chris Lukosi anajua kila kitu kwa sababu bosi wake ni Mpemba muislam ndiye mwenye Serengeti Freight, yeye Chris ni Kimbelembele tu, matajiri wa kipemba huwa hawapendi mambo ya publicity kama alivyo Said Bakhressa au hata Abromovich wa Chelsea hawapendi show off nyingi.Chris anajua kuwa ni Mwezi wa Ramadhani. lakini kama kweli nyinyi mnaipenda chadema kwani hamuwezi kufanya Vetting kuwa mna deal na mtu wa namna gani? CHRIS Lukosi ana mdomo mchafu anajulikana na wana Uk wengi, ni mtu limbukeni sana ingawa Wazanzibar wamemsaidia sana kimaisha hawezi kupinga hilo.
We nawe kama una personals na huyo bwana mnaweza kuzitafutia mahala, kosoa jinsi mkutano ulivyokukera hayo ya mdomo wake mchafu unajua pa kumpata apparently kwa maandishi yako. Bosi wake awe mpemba, mzenji au mmbara hayanihusu. Only thing I know mkutano haukuzingatia mwezi kutokana na mahala ulipoandaliwa mengine do not concern me.

siku njema.
 
Chaadema jana wameanza tawi lao la kihistoria hapa Uk kwa kufanya shughuli yao Bar chini ya uratibu wa mwenyekiti wao bwana chris Lukosi wa serengeti Freight. ni jambo la aiabu sana kwa Chama ambacho kinasema kinataka kuchukua madaraka na kwenye mji mkubwa kama London waende kufanya shughuli hiyo Pub.achilia mbali malalamiko ya ndugu zetu waislam waliosema kuwa muda wao wa kufuturu ndio ulikuwa muda wa uzinduzi wa tawi la chadema uingereza.

pili eneo la bar kwao lilikuwa ni jambo zito.lakini wapo wakristu na hata wasio na dini ambao hawapendi kwenda Bar.kwa akili ya haraka haraka tunapata picha kuwa chadema uingereza ni kundi la walevi ndio maana wakaamua kuwa na shughuli yao Bar tena ya eneo la uswahilini kama ni Tanzania basi kule Tandale kwa mtogole au Mbagala.wangeweza kwenda hotel katikati ya london ambazo zina kumbi za mikutano na bei yake ni ndogo sana.

naomba wana chadema
mtuambie kuwa chris ana Elimu gani amesoma chuo kikuu gani hapa UK, tunajua hapa Uk ni kisiwa cha elimu.ukitizama picha za watendaji wa chadema UK wengi wao wana sura za kilevi na watu waliokata tamaa za maisha hapa UK,wameshindwa kuingia kwenye main stream society ya uk wanaishi maisha ya kighetto. naamini Chadema waemshafeli kwa kumchukua Chris Lukosi ambaye upeo wake ni mdogo na hana tofauti na Susan mzee wa Ccm lakini pamoja na maskendo yake susan mzee bado yuko juuu kidogo ukimfananisha na mwenyekiti wa Chadema Chris lukosi.
mwenye CV za hawa watu wawili atuletee tuona nani zaidi?
Hapo CCMABWEPANDE yamevutwa KORO- DANI yanaweweseka yanaumia hayoo!! wivu utawaua sasa hoja hafifu kama dhaifu wenu anayewatuma kujenga sera za KUWAMABWEPANDE wapinzani. Hamna lolote +us-huzi + sura unaogopa gamba linalonuka rushwa!!
 
Taaluma yako haikusaidii na haitakusaidia, Uongozi mpaka uwe na taaluma ya diploma au dgree? Jacob Zuma anataaluma gani gani?, yule mbunge wa ccm mweny kumiliki hotel kubwa mwanza mnayofanyiaga mikutano yenu ya siri anataaluma gani? Vip speaker makinda anadree y nini? amka kijana. Mbona Lema hana taaluma na bado anawaendesha kule arusha, mmeshindwa kujibu waraka wake mpaka sasa, It is the tyme for revolution, if it needs....be.
 
Back
Top Bottom