Chopa ya JWTZ yaanguka na Kuua..

..............sasa assume hiyo yetu ingekuwa imembeba MUHASHIMIWA RAIS INGAKUWAJI...sometimes hukatumia..

lazima utafiti ufqanywe..tupewe helicopter mpya 6....waliokufa wafidiwe..na maafisa waliozidhibitisha WAFUNGWE!!!!

Natamani ingekuwa imembeba rais.
 
Kwa maana halisi ya musiba, tunawapa pole familia zote za marehemu, Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. kwa maana ya ndege 2 kuanguka kwa kipindi kisicho tofautiana sana naomba mtusaidie tusiojua ili tuchangie hoja kwa uwazi zaidi, Helicopter hizo zote zililetwa na mtu mmoja au lah?
 
Mabaki ya chopa haya hapa.
116182.jpg
 
Naomba niulize: watoto walikuwa wanafanya nini katika helikopta ya kijeshi?
 
Naomba niulize: watoto walikuwa wanafanya nini katika helikopta ya kijeshi?

Na hata wale watu wazima waliopewa lifti nao ni ishu.

Najua Tanzania sio Marekani lakini Marekani polisi hawezi kumpa mke wake lifti kwenye Cruiser la polisi. Inabidi tujifunze hilo.

Hicho kitu ulicho uliza huwezi kukiona kinajadiliwa katika media ya Bongo.
 
Kuna certain places ata kupatrol eneo ambalo mkewe anafanya kazi au anapita haruhusiwi...nimesoma juzi(jumapili kwenye gazeti)...

Hizi ndio zile Helicopter za Augusta Bell?
 
Jamani mbona Prince William alitua chopa yake kwa shemeji yetu...? Nakumbuka wengine tulikuwa "tunadandia" sana hizi ndege za jeshi hasa za mizigo. Kuna moja waliweka na mabenchi ka' ya shule ya vidudu..
 
Ili mradi tu useme "ndugu ya Msuguri au Kyaro"! Umenikumbusha mbali sana maana hata wenzetu Wahindi nao walisema " dugu ya suguli".
 
Back
Top Bottom