Ni nzuri sana hii but kumbuka kiwango cha maisha ya mtu wa kawaida uchina ni usd 3500 hivi kwa mwaka na ukilinganisha na japan ni usd 40000 na Marekani ni 46000 so bado wanapaswa kuweka nguvu kwa kuinua maisha ya common mwananchi!
Source ya data zako mkuu!
Ni nzuri sana hii but kumbuka kiwango cha maisha ya mtu wa kawaida uchina ni usd 3500 hivi kwa mwaka na ukilinganisha na japan ni usd 40000 na Marekani ni 46000 so bado wanapaswa kuweka nguvu kwa kuinua maisha ya common mwananchi!
lakini ilikuwa wazi kuwa the west has become too old to compete against the eastern highly cherishing enthusiasm for growth and prosperity
jamani wachina wanapaa. wameipiku japani na kushika nafasi ya pili kwa uchumi Duniani. Uchumi wao unakadiriwa kuwa na thamani ya trilion 5.85$ wakati wa japani ni trilion 5.4$. Wajapani wamekaridiria kuwa huenda China ikaipik?u marekani na kushika nafasi ya kwanza ndani ya miaka 15 ijayo iwapo ukuaji wa uchumi wao utakwenda kwa double digits.
Source. BBC today.
Tanzania tutaondoka lini kwenye nchi fukara za kutupwa duniani
Wamagharibi waliendela kwasababu ya kunyonya mataifa mengine. Mfano Uingereza ilipoteza usupa pawa wake baada ya harakati za ukumbozi za makoloni yake kushika hatamu. Sasa China hawana haja ya kutafuta makoloni wao wana watu tele.
Pia kwasababu ya unyonyaji wa resources walizoea kuishi kwa ufujaji has Marekani ambapo matumizi ya nishati ni makubwa mno. Kuanzia magari yao na hata vitu vya ndani. Yaani mamashine yao makubwa kubwa tuu.
Zamani mambo yalikuwa poa kwasababu ni wao tuu waliokuwa wanatumiaji (mfano mafuta) sikuhizi watumiaji wa resources wameongezeka (Asia na Afrika) na kwasababu walizoea ufujaji inakuwa vigumu kukubali hali halisi.
Ni kweli kama ulivyosema Judith "the west has become too old to compete" sana sana wataongelea mambo ya siasa tuu (human rights).
Huwezi amini sasa hivi ni rahisi kununua steel bar kutoka China kuliko kutengeneza marekani. Kumbuka huko nyuma (kabla ya 1930s) Marekani ilisifika kwa utengenezaji wa steel. Watu walitajirika sana kwenye hii sekta mfano Andrew carnegie alikuwa tajiru wakwanza kwasabau ya steel. Sasa gharama za uzaliashaji ni za juu mno kwahiyo wanabaki kuwa wanunuzi tuu.
Mkuu advantage moja ambayo anayo China na Asia ambayo America au Europe hawawezi kumfikia ni Labor Cost
Hivi unajua kumuajiri mtu mmoja Europe au America unaweza ukawaajiri watu kama kumi China..., Kwahiyo hiyo inasaidia sana kufanya bidhaa zao ziwe Cheap, hata America and Europe inakuwa cheaper kupeleka bidhaa zao zikatengenezewe China.
Pia wachina wajanja kwa muda mrefu wamekuwa wanacheza na Currency yao yaani always inakuwa cheaper.., kwahiyo ni rahisi kununua China (because pesa yao sio expensive sana) kuliko kitu ukinunua nchi kama US au UK
Na huu ndio mwanzo ni kwamba in the long run Asia will take over its just a matter of time..., The same ingefanyika Africa kama tungekuwa na Akili za kutafuta kuliko kuoneana wivu na kujigawa kwa matabaka ambayo hayana msingi
Siyo rahisi kihivyo unafikiri wakizuia bidhaa za China watu wataweza kununua bidhaa Warl mart kwa gharama nafuu?Lakini akija mtu kama Romney basi itakuwa story nyingine.
Kachimbe/google madhara ya export economy.
Jamani mnyoke mnyongeni lakini haki yake mpeni... China ina watu wengi sana sirahisi watu wote wawe na kipato nzuri. Kwani unafikiri kama China ingekuwana watu kama mil 400 unafikiri GPD per capita ingekuwa inacheza hapo ilipo sasa? Kumbuka hawa jamaa wameanza reform miaka ya themanini kwahiyo mabadiliko yao ni makubwa sana tofauti na Japan ambao wao walianza miaka ya hamsini.MKUMBUKE,china standard of living ni a 5th of the USA,this is where japan was in 1950,a high investment economy with low level consumption is a requisite of low standard of living- on this showing it will be some time untill we start scambling for chinese passports
Siyo rahisi kihivyo unafikiri wakizuia bidhaa za China watu wataweza kununua bidhaa Warl mart kwa gharama nafuu?
Hivi unafikiri kwanini wachina wana restrictions kuingia Hong kong?Jamani mnyoke mnyongeni lakini haki yake mpeni... China ina watu wengi sana sirahisi watu wote wawe na kipato nzuri. Kwani unafikiri kama China ingekuwana watu kama mil 400 unafikiri GPD per capita ingekuwa inacheza hapo ilipo sasa? Kumbuka hawa jamaa wameanza reform miaka ya themanini kwahiyo mabadiliko yao ni makubwa sana tofauti na Japan ambao wao walianza miaka ya hamsini.
Bei zitapanda sikatai, lakini ajira itaongezeka including wages!
Tutahamia Target na kwengineko
Ni nani atakaye walipa hizo pesa? Natumaini unaelewa kuwa
kama walmart wataongeza hata dolari tatu tuu kwenye wages
basi Walton family lazima wafunge stores zao kwasababu
hawatapata faida. Sam mwenyewe alikataa mambo ya union
wewe unafikiria ni kwanini? Kwasababu union ingeleta mambo
ya nyongeza za mishahara ambapo ingempunguzia faida.
Sio wengi wenye uwezo wa kununua bidhaa Target vitu vyao
vina gharama zaidi ya Walmart, labda kama unamaanisha Aldi.
Kabla kulikuwa na Ma and Pa stores . Uchumi ulikuwa mzuri, mafuta yalikuwa teleKabla ya Walmart situation ilikuwaje?
Siyo ishu kabisa mkuu...So sioni kama kuwepo ama kutokuwepo kwa Walmart ni big deal