China yashika nafasi ya pili kiuchumi baada ya kuipiku japani

Ni nzuri sana hii but kumbuka kiwango cha maisha ya mtu wa kawaida uchina ni usd 3500 hivi kwa mwaka na ukilinganisha na japan ni usd 40000 na Marekani ni 46000 so bado wanapaswa kuweka nguvu kwa kuinua maisha ya common mwananchi!
 
Source ya data zako mkuu!
 
Ni nzuri sana hii but kumbuka kiwango cha maisha ya mtu wa kawaida uchina ni usd 3500 hivi kwa mwaka na ukilinganisha na japan ni usd 40000 na Marekani ni 46000 so bado wanapaswa kuweka nguvu kwa kuinua maisha ya common mwananchi!

Hivi Tanzania US $500 (World Bank, 2009) tunainuaje maisha ya common mwananchi?
Halafu for comparison purposes, hebu fikiria nchi yetu kwa pato lake la sasa, ingekuwa na idadi ya watu kama Japan au Marekani au China, per capita yetu ingekuwa chini ya dola 110. Really pathetic. Kweli sisi wachovu. Jamani tujitahidi tujenge nchi!
 
lakini ilikuwa wazi kuwa the west has become too old to compete against the eastern highly cherishing enthusiasm for growth and prosperity

Wamagharibi waliendela kwasababu ya kunyonya mataifa mengine. Mfano Uingereza ilipoteza usupa pawa wake baada ya harakati za ukumbozi za makoloni yake kushika hatamu. Sasa China hawana haja ya kutafuta makoloni wao wana watu tele.

Pia kwasababu ya unyonyaji wa resources walizoea kuishi kwa ufujaji has Marekani ambapo matumizi ya nishati ni makubwa mno. Kuanzia magari yao na hata vitu vya ndani. Yaani mamashine yao makubwa kubwa tuu.

Zamani mambo yalikuwa poa kwasababu ni wao tuu waliokuwa wanatumiaji (mfano mafuta) sikuhizi watumiaji wa resources wameongezeka (Asia na Afrika) na kwasababu walizoea ufujaji inakuwa vigumu kukubali hali halisi.

Ni kweli kama ulivyosema Judith "the west has become too old to compete" sana sana wataongelea mambo ya siasa tuu (human rights).

Huwezi amini sasa hivi ni rahisi kununua steel bar kutoka China kuliko kutengeneza marekani. Kumbuka huko nyuma (kabla ya 1930s) Marekani ilisifika kwa utengenezaji wa steel. Watu walitajirika sana kwenye hii sekta mfano Andrew carnegie alikuwa tajiru wakwanza kwasabau ya steel. Sasa gharama za uzaliashaji ni za juu mno kwahiyo wanabaki kuwa wanunuzi tuu.
 
jamani wachina wanapaa. wameipiku japani na kushika nafasi ya pili kwa uchumi Duniani. Uchumi wao unakadiriwa kuwa na thamani ya trilion 5.85$ wakati wa japani ni trilion 5.4$. Wajapani wamekaridiria kuwa huenda China ikaipik?u marekani na kushika nafasi ya kwanza ndani ya miaka 15 ijayo iwapo ukuaji wa uchumi wao utakwenda kwa double digits.

Source. BBC today.

Tanzania tutaondoka lini kwenye nchi fukara za kutupwa duniani

Tunakadiria miaka kumi na tano ijayo tajiri mkubwa kabisa duniani atakuwa ni mmoja wa mafisadi wanaolindwa na wanasiasa Tanzania. Watawapiku tycoons woote wa dunia hii mambo yakiendelea hivi yanavyokwenda maana jamaa wanaiba kwa double digit pia.
 
Wamagharibi waliendela kwasababu ya kunyonya mataifa mengine. Mfano Uingereza ilipoteza usupa pawa wake baada ya harakati za ukumbozi za makoloni yake kushika hatamu. Sasa China hawana haja ya kutafuta makoloni wao wana watu tele.

Pia kwasababu ya unyonyaji wa resources walizoea kuishi kwa ufujaji has Marekani ambapo matumizi ya nishati ni makubwa mno. Kuanzia magari yao na hata vitu vya ndani. Yaani mamashine yao makubwa kubwa tuu.

Zamani mambo yalikuwa poa kwasababu ni wao tuu waliokuwa wanatumiaji (mfano mafuta) sikuhizi watumiaji wa resources wameongezeka (Asia na Afrika) na kwasababu walizoea ufujaji inakuwa vigumu kukubali hali halisi.

Ni kweli kama ulivyosema Judith "the west has become too old to compete" sana sana wataongelea mambo ya siasa tuu (human rights).

Huwezi amini sasa hivi ni rahisi kununua steel bar kutoka China kuliko kutengeneza marekani. Kumbuka huko nyuma (kabla ya 1930s) Marekani ilisifika kwa utengenezaji wa steel. Watu walitajirika sana kwenye hii sekta mfano Andrew carnegie alikuwa tajiru wakwanza kwasabau ya steel. Sasa gharama za uzaliashaji ni za juu mno kwahiyo wanabaki kuwa wanunuzi tuu.

Kumbuka China is an export economy, na soko lake kuu ni US. Akiingia rais ambaye ni ultra conservative na akaamua kuweka proposed 20% tariff on all Chinese imports in the US na awabane wasimanipulate currency yao (Yuan), basi uchumi wa China utakufa kifo cha mende , na wanalijua hilo.Ndio maana wanaomba Obama arudi. Lakini akija mtu kama Romney basi itakuwa story nyingine.
Kachimbe/google madhara ya export economy.
Kwa hoja yako kuwa West waliendelea kutokana na kunyonya wengine, it's a fair game sababu angalia China inavyoifilisi na kuinyonya Africa kutokana na uongozi wa serikali mbovu barani Africa.
 
Mkuu advantage moja ambayo anayo China na Asia ambayo America au Europe hawawezi kumfikia ni Labor Cost
Hivi unajua kumuajiri mtu mmoja Europe au America unaweza ukawaajiri watu kama kumi China..., Kwahiyo hiyo inasaidia sana kufanya bidhaa zao ziwe Cheap, hata America and Europe inakuwa cheaper kupeleka bidhaa zao zikatengenezewe China.

Pia wachina wajanja kwa muda mrefu wamekuwa wanacheza na Currency yao yaani always inakuwa cheaper.., kwahiyo ni rahisi kununua China (because pesa yao sio expensive sana) kuliko kitu ukinunua nchi kama US au UK

Na huu ndio mwanzo ni kwamba in the long run Asia will take over its just a matter of time..., The same ingefanyika Africa kama tungekuwa na Akili za kutafuta kuliko kuoneana wivu na kujigawa kwa matabaka ambayo hayana msingi

Mkuu, uchumi wa china unakuwa hilo sikatai ila per capita income yao ni ndogo ukilinganisha hata na nchi kama Luxambourg, japo per capita income sio kipimo kizuri kujua hali za maisha ya watu coz mara nyingi matumizi ya watu ni tofauti sana, but china maisha ya watu bado hayajawa bora maana mikono inayo claim share kwenye national cake ni mingi sana!
Na hata hivyo kuwa na GDP kubwa haimaanishi wewe ndio unauchumi imara kama distribution haitakuwa EVEN,,, na huu mtindo wa china wa kudevaluate currency yao utawatokea puani coz ni aina fulani ya protectionism na sometime inasababisha hata wananchi kutokuwa na uwezo wa kununua vitu nje na mbaya zaidi kama hivyo vitu vitakuwa muhimu(inelastic goods).
Ila sio mbaya coz wanapigana kiliko TZ tuliolala fofofo!
 
MKUMBUKE,china standard of living ni a 5th of the USA,this is where japan was in 1950,a high investment economy with low level consumption is a requisite of low standard of living- on this showing it will be some time untill we start scambling for chinese passports
 
Hizo habari ukimuuliza mchina wa kawaida anakushangaa sana maana ni uchumi wao unategemea export na siyo domestic consumption.
Wengi wao purchasing power yao bado ni ndogo sana maana mishahara yao ni ya chini sana. Wanaofaidi ni watu wa mijini kama huko Shanghai, Beijing etc. lakini majority bado wako kwenye lindi la umaskini especially maeneo ya vijijini ambao ndiyo wengi (zaidi ya 800,000,000)
 
Yote poa tukubali kuwa Uchina inasonga mbele mkumbuke ni toka miaka ya 49 walianza mabadiliko na tayari tumeona mambo makuu waiyoyafanya katika kipindi kifupi.
 
MKUMBUKE,china standard of living ni a 5th of the USA,this is where japan was in 1950,a high investment economy with low level consumption is a requisite of low standard of living- on this showing it will be some time untill we start scambling for chinese passports
Jamani mnyoke mnyongeni lakini haki yake mpeni... China ina watu wengi sana sirahisi watu wote wawe na kipato nzuri. Kwani unafikiri kama China ingekuwana watu kama mil 400 unafikiri GPD per capita ingekuwa inacheza hapo ilipo sasa? Kumbuka hawa jamaa wameanza reform miaka ya themanini kwahiyo mabadiliko yao ni makubwa sana tofauti na Japan ambao wao walianza miaka ya hamsini.
 
Hivi unafikiri kwanini wachina wana restrictions kuingia Hong kong?
 
Wakuu tutazunguka Sana lakini the Main Factors ambazo zinafanya Uchumi wa China Kukua kwa Haraka ni Following
  • Cheap labor. (large amount of Cheap Labour Costing So Little)
  • A strong customer for all their goods. (US, Europe Africa)
  • Little regulation on business and the environment. (pamoja na kuchakachua value ya currency yao)
 
Bei zitapanda sikatai, lakini ajira itaongezeka including wages!

Ni nani atakaye walipa hizo pesa? Natumaini unaelewa kuwa
kama walmart wataongeza hata dolari tatu tuu kwenye wages
basi Walton family lazima wafunge stores zao kwasababu
hawatapata faida. Sam mwenyewe alikataa mambo ya union
wewe unafikiria ni kwanini? Kwasababu union ingeleta mambo
ya nyongeza za mishahara ambapo ingempunguzia faida.

Tutahamia Target na kwengineko

Sio wengi wenye uwezo wa kununua bidhaa Target vitu vyao
vina gharama zaidi ya Walmart, labda kama unamaanisha Aldi.
 
Kabla ya Walmart situation ilikuwaje?
Kuna several states ambayo hazina Walmart and life goes on. So sioni kama kuwepo ama kutokuwepo kwa Walmart ni big deal
 
Kabla ya Walmart situation ilikuwaje?
Kabla kulikuwa na Ma and Pa stores . Uchumi ulikuwa mzuri, mafuta yalikuwa tele
ila watumiaji walikuwa wachache (Afrika na Asia hawakutumia sana resources).
Viwanda vingi vilikuwa Ulaya na Marekani wakati China walikuwa masikini tuu.

Kwasasa mambo yamebadilika resources hazijaongezeka lakini watumiaji wamezidi.
Kwahiyo maisha yanakuwa magumu kidogo (thamani ya pesa inashuka).

So sioni kama kuwepo ama kutokuwepo kwa Walmart ni big deal
Siyo ishu kabisa mkuu...
 
@ SHERRIF ARPAIO & CHAMOTO
Labda mgejiuliza hata hao Walmart wanapata product zao wapi na kuweza kuziuza Cheap...???

Jibu utapata ni China au Nchi kama China ambazo zina cheap labour... kwahiyo Cost of production inakuwa Cheap..., That why hata western Countries wakitaka kushindana na hizi Asians Countries they can compete in so many different fronts lakini when it comes to labour wataachwa kama wamesimama....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom