China yashika nafasi ya pili kiuchumi baada ya kuipiku japani

Source ya data zako mkuu!

Rev,

According to the World Bank statistics,

Per capital income ya nchi top five leading economies ni kama ifuatavyo:-

a. US per capital income - $ 45, 989.

b. China per capital income - $ 3, 744.

c. Japan per capital income - $ 39, 727.

d. Germany per capital income - $40, 873.

e. France per capital income - $41, 051.

IMF figures nazo zinasema hivi.

a. US - $47,132.

b. China - $4, 283.

c. Japan - $42,325.

d. Germany - $ 40,512.

e. France - $ 40, 591.
 
Wakuu tutazunguka Sana lakini the Main Factors ambazo zinafanya Uchumi wa China Kukua kwa Haraka ni Following

  • Cheap labor. (large amount of Cheap Labour Costing So Little)
  • A strong customer for all their goods. (US, Europe Africa)
  • Little regulation on business and the environment. (pamoja na kuchakachua value ya currency yao)

Mkuu,

Umenena vema vile vile usisahau hawa jamaa vilevile wanasifa hii nayo kuwa wameaccumulate a massive savings na wameinvest pesa hizo katika securities mbali mbali duniani. Ukiangalia they have lend US about $859 billion, vilevile wamewekeza katika US banks and companies pamoja na UK financial institutions. Kwahiyo hawa jamaa wamejizatiti na inabidi tu wawakubali katika jamii pasina kutaka. Ila mie sishangilii kwa sana kwani bado uchumi wa China ni very volatile as majority of chinese are still poor (lack of consumer spending). Hilo linaweza kupelekea kuporomoka kwa uchumi kama mfano Marekani akihamisha viwanda vyake kwenda Africa au South America for a cheaper labour. Vilevile property market is highly overvalued in china which is bubble ilikuwa iburst last year ikasurvive for another year kwasababu ya Hong Kong, pia most Chinese public corporations are highly overvalued which is dangerous to the survival of chinese economy.
 
Lazma uchumi wao upae kwa jinsi wanavyopata faida kubwa ya katika kuuza counterfeits and substandard goods
 
Back
Top Bottom