Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 3,839
- 3,084
Hapana bana hujafikiria vizuri, ili hayo maendeleo unayotaka yaandikwe yapatikane ni lazima CCM ife, hivyo kwa sasa hakuna habari nyingine ya kuandika zaidi ya kifo cha CCM.Kwani wewe na Chilligati mnaumia nini si muache tu kununua na kusoma hayo magazeti...au inaingia?chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.