Chiligati: Acheni kuandika habari za wanachama wa CCM kujiunga CHADEMA

Mbona hata hayo maendeleo ya karne yaliyo letwa na yule aliyekuwa boss wa madini ya kuibiwa laptop mbili, simu nne, dola 4000 bila kusahau ule mtaji wa SMG na bastola wakati wa akifanya uzinzi ziliandikwa na magazeti pia?
 
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.

Utawala wa ccm unagusa maisha ya kila mtanzania hasa jinsi utawala huo ulivyoondoa matumaini ya maisha bora hivyo ni habari muhimu sana. Kuporomoka kwake ni habari njema na muhimu sana kwa watanzania kujua kwamba Tanzania bila ccm inawezekana.
 
John anasahau kuwa hakuna maendeleo ambayo habari zake zinapaswa kuandikwa na wao wameshindwa kuleta hayo maendeleo ndiyo maana wanachama wake wanakihama chama cha John
 
Wakumbushane kupitia uenezi ili kueneza sera zao kwa kundi kubwa la vijana ambao hawazielewi kabisa sera zao kibaya zaidi katibu wa itikadi na uenezi haenezi sera za chama kupitia mikutano mikubwa ya hadhara anasubiri kampeni zianze
 
Back
Top Bottom