yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
Arusha umeimiss mikutan yao...hahahahaaahccm hawakutarajia kabisa haya mabadiliko,tumuulize chiligati mara ya mwisho ccm kufanya mkutano wa hadhara ni lini?

Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Waandike wasiandike, siku za ccm kwenda kaburini zimefika tu.Naona wandishi wa habri wanaanza kupangiwa habari za kuandika kwenye vyombo vyao....
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
Wellcome back Molemo, lile li-kilaza lililokusababishia ban nililitukana matusi yote linayoyajua!! POLE SANA!!
Chiligati mimi namsapoti, wanamkimbia ili yeye aomboleze peke yake msiba (maana hata Baba Mwanahasha nae yuko njiani)!!? Alafu bado na waandishi wa habari wanamuongezea stress!! Akijinyonga je!!?
mambo gani ya maendeleo unataka yaandikwe? kama serikali ya CCM haina mambo ya maendeleo inayofanyia wananchi waandishi waandike nini. Kuandikwa kwa wanachama wa CCM wanaojiunga CDM ni suala la maendeleo pia kwani si inaonyesha CDM inaendelea kuliko CCM? pia hilo ni angalizo kwa CCM wajipange ili kutekeleza ahadi zao walizo haidi wakati wa kampeni ili wakubalike.chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
Maendeleo yenyewe hakuna sasa unataka waandike kitu ambacho hakipo!!, CCM ndiyo imetuleteza haya maafa na vilio vya kufa na kusaga meno, kitendo cha wana CCM kuamia CDM hakiwezi kufumbiwa macho lazima kisemwe kwani kinadhiira ni namna gani watu wameanza kujikomboa kifikra.chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.
Kamarade chiligati wajibu waandishi wa habari kuwa hao wanaoondoka CCM ni MIZIGO na chuma chakavu, waendele kuondoka.na kweli hiyo mizigo inaendelea kuondoka,hivi sasa hao mnaowaita chuma chakavu wamewekewa mapipa kwenye kata mbalimbali wanatupa kadi,kofia,kanga......Duu!!