Chenge ajiuzulu!

Nimeimba sana kwanza muelewe kuwa hawa mafisadi hawajaanza leo walikuwepo toka era ya Nyerere na walikuwa wakibebwa na kulindwa na CCM.

Sasa ametokea Mzalendo kisura wetu Kikwete kwa baraka zake i mean ameruhusu system iwaweke hawa mafisadi hadharani hii ina maana wakati wa Nyerere,Mwinyi na Mkapa hawa mafisadi walifichwa na kulindwa,hawa mafisadi ni very powerful na wana mtandao mkubwa sana...huwezi ukawa rais na ukaweza kuvunja mtandao wenye mizizi takriban 50yrs overnight.

Naimba tena tumpe credit JK kidogo


Kamfichua yupi ?Wakati naye akiambiwa alikuwa anadai hizo ni kelele za mlango hazimzuii kulala sio yeye.
Wote wanao fedheheka sasa maswahiba wake ukianza EL bunge ndio limemuumbua na yeye bado akataka kusafisha na kusema alikuwa mchapa kazi na hiyo ni ajali tu ktk siasa.Ya Chenge wanaoifuatilia ni SFO ya UK ,sasa unadai yeye kamfichua nani?Karuhusu system gani au system inamshinda nguvu ,na wafadhili wanadai yasipofanyiwa kazi no msaada unachua hilo.
 
Kamfichua yupi ?Wakati naye akiambiwa alikuwa anadai hizo ni kelele za mlango hazimzuii kulala sio yeye.
Wote wanao fedheheka sasa maswahiba wake ukianza EL bunge ndio limemuumbua na yeye bado akataka kusafisha na kusema alikuwa mchapa kazi na hiyo ni ajali tu ktk siasa.Ya Chenge wanaoifuatilia ni SFO ya UK ,sasa unadai yeye kamfichua nani?Karuhusu system gani au system inamshinda nguvu ,na wafadhili wanadai yasipofanyiwa kazi no msaada unachua hilo.

Nashangazwa sana.. wewe unafikri kwa power ya Rais kina Mwakyembe wangeweza kufanya hiyo shughuli bila blessing zake?

Je hawa jamaa wa SFO bila idhini yake wangeingia nchini na kudai mafile ya Chenge? mbona wameshindwa kuingia Saudi au South Africa hata pale BAE kuna mafile ambayo wamekataliwa wasiyaonne

Je unadhani wakati wa Mkapa au mzee Ruksa tungeyaona haya? siasa is a dirty game
 
I am still undergoing some training but I will be back to my people and make a general cleanup of all corrupt officials. Watanzania Msifadhahike maana mungu wetu amesikia kilio chenu na kuamua kunituma mimi kwenu.....THESE PEOPLE ARE PATHETIC GOD FORGIVE THEM FATHER BECAUSE THEY DON'T KNOW WHAT THEY ARE DOING.
 
Amejiuzulu, then what??
Tofauti na mwenzake Lowassa, kujiuzulu kwa huyu hakuna impact yeyote unless he is taken to court soonest. Tatizo huyu Rais wenu haambiliki. He was advised wakati wa kuunda baraza jipya atupilie mbali kina Chenge, cheki sasa walivyomchengua!
Lets wait and see

Wakuu, kama Chenge asingekuwa waziri kuna uwezekano mkubwa hii "kashfa" isingetolewa hadharani. Muungwana alifanya vizuri kumuacha ndani ya serikali ili awe "visible" zaidi.
 
Wakuu, kama Chenge asingekuwa waziri kuna uwezekano mkubwa hii "kashfa" isingetolewa hadharani. Muungwana alifanya vizuri kumuacha ndani ya serikali ili awe "visible" zaidi.
Hiyo ni just "assumption" its remained to be seen!After all there's nothing tangible and moving that he did to prove that to the people!The president is the one and the only one to end this once and for all!Haya mambo gemu kama za paka na panya hayana msingi..there's no more room for political games!Biashara ya kumega muhindi kidogo kidogo ku shut up the holla siyo constructive hata kidogo kwenye issue hii nyeti na nzito!We know that we're poor but that does not constitute to ignorance!Tunajua mh rais ana nguvu na mamlaka makubwa sana yanayolindwa kikatiba yatakayomwezesha kudeal na hii issue bila woga wa maisha yake binafsi!Atakachopoteza ni marafiki na umaarufu miongoni mwa tabaka la mafisadi!Akubali tu anaweza akaumbuka kidogo!Lakini huo ndio uanaume..tutamsamehe..apige moyo konde na ajitupe upande wa wazalendo..there's no any other way round!Ni suala la yeye kuamua kuchukua maamuzi magumu na kuwa mpweke..upweke ambao utaisha kwani atapata upendo mkubwa kutoka kwa wananchi na hivyo kuweza kusahau kuhusu marafiki zake wakuu mafisadi waliomtega kwa kumchangia mapesa kwenye kampeni yake!Mh rais afungue macho na kuona kuwa watanzania nao wanafungua macho!
 

If you look closely all these scandals which have been unfolding in our country, you easily realise that they are too much for our President to handle! Tunahitaji usaidizi wa CIA na Scotland Yard. I for sure know that Hosea cant investigate and prosecute Chenge, Lowassa, Karamagi etc! He cant! Simply he cant! BY MERE FACT OF THEIR NAMES..HOSEA HAWEZI NA BESIDES NA YEYE SIYO MSAFI!

Wana JF, from now on, tuanze kuuliza hard question on who has been taken to COURT OF LAW kujibu tuhuma, kujiuzulu haitoshi kabisa. Sasa mashambulizi yetu yaanze on who has been taken to court na si vinginevyo! Kuanzia EPA, RICHMOND, IPTL DEEP GREEN etc....wale wanafiki wanaoandamana kwamba JK anadeal na mafisadi..sisi swali letu liwe simple: Nani karudisha pesa za walipa kodi? We want all these folks in court! No more no less! YAANI WATANZANIA TUNA OPPORTUNITY NZURI SANA YA KUDEAL NA CCM! AND IT SHOULD BE NOW! TAIFA LETU LINABAKWA NA WACHACHE WAKATI MILLIONS WAKIFA KWA UMASKINI. ITS TOO MUCH.

Thats should be our campaign from now on! Otherwise hata baraza zima linaweza kujiuzuru, na tusiambulie kitu...Remember mpaka leo tunalipa 152,000,000,000 KILA SIKU kwa kampuni ambayo haipo na haijawahi kuwepo!
 
I am still undergoing some training but I will be back to my people and make a general cleanup of all corrupt officials. Watanzania Msifadhahike maana mungu wetu amesikia kilio chenu na kuamua kunituma mimi kwenu.....THESE PEOPLE ARE PATHETIC GOD FORGIVE THEM FATHER BECAUSE THEY DON'T KNOW WHAT THEY ARE DOING.

If you think they do not know what they are doing, you are damn wrong. The know what they are doing, they are stealing from Tanzanians, that much they know. But what they did not know is that Tanzania will not be fools forever, they will come a time when people will say "to hell", let us teach these guys a lesson they will never forget.
For sure at this moment they are still happy, because they are still Boabing here in Dar in very expensive and luxurious cars, still enjoying VIP treatment. And they know poor Tanzanians will not dare to touch him. Can you imagine them enjoying VIP treatment, and those vibakas in Keko facing the music they were supposed to be facing, or other innocent ones who starve everyday while our US $15 Million kept in Jersey?
Wanajua wanachokifanya, tusisubiri Mungu awashughulikie, God has a lot of things to do, let give him a break!
 
Ni kweli kuna watu wengine hatumjui huyu Dr.Mauwa Daftari, Je unaweza kutuelimisha zaidi kuhusu mtu huyu. najua muda ni mali ila kwa kitu kama hiki sidhani kama utakuwa unaupoteza bali utakuwa unautumia ipaswavyo. Kwanza nataka kujua kama ni Dr. wa watu au ni title? Unaweza kutufahamiasha ana sifa gani za kuweza kuongoza wizara nyeti kama hiyo? sio kwamba ninam-grill ila naogopa kurudia makosa. Haitakuwa the same kama la aliyetangulia lakini impact yake ni ile ile...kurudisha maendeleo nyuma au kuwanyima wananchi accessibility previlage. Kama mlivyosema watu wengi wanasoma michango yetu, basi tuwe waangalifu tusiwapotoshe kwenye maamuzi yao.
 
you can`t convice me!!! kama alikuwa anawajua kwanini aliwapa nafasi za uongozi kwenye serikali yake? Let say hakuwa anajua nani anafanya nini, je wakati alipoamua kuwa-consider kwenye baraza lake hakuona umuhimu wa kutumia watu wa usalama wa taifa wamsaidie kuwajua? au kazi ya watu wa usalama wa taifa nin kumwaga tindikali tu? Au ufisadi hauhatarishi usalama wa taifa???? Watu wanaweza kugeuka na kuamua kutoka ndani na mapanga na kuanza na shingo ya yeyote wanayedhani amewasaliti je hiyo ni nini???/
 
Apewe Pombe

Watanzania bana...hivi tuna matatizo gani? kwa nini tuendelee ku-recycle watu wale wale, wakati ndo wametufikisha hapa tulipo? jamani we have more than thirty millions capable men and women out there...wameshindwa, tuwape na wengine! tatizo la kupeana majukumu kwa kuangalia majina ya watu, ndo tuko hapa tulipo..lets give it to who can do it best! forget Pombe and Maua Daftari..they have been part of the corrupt administrations..what have they done?
 
sasa akilewa nchi itafika.. ama?

Aaa mzee mzima vipi tena, you know very well kwamba apewe ndugu POMBE MAGUFULI, sio mtu fulani apewe pombe anywe alewe. hapo umenipunja, nilikuwa nasubiri nondo nilipoona MMKJ...I think Pombe works better in a good environment. angalia alivyoendesha zoezi la kuuza nyumba za serikali. kwa hiyo la msingi hapo ni good system. inapatikanaje? hasa kama watanzania wengi ni MAFISADI-IN-WAITING
 
Hey guys lets contract New York Mafia for Mafisadi heads.We can put only $30,000 per head, If nobody is doing anything maybe is time for us to think about this, the time for politics is over. Kikwete we going to give you within this year to clean up otherwise we are ghoing to help you to do so permanently. We are going to do anything for our kids future.
 
nakubaliana na wewe na hiyo tabia yake itamcost one of these days. Kama ushindi wa kwanza ulikuwa wa kishindo basi akiweza kupata mwingine utakuwa a little bit tough.
 
Ila wakuu with all that said,, mtakumbuka kuwa alipoteuliwa mara ya pili mwezi February kinyume na matarajio ya wengi, alisema kuwa kwa wale wanaoshangaa wakamuulize aliyemteua (Mh Rais) ...sasa mi naona kama amemdalilisha sana JK katika hili!

Na pia najiulize je, kama JK alikuwa anayajua haya, assuming kuwa lishahabarishwa na RO, je alimwacha kwa makusudi aanguke mwenyewe na yeye akabaki kunawa mikono kama pilato?

Na huu msalaba ataubeba chenge peke yake au kutakuwepo na wa kumsaidia kama ilivokuwa kwa EL?

You are right, Hiyo ndio Style ya Kikwete na wazaramo wote, kujikosha, hawapendi kuonekana wabaya kila upande
 
Udhaifu wa kiongozi ni pamoja na kutokuwa na uwezo wa kupima na kuchanganua mambo mhimu unayousiwa, ikiwa ni pamoja na kutojua kutumia nyenzo zote ulizopewa kisheria uzitumie kukusaidia kuboresha kazi yako.

Mpaka sasa siamini kabisa kama Jakaya Kikwete na yeye sio fisadi. His 'cleanliness'...to me, just doesn't pass the believability test.

I salute you, he is questionable, na ninamuombea ( si kwa Mungu, that will be asking too much) wananchi wasione hilo.
 

mimi nitakuwa more comfortable na Mbunge wa Mafia. Afterall hawa wenye ma PHD ndio wanatumaliza zaidi

najua ni extreme lakini ukichunguza tazama akina MKULO na elimu zao wana kashafa ngapi?

ndio maana nikaomba maelezokutoka kwa wale wanaomfahamu. Hivi vyeo vya kujuana mwisho shughuli yako nyeti unampa "kihiyo"
 
Back
Top Bottom