Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,534
- 22,279
Mkuu naeleza maoni yangu baada ya kuufatilia mpira.Wala sio kujituma. Kilichotokea balance ya timu imetoke hasa baada ya Cucurella kupewa maagizo ya kuoverlap kwenye kiungo ya akina Galager na Caicedo. Uwe unafuatilia mpira badala ya kueleza maoni yako. Source ya kucheza vizuri ni balance iliyosababishwa na Cucurella