Ability ya coach jana na game za aston villa ndio tumepata point ila Poch ni mjinga kitu anachokitumia jana ndio alichokitumia pre season why aliacha hiyo approach wakat league imeanza yani anashtuka almost league ishaisha na tuko katika hali mbaya

Imemchukua miezi 8+ kurudi kwenye kitu alichokuwa anakifanyia kazi pre season why .
Mkuu nahisi wewe una umri wa kutosha kujibu hoja kwa hoja.
Mada yangu ni uwezo wa wachezaji sio kocha
Tulichotaka Poche afanye tangu aanze ndicho alichofanya game na Vila na hii ya Spurs
Tweak ya Cucurella kucheza midfield akiwa LB imeiboost sana viungo kwenye ukabaji.
Pivot ya Caicedo na Gallagher imelazimishwa na injury japo alitakiwa siku nyingi kumtumia Gallagher deep
Mf na defence imebalance kwa sababu ya hiyo tweak. Ilikuwa ni kazi rahisi tu ila kocha wako Poche ni sturbon na mwoga. Mfahidhina yule imemgharimu sana
Tangu mwanzo tuliwaambia hawa wachezaji wazuri ninyi mkakazia ni average players. Wanacheza tofauþi nà maaelekezo ya kocga.
Too bad kwa sababu angefanya hivi tungekuwa sasa tupo top 4 na sio vila timu za kuunga unga
 
Kitu kizuri ni kwamba tumeshinda lakini jambo jema zaidi ni kwamba benchi la ufundi la wachezaji sasa wanaonesha kurekebisha makosa yao. Wachezaji wanajituma na kusikiliza wanachoambiwa.

Jackson positioning yake mpaka kupata lile goli. Ana juhudi ila makosa madogo madogo apunguze. Cucurela superb, Galagher majestic hasa akicheza chini ya namba 10, Caicedo akicheza bila Enzo naona ndio anakua wa moto zaidi, Chalobah anarudi kule tunakotamani wengi.

Hatuko FA na tumebakiza mechi 4 tu kama timu itaendelea hivihivi tunaweza maliza nafasi nzuri mzimu ujao na points 63.
Wala sio kujituma. Kilichotokea balance ya timu imetoke hasa baada ya Cucurella kupewa maagizo ya kuoverlap kwenye kiungo ya akina Galager na Caicedo. Uwe unafuatilia mpira badala ya kueleza maoni yako. Source ya kucheza vizuri ni balance iliyosababishwa na Cucurella
 
Mkuu naeleza maoni yangu baada ya kuufatilia mpira.
 
Wataje hao average players
Sanchez, Petrovic

Badiashile, Disasi, Chalobah

Galagher, chukwuemeka, Sterling, Enzo

Mudryk, Madueke, Jackson

Hawa ni wachache sana wanakua na uwezo wa kutoboa kufikia daraja la juu mfano ni Rudiger mostly wanajituma bidii nyingi zaidi. Wengi wao huwa wanaishia hapohapo mfano Kovacic ni average anajitutumua lakini wapi utamuona mechi moja moja anapotea.
 
Nimeshastaafu kuwazungumzia wachezaji, Kocha na Wamiliki, Pia kuchambua Mpira wetu.

Comments zangu hapa zitakuwa mbili tuu.

1. THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani wakiombeleza timu yao imewambwa msalabani.

2. THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe bingwa wa dunia ameshinda mechi.
 
Mkuu nahisi wewe una umri wa kutosha kujibu hoja kwa hoja.
Mada yangu ni uwezo wa wachezaji sio kocha
Tulichotaka Poche afanye tangu aanze ndicho alichofanya game na Vila na hii ya Spurs
Tweak ya Cucurella kucheza midfield akiwa LB imeiboost sana viungo kwenye ukabaji.
Pivot ya Caicedo na Gallagher imelazimishwa na injury japo alitakiwa siku nyingi kumtumia Gallagher deep
Mf na defence imebalance kwa sababu ya hiyo tweak. Ilikuwa ni kazi rahisi tu ila kocha wako Poche ni sturbon na mwoga. Mfahidhina yule imemgharimu sana
Tangu mwanzo tuliwaambia hawa wachezaji wazuri ninyi mkakazia ni average players. Wanacheza tofauþi nà maaelekezo ya kocga.
Too bad kwa sababu angefanya hivi tungekuwa sasa tupo top 4 na sio vila timu za kuunga unga
Kwa yaliyotokea sidhana kama poch ni mtu sahihi
Anachokifanya now ni kuokoa kibarua tu next season akiendelea kuwepo huyu tutaendelea kulia vile vile

Ni mgumu kutatua shida ,na nimgumu kufanya mabadiliko
 
Kwa wasio mfahamu Saka, ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, amestaafu soka mwaka 2001
20240503_152625.jpg
 
Wala sio kujituma. Kilichotokea balance ya timu imetoke hasa baada ya Cucurella kupewa maagizo ya kuoverlap kwenye kiungo ya akina Galager na Caicedo. Uwe unafuatilia mpira badala ya kueleza maoni yako. Source ya kucheza vizuri ni balance iliyosababishwa na Cucurella
Kumbe kitendo cha CUCU kuingia ndani katika kiungo kwa kiingereza ndo huitwa KUOVERLAP?

Acha kabisa kuweka maneno ya kiingereza usiyoyajua yanamaana gani mkuu, UNAONEKANA MJUAJI (unaonekana unaandika nonsense)
 
.

Hii App ya JF ni mbovu sana najitahidi kuandikà ila inaweka hayo maneno nonsense
Hapo nilimaanisha kuoverload sehemu ya kiungo ili kuwalinda mabeki. Sorry mkuu
 
  • Cucurella alishinda 9
  • Caicedo alishinda 9
  • Gallagher alishinda 8
Safu hii ya kiungo inalinda safu ya ulinzi vizuri. Pambano hushinda katika safu ya kati ili safu ya ulinzi isifichuliwe
 
Kumbe kitendo cha CUCU kuingia ndani katika kiungo kwa kiingereza ndo huitwa KUOVERLAP?

Acha kabisa kuweka maneno ya kiingereza usiyoyajua yanamaana gani mkuu, UNAONEKANA MJUAJI (unaonekana unaandika nonsense)
Hata overlap inaweza tumika hapo japi overload ni sahihi zaidi
Overlap maana yake ni kuingilia eneo lisilo lako. Nenda kacheki kamusi.
 
Mauricio Pochettino:

"Tukiongelea uchezaji, nadhani tuna uhakika kama tulistahili pointi tatu na kuzungumzia uchezaji mzuri tupo kwenye nne bora, matokeo na ushindani ni tofauti na nakubaliana na ninyi [Mashabiki] kuwa hatukushindana vyema mwanzoni... "

[kupitia Chelseafc]
 
Pochettino kasema yuko gizani, hajui kama wamiliki wako nyuma yake au la. Amedai hajui kama atakuwepo msimu ujao.

Mauricio Pochettino: "If there's a decision and someone says to me 'ciao', okay. But because we don't know at the moment, then I suppose I will be here.

You need to ask the club, whether the club wants me or not." standard.co.uk/sport/football… #CFC
 
Back
Top Bottom