Shida Enzo akirudi Gallagher hatumiki tena chiniKitu kizuri ni kwamba tumeshinda lakini jambo jema zaidi ni kwamba benchi la ufundi la wachezaji sasa wanaonesha kurekebisha makosa yao. Wachezaji wanajituma na kusikiliza wanachoambiwa.
Jackson positioning yake mpaka kupata lile goli. Ana juhudi ila makosa madogo madogo apunguze. Cucurela superb, Galagher majestic hasa akicheza chini ya namba 10, Caicedo akicheza bila Enzo naona ndio anakua wa moto zaidi, Chalobah anarudi kule tunakotamani wengi.
Hatuko FA na tumebakiza mechi 4 tu kama timu itaendelea hivihivi tunaweza maliza nafasi nzuri mzimu ujao na points 63.