Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

Mtambuzi na wewe ulianza uzinzi long ,na imani sasa umeacha napenda kujua kama wallet isingeibiwa mngeenda kupumzzika wapi na hao machangu maana hiyo gear mlokuwa nayo kaaz kweli kweli
 
FirstLady nitake radhi, tena mbele ya wanangu wooote, mimi sikuwa Mzinzi hata kidogo, nilikuwa nahamasisha Machangu waache uzinzi, ila yule jamaa aliyetupeleka pale Maeda, alitaka kunitia ibilisi, lakini kwa jinsi mtumishi wa Mungu ninavyolindwa na malaika hatimaye nikaokolewa katika kinywa kile cha shetani..................... Bwana Yesu asifiwe sana............Aaaaaamen!
 
Aaaaaamen!
 
hahaha naomba radhi Mtambuzi mbele ya watoto wako kina Cantalisia ,Husnino na wengineo
Lakini ni juu ya nini uliwaacha wakufanyie massage ?
 
asante Mtambuzi! Style yako ya kuokoka ni tofauti na yangu,mkwara wa mboko za Yesu tu ukaokoka? Mimi niliokoka kwasababu niliambiwa ile Yerusalem ya mbinguni kuna nyama za kuku, mabinti warembo,hakuna migomo....yaani ni raha tu.
 
hahaha naomba radhi Mtambuzi mbele ya watoto wako kina Cantalisia ,Husnino na wengineo
Lakini ni juu ya nini uliwaacha wakufanyie massage ?
Shetani ana mbinu nyingi sana, Massage ni mojawapo ya mbinu hizo.....................
 
Gustavo. . .nice name, kweli hiyo kampani yako nimeikubali. . .nice shared experience, kweli ukiandika kitabu ntakuwa fan wako.
 
Back
Top Bottom