Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

Hahhahahahahhaa...hii inakuhusu mwenywe wala usijitee kbs..
Mr Gustavo;‘Amigo, comistas abrigado tuto bene, quivichino ...........................!
We binti, unajua hilo neno ni TUSI,tena la nguoni........................Yaani unamtukana baba yako hadharani namna hii!
Yaani leo utanitambua ukirejea nyumbani jioni, lazima nikushikishe adabu...
 
Nimecheka sana ,aah mzee Gustavo Mtambuzi from Capo delgado (Mozambique) au Lisbon (portogues)? Ama kweli pesa sabuni ya roho mimi nilifikiri mlevi ukimwaga pombe yake inakuwa hatari kumbe hata ukichomoa wallet yake napo balaa!!

Maisha yako ujanani ilikuwa balaa..halafu hujasema hivi kama ungefanikiwa kutoka salama ungempeleka barafu wako Sheraton? au ungempiga girini gani?
 
Nimecheka sana ,aah mzee Gustavo Mtambuzi from Capo delgado (Mozambique) au Lisbon (portogues)? Ama kweli pesa sabuni ya roho mimi nilifikiri mlevi ukimwaga pombe yake inakuwa hatari kumbe hata ukichomoa wallet yake napo balaa!! Maisha yako ujanani ilikuwa balaa..halafu hujasema hivi kama ungefanikiwa kutoka salama ungempeleka barafu wako Sheraton? au ungempiga girini gani?

Yule jamaa alikuwa anamwaga maujiko bila kunishirikisha, hata sijui kitu gani kingefuata, lakini nisingekosa namna...............!
 
Nimecheka sana kuanzia mwanzo hadi mwisho, natamani wanao wasikie story za enzi zako maana hawatathubutu kuleta ujanja wowote mbele yako......though mwishoni changu aliharibu movie.(au ilitakiwa iishe hivo)
 
Mzee Gustavo

Ukaharibu deal na vijicent vyako vya ngama! Mlimalizana vipi na akina Kwaku kunto na Dumisani Fanyana baada ya kuwabomolea deal ?
Tulibaki kucheka tu ndani ya gari na kila nikionana na huyu Kwaku Kunto huwa tunakumbushana enzi zetu na tunacheka sana. Jambo ambalo kwa kweli linaniumiza moyoni ni kifo cha huyu rafiki yetu aka Dumisani Fanyana aliyefariki mwaka juzi baada ya ku-commit suicide kutokana na Dipression....................RIP Dumisani*

*Dumisani sio jina lake halisi
 
Bila kuibiwa hiyo wallet labda ungegeuza mahali pa kushinda. Mshukuru Mungu alikuonyesha kuwa unapotea, na akamtumia huyo changu kukushitua.
 
Nimecheka sana kuanzia mwanzo hadi mwisho, natamani wanao wasikie story za enzi zako maana hawatathubutu kuleta ujanja wowote mbele yako......though mwishoni changu aliharibu movie.(au ilitakiwa iishe hivo)
Unajua nililivamia hili jiji kwa pupa sana, na nilipambana na mikasa mingi ya maisha, nikisimulia mikasa yangu yote humu JF, kuna wanangu wanoko lazima watamweleza mama Ngina wakati anajua mimi ni MTAKATIFU, kwani tulikutana KANISANI baada ya kumuasi yule mwovu SHETANI na kuzaliwa upya, sasa akisikia habari za GUSTAVO, itaondoa ule utakatifu nilionao.
 
We binti, unajua hilo neno ni TUSI,tena la nguoni........................Yaani unamtukana baba yako hadharani namna hii!
Yaani leo utanitambua ukirejea nyumbani jioni, lazima nikushikishe adabu...
Hahahahhahahh!,
Utakuwa umenifundisha mwenyewe maana nimekopi na kupest kwa alipoandika baba lol!
Ukinianzishia tu na mie nakuharibia kwa maza alafu tuone nani itakula kwake!!

Heeee hheeee,
Huu UTUKUFU huu hatimaye baba yangu ukawa mreno gafla lol!
 
Hivi ni nani amekufundisha hayo mambo ya "UTUKUFU"?

Lol,...

Mtambuzi a.k.a Gustavo nimecheka mpaka machozi yamentoka, akitokea mtu ghafla lazima aniulize nalia nini..... Eti mtoto wa mwananyamala ya ureno.
 
Hivi ni nani amekufundisha hayo mambo ya "UTUKUFU"?

Hahhahahahah!
ww mwenyewe ulipouchungulia utukufu wa dada Glady
Kwani mbwembwe zote zile mpaka unanena kwa lugha,
Si ulikuwa unalilia Utukufu!!
Ila nimegundua walet ilikuwa zaidi ya utukufu!
 
Gustavo.......kuongea kiswahili tena cha kizaramo, aisee nimecheka mtambuzi amakweli ujana wako ulikuwa maji ya moto haswaaa.
 
Thubutu yake, apige mkwara kwa kireno mpaka mkalimani amalize kutafsiri na changu si ashaondoka na wallet?...lol
Tehee teheee,na kweli bora tu alivyoamua kama noma na iwe noma na kulianzisha,yani majaribu kuvuta picha ya tukio najikuta nacheka bila kikomo,km ni kweli nampa pole.

ujana una raha zake na majuto yake napenda watu kama wewe ukiamua kutulia hubabaiki na kitu ogopa anayeanza ujana na miaka 40 jua limekuchwa anajiona kijana hongera mreno wa mwananyamala
 
Tehee teheee,na kweli bora tu alivyoamua kama noma na iwe noma na kulianzisha,yani majaribu kuvuta picha ya tukio najikuta nacheka bila kikomo,km ni kweli nampa pole.

Wacha tu mamaD, mie mwenyewe kicheko hakikauki kila nikivuta picha ya Gustavo wakati anadai wallet irudishwe...lol.

Sipati picha jasho linamtiririka, mapigo ya moyo yameongeza kasi kwa uoga wa kuaibika, pombe yote kwishneh!
 
Back
Top Bottom