Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

Ha ha ha haaah...lol, mtambuzi, sijui hii imenipitia wapi!!
Nimependa simulizi lako..full kuvunjika mbavu hapa!
 
Ha ha ha haaah...lol, mtambuzi, sijui hii imenipitia wapi!!
Nimependa simulizi lako..full kuvunjika mbavu hapa!
Mzee mwenzangu Rejao, uzee huu nimepitia mengi, sasa uzee umechukuwa nafasi nimebaki kunusa ugoro tu hapa nyumbani na mkongojo wangu.....................ha ha hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hongera sana mkuu kwa story za kufurahisha.

Nimekubali kuwa kila mtu ana ulevi wake
na wewe ulevi wako ni kuandika.

Je unaandika mchana au usiku,
utasema 'Muulize mama Ngina'
 
Kipofu nimeona mwezi.....................
Ha ha ha haaaaaa..............Kwa mara ya kwanza leo PAW kaweka comment kwenye uzi wangu, kaazi kweli kweli..........
Mkuu naheshimu sana uwepo wako katika uzi huu, naomba usichoke kusoma ujinga wangu, karibu sana...................................LOL

Atakuwa alikuwa anatafuta "wakorofi"
 
Mtu angeingia hapa ofisini, angejua nimekuwa chizi. Nimecheka sana, shukrani kaka.
 
Back
Top Bottom