Changia TV IMANI

Akili ya mashindano...! 'Wagalatia ' wako always one step ahead kwa sababu wakati wanaanzisha kitu huwa hawajishughulishi na issue ya waislam wana nini bali huwa wanaangalia hitaji husika na jinsi ya kulitatua. Kama mnaweza ku copy and paste TV jaribuni na MoU basi...!
Eenhe! Hao ni 'wagalitia'. Na 'wakorinto' je?
 
eleza tv ishaanza ama bado? iko mkoa gani? imeanzishwa kwa ajili ya waislamu peke yao au watanzania? mpaka sasa mmeshapata kiasi gani na mmefikia wapi na mmepungukiwa kiasi gani? ukiweka details sawa utapata mchango

Mimi nataka kueleweshwa ikiwa hela za makafir zinapokelewa??!!
 
Wakuu,
Hapa JF ni njia murua ya kupashana habari, kujadili kwa kina, kujadili kwa hoja na kueleweshana pasipo kuumbana.
Inasikitisha jinsi wadau mnavyobeza bandiko juu ya 'uchangiaji wa hiari' katika uanzishwaji wa kituo cha luninga cha kiislamu kiitwacho IMAAN TV. Waislamu nchini Tanzania hawajawahi kuwa/kumiliki kituo cha luninga yao, muda muafaka umekuja (japo kimechelewa) wa kuwahimiza waislamu juu ya kufanya biashara na Allah.
Ni vigumu kwa wasiokuwa waislamu kuelewa ni kwa namna gani mtu anaweza kufanya biashara na Allah muumba wake mtukufu. Mwenyezi Mungu ametuumba na kututengenezea dunia na yaliyomo ili tuishi huku akitudondoshea matone ya rizki kuichuma. Kufanya biashara na Allah ni ile hali ya kujitolea nafsi/mali katika njia ya Allah iwe katika kusaidia viumbe wake, kuisaidia dini yake ama nyingineyo.
Imaan tv inahitajika kwa waislamu kwa mambo mengi likiwamo kutoa nuru nyumbani mwako, kutoa nuru ni njia ya kuhuisha hali kiimani muwapo majumbani. Tujitahidi kukielewa vema Kiswahili ili tusipotoshe maana husika.
Migongano ya aidha radio Imaan na Bakwata ni kawaida, ni sawa ni mikingamo ya baadhi ya taasisi za dini zikikinzana juu ya mambo kadhaa. Hivyo kusinasibishwe baina ya azma hii ya uanzishwaji wa imaan tv na mengineyo.

Wasalaam,
 
duh kweli wakiristu hamtupendi waislamu.. Hadi Kuanzisha TV mna maind kinyamaaaa.. mungu hakukosea aliposema hawatowapendeni( non muslim) mpaka muwe kma wao.. U guys mna roho mbya sana. Yaani ukitak kumjua christian we anzisha thread ya kuwainua muslim..narudia tena mna roho mbya sana as if hapa duniani mtaish milele.
 
Si mpite na makaratasi
kama wale wanaopitaga
kuomba michango kwenye mahoteli,mabar ili kujenga misikiti?
Kwanza hii redio
inachochea vurugu
nshawahi isikiliza!
Shame upon you!!

Floor ora wewe ni mse- eeeelaaa!! wew ni barabara Una kaaa-nyagwa.
 
Prof K.

Mbona unageneralize mkuu mi mKristo sioni taabu waIslamu mkianzisha TV station kwanza najua sitajishughulisha kuitazama kwanini nimind ?.Dunia ya leo TV station ni nyingi sana kama TV station hainihusu au hainipendezi nahamia station nyingine.



duh kweli wakiristu hamtupendi waislamu.. Hadi Kuanzisha TV mna maind kinyamaaaa.. mungu hakukosea aliposema hawatowapendeni( non muslim) mpaka muwe kma wao.. U guys mna roho mbya sana. Yaani ukitak kumjua christian we anzisha thread ya kuwainua muslim..narudia tena mna roho mbya sana as if hapa duniani mtaish milele.
 
Back
Top Bottom