Changia TV IMANI

hehe! wakiitwa waislam safi watoke mbele na weye nawe utajitoa...!! MUone ile avatar yake kwanza...

InshaAllah Tv iman ipo njiani... :poa

Unadhan muislamu safi ni wewe unayelala na kushinda msikitini kutwa kucha huku ukicheza bao na kunywa kahawa? Acha upuuz wewe *****.
 
ah i was just thinking hadi mtu anatumia avatar hiyo inamaana when u meet this Muppet could be uglier than u thought.

plus kanikera muislam safi toka lini akajitangaza! bana!... na moja ya sifa kuwa ya muislam ni kusaidia pasi na kutangaza angalia yeye .. ohh! nina watoto yatima... wengine nakaa nao..

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

Umeishiwa maneno?
 
Umeishiwa maneno? Nini hasa lengo la lile swal lako?
 
Alhadulillah,hii maneno nilikuwa naisubiria kwa hamu sana,ni lazima nifanya biashara na muumba wangu,nahitaji kwa hamu sana tv ya kiislam ndani ya tz,itupe mwanga waislam na jamii nzima kwa ujumla,sipandi tena kulishwa matango pole ,na propaganda nataka kitu halisi,ni lazima nitie timu siku hiyo,speed yetu ya maendeleo ni nzuri wamebana wameachia na safari hii nakuambia lazima wajikojolea.shime waislam tujitokeze kwa wingi kwy hili jambo la kheri.
 
Weka na zile namba za kuchangia ki electronic kama MPESA nakadhalika. Wengine wangependa kuchangia ila pengine hawataweza kufika uwanja wa taifa
 
Umeishiwa maneno? Nini hasa lengo la lile swal lako?

Ni wapi nimekuuliza swali.. let Qur'an speak it self

sura ya 4 ayat 38
38. Na ambao hutoa mali yao kwa kuonyesha watu, wala hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho; na yule ambaye Shet'ani amekuwa ndiye rafiki yake, basi ana rafiki mbaya mno
"
Na Mwenyezi Mungu hawapendi wanao toa mali kwa ajili ya kuonekana na watu, wapate kuwasifu na kuwatukuza, na ilhali wao si wenye kumuamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Malipo. Kwani hao wamemfuata Shetani naye amewapoteza. Na mwenye kuwa rafiki yake ni Shetani basi ana rafiki mbaya kweli. "

hiyo ayat inawazungumzia watu kama ninyi .. eti unajigamba nasaidia yatima.. weye ni muislam safi , hata senti sitoi... mwislam safi hajigambi mbele za watu! na kama hutaki kuchangia bora ukae kimya kuliko kuongea vitu usivyovifahamu .. idiot

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

My Muslim Brothers, mnatakiwa mjitofautishe na hawa.

379135_291077990931762_100000886912967_831391_1156534665_n.jpg

Nyinyi kama vijana wa kizazi cha kisasa mnatakiwa muwe serious na mambo kama haya, kama mna nia ya dhati ya kufanya Fundrising nilitegemea muweke hapa full details jinsi ya kuchangia kwa yule anaejisikia na kuwe kumefunguliwa account maalum ya hiyo project, otherwise hii thread itapita na itakuwa closed na mtakuwa hamjafanya lolote la maana na nitashindwa kuwatofautisha na hao wazee hapo juu.
Changes begins with u!
 
Kawapelekee wakirisito wenzako Sabato Masalia, nadhani watakushukuru sana.

Mkuu hata ukithibiti vipi pesa haramu lazima zitakuwemo, si lazima ziwe za ngu.... lakini hata hizo zinazoioonekana safi uharamu utakuwemo, fuatilia kwa makini hiyo siku wale watakaotoa utagundua, na mimi nitakuja kutoa sapoti nadhani sitabaguliwa maana sipo katika hizo dini zenu mbili ila kwavile huduma hiyo itatumiwa na wengi basi nitaafika, nitakuwa getini la kaskazini muda wote mpaka nikuone ukiiingia.
 
Duhu..!
Kila mtz ni mla kharamu tu, ni unafiki mkubwa ku-identify watu fulanifulani wakati TBL na EA Breweries wanakontribyut % kubwa tu kwene zile bil 600 za TRA. Na development partners wanamwaga pesa toka kwa kodi zao ambazo nyingine zinatoka kwene biashara za red-light districts, ulevi na mambo mengine ambayo dini zenu za kubuni 'zinayakataa'..

Pesa tamu, askudanganye mtu.

Point taken...!
 
Nilimuuliza mkoloni anaelewa maana ya RIA?
KAMA ANAIJUA HAWEZ KUTHUBUTU KUJITANGAZIA KULEA YATIMA

ah i was just thinking hadi mtu anatumia avatar hiyo inamaana when u meet this Muppet could be uglier than u thought.

plus kanikera muislam safi toka lini akajitangaza! bana!... na moja ya sifa kuwa ya muislam ni kusaidia pasi na kutangaza angalia yeye .. ohh! nina watoto yatima... wengine nakaa nao..

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Subira ni sifa mojawapo ya muumini wa kiislam,maneno machafu si sifa ya muumin wa kiislam
Unadhan muislamu safi ni wewe unayelala na kushinda msikitini kutwa kucha huku ukicheza bao na kunywa kahawa? Acha upuuz wewe *****.
 
Mind ur SPELLING
NI'ALHAMDULILLAH'
Alhadulillah,hii maneno nilikuwa naisubiria kwa hamu sana,ni lazima nifanya biashara na muumba wangu,nahitaji kwa hamu sana tv ya kiislam ndani ya tz,itupe mwanga waislam na jamii nzima kwa ujumla,sipandi tena kulishwa matango pole ,na propaganda nataka kitu halisi,ni lazima nitie timu siku hiyo,speed yetu ya maendeleo ni nzuri wamebana wameachia na safari hii nakuambia lazima wajikojolea.shime waislam tujitokeze kwa wingi kwy hili jambo la kheri.
 
Akhsante sana,
ndo RIA hiyo,sijui kama analitambua

Ni wapi nimekuuliza swali.. let Qur'an speak it self

sura ya 4 ayat 38
"
Na Mwenyezi Mungu hawapendi wanao toa mali kwa ajili ya kuonekana na watu, wapate kuwasifu na kuwatukuza, na ilhali wao si wenye kumuamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Malipo. Kwani hao wamemfuata Shetani naye amewapoteza. Na mwenye kuwa rafiki yake ni Shetani basi ana rafiki mbaya kweli. "

hiyo ayat inawazungumzia watu kama ninyi .. eti unajigamba nasaidia yatima.. weye ni muislam safi , hata senti sitoi... mwislam safi hajigambi mbele za watu! na kama hutaki kuchangia bora ukae kimya kuliko kuongea vitu usivyovifahamu .. idiot

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

Unless you are starting, you can not just wake up and tell people to contribute for anything in this era. From my experience on an NGO standpoint, people will want to know what you are doing and how beneficial it will be before they can think of giving you money! My advice; put the objectives for the tv, telling us how much you have and what is needed because you do not expect our contributions to be your starting point. If this is your plan, prepare for major disappointments!
 
The TV will be on air soon! What left is to contribute for finishing payment with the satelite owners. Worry not the arrangements are well organised. Inshaallah later I will put numbers so that those who are willing can contribute Electronically.
 
Mashallah....Allah akuzidishie kheri Bornvilla

Tuletee hiyo AC. No. Akipenda Mola tuweke viji cent vyetu huko,, naamini kuna waja wanaweza kudhamini hilo 100% lakini wametuachi nasi nafasi ya kupata fadhila hizo.

Hayo mengine yasikupe tabu,, tumeshayazoea,, tunawavumilia.
 
Back
Top Bottom