Changia TV IMANI

Usilolijua litakutesa
si kila kilicho chini ya waislam bas BAKWATA wanahusika nacho,hakuna ambacho wanakianzisha kikafanikiwa,hata MuM waliitaka,kwahiyo kuikana radio iman iz not an issue
Radio yenyewe iko hivyo, kuna wakati mpaka bakwata waliwakana
 
Ili mkaendeleze udini wenu wa kipuuzi? Mimi ni musilim safi ila cwez kutoa hata sent kuwachangia nyie wanafiki.

We ndo mnafiki mkubwa. Huo uislamu safi wako uko wapi? Huku haupo na kule haupo yaani upo upo tu na unafiq wako.
 
Inshaalah nipo njiani. Tv hii itakuwa miongoni mwa tv bora TZ na A/mashariki. Tv za kigalatia zimekuwa hazina jipya zaidi ya kuwatukuza wamiliki take zaidi hamna jipya ktk vituo hivyo.
 
Inshaalah nipo njiani. Tv hii itakuwa miongoni mwa tv bora TZ na A/mashariki. Tv za kigalatia zimekuwa hazina jipya zaidi ya kuwatukuza wamiliki take zaidi hamna jipya ktk vituo hivyo.
Akili ya mashindano...! 'Wagalatia ' wako always one step ahead kwa sababu wakati wanaanzisha kitu huwa hawajishughulishi na issue ya waislam wana nini bali huwa wanaangalia hitaji husika na jinsi ya kulitatua. Kama mnaweza ku copy and paste TV jaribuni na MoU basi...!
 
Nani amekwambia habari za kanisa hapa? Mimi ni Musilim lakini sintochanga hata senti. Hiyo pesa bora nikatolee ALLAH kwa kusaidia watoto yatima au wagonjwa kuliko kuwapa nyie wafujaji na waendeleza unafiki, udini, chuki n.k. Kila siku mizozo haiishi misikitini kwa sababu hela zinaliwa tu. Kama msikitini tu hela zinaliwa bila aibu je itakuaje kwenye hiyo tv yenu..

Basi ukisikia wanafiki wewe huenda nambari one, ivi kanisani kwenu mizozo imekwisha? Kama huna mchango au hauna moyo wa kuchangia nini kinakusumbua? siutulie tu. kwanza hujaambiwa ni lazima utoe, jua kuwa hulazimishwi na mtu ila umepewa tu taarifa.
 
Bi Fatma kimario atakuwa mgeni rasmi, atakuja na sample ya mifugo yake kuipiga mnada kwa ajili ya fundraising.
 
Huu mchango mnaomba waislam watupu au na wakristo kama mnawaomba wakristo pia naomba mumtambue kwamba nguruwe aka kitimoto aaka mbuzi katoliki ni halali hata mimi maskini nitawapa changu kidogo
 
Si mpite na makaratasi
kama wale wanaopitaga
kuomba michango kwenye mahoteli,mabar ili kujenga misikiti?
Kwanza hii redio
inachochea vurugu
nshawahi isikiliza!
Shame upon you!!
 
bi fatma kimario atakuwa mgeni rasmi, atakuja na sample ya mifugo yake kuipiga mnada kwa ajili ya fundraising.

aisee huyu msilamu ana shamba la nguruwe kubwa huku mbweni hatari nahisi atasaidia kidogo kupunguza makali ya michango
 
Ukitaka kujua hata mwandishi anaitaji arudishwe shule kidogo toka lini
tv ikakuletea nuru nyumbani kwako...nijuavyo nuru inaletwa na mungu bana sasa hawa sijui wanaipitishaje hadi kwenye tv wa mbagala anaipata wa kawe anaipata wa kirua vunjo nae anaipata
mi napita tu ...mkiweka mnada ntakuja na shoewine zangu tupunguze kidogo utitiri tv ipate signal wasiwasi wangutu msianze kwa fujo mkaishia na vituko
all the best
 
Si mpite na makaratasi
kama wale wanaopitaga
kuomba michango kwenye mahoteli,mabar ili kujenga misikiti?
Kwanza hii redio
inachochea vurugu
nshawahi isikiliza!
Shame upon you!!

Tehe! Tehe! Tehe! Wewe ukitaka kujua Rangi halisi ya hapa Jamiiforums weka thread kama hizi kwa sana! Raia wa hapa wanaonyesha makucha yao yalivyoumbika.
 
Ukitaka kujua hata mwandishi anaitaji arudishwe shule kidogo toka lini
tv ikakuletea nuru nyumbani kwako...nijuavyo nuru inaletwa na mungu bana sasa hawa sijui wanaipitishaje hadi kwenye tv wa mbagala anaipata wa kawe anaipata wa kirua vunjo nae anaipata
mi napita tu ...mkiweka mnada ntakuja na shoewine zangu tupunguze kidogo utitiri tv ipate signal wasiwasi wangutu msianze kwa fujo mkaishia na vituko
all the best
Sio kosa lako. Tatizo ni shule ulizopitia, walimu wako wamekujaza Pumba tupu.
 
Si mpite na makaratasi
kama wale wanaopitaga
kuomba michango kwenye mahoteli,mabar ili kujenga misikiti?
Kwanza hii redio
inachochea vurugu
nshawahi isikiliza!
Shame upon you!!
Kwenye Mahoteli na Mabaa ndimo unamoshinda na kukesha humo eeenh?
 
Back
Top Bottom